Search results

  1. Snipper

    Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

    Duuh...hilo sasa balaa. Timua vumbi aisee usije ukawa vampire na wewe
  2. Snipper

    Nani yuko nyuma ya ‘Majaliwa adondoke’?

    Sasa tabu ya nini kuandika vitu kificho wakati humu watu ni anonymous?
  3. Snipper

    Sensa 2022: Tanzania ina idadi ya watu 61,741,120

    Hiyo kumi iliyozidi siyo ishu kiviiiile
  4. Snipper

    Nilivyonusurika Kifo baada ya Mzee kunitimua Nyumbani

    Hii stori ishatufanya mateja aloi
  5. Snipper

    Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Daaah...alisema jumamosi ataweka ila mpaka muda huu bilabila.. singanojr
  6. Snipper

    Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

    Aisee. Mungu alikuwa hapendi ujinga
  7. Snipper

    Joe Biden: Kuna tishio la moja kwa moja la nyuklia kutoka Urusi

    Basi wamuachie aichukue Ukraine yote ili tupone.
  8. Snipper

    Kumbe kuliwa nauli ni jambo jepesi sana

    Labda akikuomba hata vocha unatoka nduki akaona akutegeshee kwenye nauli alijua utajaa tu
  9. Snipper

    Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Hiyo 50 ni hela nyingi sana na itakuwa maabara ya kisasa mno. Microscope nzuri utapata hata kwa 3.5mil na vifaa vingine kama vipimo vya sukari ni bei za kawaida sana kati ya laki mbili nk.. sphyllis, vdrl, vidonda vya tumbo na magonjwa mengine kuna vipimo vya rapid ambavyo bei zake ni za kawaida...
  10. Snipper

    Nashangaa waliofurahi Dkt. Dorothy Gwajima kuondolewa Wizara ya Afya

    Duuh...kweli watu mmevurugwa sana. Au na hasira za tozo zinachangia?
  11. Snipper

    Dar: Bilioni 44 za Mikopo ya Halmashauri hazijarejeshwa, zimeliwa

    Hapo lazima watu wapate matumbo ya kuharisha
  12. Snipper

    Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

    Kwa hiyo hata sadaka hampeleki? Maana kama unalalamikia buku ya mafuta ina maana sadaka huwa hampeleki sasa...na kwani unaenda kusali mara moja tu na haurudi tena? Kama ukikuta jumapili hii wanauza si unaacha kuchukua unachukua jumapili ijayo kwakuwa unakuwa umeshajua wanauza?
  13. Snipper

    Boniface Mwamposa rekebisha tangazo lako la kugawa mafuta bure, mafuta tunanunua

    Nyie nao bana...yaani kabisa mafuta upewe bure?? Yeye anayapata bure?
  14. Snipper

    Testimony: 1000 years in the world of darkness (1)

    Inabidi niifatilie hii stori
  15. Snipper

    FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

    Ruto namkubali sana. Naamini ataiendesha kenya vizuri sana na kwa mafanikio makubwa. Mungu amsimamie
  16. Snipper

    Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Karibu sana kiongozi. Nakufata inbox tuanze kujadiliana
  17. Snipper

    Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Ukihitaji nifuate inbox tuyajenge nitakupatia punguzo la bei lengo tu ujipatie kipande cha ardhi kwa ajili ya maendeleo yako.
  18. Snipper

    Plot4Sale Jipatie Shamba Vigwaza la ekari saba na nusu kwa Milioni 20

    Ukitaka eka moja au shamba lote au zaidi ya eka moja mimi nakukatia tu unaanza kufanya mambo yako. Wekeza sasa kwenye ardhi kwa bei nafuu.
Back
Top Bottom