Search results

  1. K

    Maswali kwa CDF Mstaafu, Venance Mabeyo

    Kwanza umekosea....kijana wa mabeyo alifariki wakati jiwe akiwa Bado hai kabisa ..Na jiwe alienda kumtembelea nyumbani nampicha zipo so acha kudanganya angalia facts
  2. K

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Hiyo ndo siri kubwa kwaninkama wangekuwa karibu ungekuta watu wanaanza kuijpanga kuchukua fursa na hivyo kuelta mtafaruku kwenye nchi
  3. K

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    lete ushahidi.Lakini alikuwa sawa sbb kama Ili issue ya barrick ukiisema ovyovyo jamaa usingewakamata
  4. K

    CDF mstaafu Mabeyo amelikoroga, Makamu wa Rais ndiye alitakiwa kuwa mtu wa kwanza kila hatua kujua afya ya Rais

    Prof janabi alikuwa akimpa taarifa kikwete na kikwtet anampia makamba nayewapa akina Lisu na Mbowe
  5. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Wewe usiwe kilaza CDF hatoi taarifa kwa makau Bali kwa Rais hivyo inabidi umuuite katibu mkuu kiongozi au waziri mkuu ndo wamuambie bosi wao,,sasa hasta hili hujui..Kilaza kweli
  6. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Hivi mtu anaumwa na hali imebadilika na alikuwa anaelekea kufariki harafu unalaumu aliyokuwa anaelekeza,,kweli hunaakili au hujawahi kuuguza mtua anayekaribai kufariki
  7. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Tunajafilia vitu vya ovyo badal ya kuambizana tunakabiliana vipi na mafisafi wanaoiba Mali za nchi kwa Kasi Sasa hivi na ncho ikibakinmasikini
  8. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Hakuna cha elimu wewe mjinga Fulani,,mbona tunaomba Katina mpya mnakuwa wanafiki wewe na ccm wrote mnakataa haragu mnakuja hapa kuhoji..jinga sana
  9. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Si ndiyo alitanganza ,, shida kwako nini..Mtu WA kwanza kutaarifiwa alikuwa make wa Rais wewe unalazimisha kwanini Samia hakutaarifiwa kwanza..Unajua protocal za kumtaarifu makamu wa Raid zinapelekwa na nani kwakwe.?
  10. K

    Naomba kuelimishwa ni kwanini Makamu wa Rais Samia hakuwa mtu wa kwanza kupewa taarifa ya kifo cha Hayati Dkt. Magufuli?

    Hongera kwa kujipendekeza update cheo,,lakini tukiwambia tuandike katiba mpya hamtaki basi acheni kulaumu
  11. K

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Ulitaka CDF akatae kulitumia jeshi kununua korosho,,mabayo ingetafasiriwa ni Uasi..watu mkila ugali mmekaa nyumbani mnadhani mambo ni rahisrahis utakataa
  12. K

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Nadhani utaraibu ingekuwa kuhakikisha karibu na mgonjwa kunamwanafamilai anayeona Kila kitu kinachotokea na siyo kuambia Rais amefariki.
  13. K

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Wewe umecreate assumption zako sijui wewe ndo January aunmkwe WA Samia.Naona unamshambulia indirect CDF msitaafu bure
  14. K

    Je, Hayati Magufuli alikabidhi nchi kwa jeshi?

    Sasa ukiwa unaumwa kumbuka ncho inakuwa chini ya vyombo vya ulizo na usalama amabpo mwenyekiti wake ni Rais
  15. K

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Yeye alijua katiba inasema makamu anakuwa Rais so huwezi kumtaarifu haraka sbb kiusalamanhuwezi kujua kama issue ya kumuondoa jiwe ilikuwa imeandaliwa na kuratibiwa na makamu kwa manufaa yake hivyo unamuweka pembeni ili kupata taarifa za usalama zaidi za nchi la sivyo mkienda kifala nchi...
  16. K

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Hawawezi kumtaarifu kwa sbb hakuwa sehemu ya kamati ya ulizi na usalama.Kumbuka hiyo kamati ingeamua kuchukua nchi kulikuwa hakuna jinsi
  17. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Wao serikali wameshindwa kuwahamasisha wananchi kuzalisha na kutia michnago ya chakula cha watoto wao lakini tuko tayari kucritise chakula kilichotolewa..Jinga sana viongozi wetu
  18. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Kwanini unanganaia fedha wakati na eye anawakulima hawana pakuuza chakula.Kama wewe hupeotect wakulima basi acha wenye fedha zao waprotect wakulima wao kupitia misaaada
  19. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Kwanini tunalazimisha tupewe pesa?au kwa kuwa tutapata unafuu wa kuiba pesa za wafadhili
Back
Top Bottom