Search results

  1. Sober

    Bunge Litii Mahakama; Lisipotii Nani Aitii Basi?

    Very deep and worthy observation....ingawa kiukweli wengi hatupendi hata kuliwaza, let alone kuli entertain kwenye hili sakata la Escrow. Kuna mwanasheria yeyote anayeweza kutusaidia kufafanua hii concept ya SUB JUDICE pale Bunge na Mahakama zinapo clash kwenye system ya mabunge ya Jumuiya ya...
  2. Sober

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    Now is the time to test the mettle of Dr.W. Slaa and Freeman Mbowe...
  3. Sober

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    A very dark day in our young democracy.... R.I.P Mwangosi.
  4. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Uzoefu wa hii mifuko mingi ni kuwa mwanachama anapochukua mafao ya kujitoa, mwanachama huyuhuyu atarudi kujiunga tena ndani ya miezi 18. Kwa hiyo suala la kusema unafanya kazi kwa mkataba wa miaka miwili na una miaka 30 hivyo utatakiwa usubiri miaka 28 ili upate mafao yako, si sahihi kwa...
  5. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu, fuatilia majibu niliotoa kwa Ndibalema na majibu ya Rejao kwa Magu, kama una mengine tunaweza kuendelea na debate. I know hii issue imewagusa wengi, ila ili tujenge taifa la kuheshimika ni lazima tufunge mikanda.
  6. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu wangu, Wabunge wetu wengi ni watu wa kuonewa huruma, kwa sababu ukiachilia wachache ambao wana pensheni, wengi wao wanadhani pensheni haiwahusu kwa wao ni waheshmiwa. Mwisho miaka mitano wanavuta cheque wanapeleka kwenye elections(Kosa kubwa!!). Wako wabunge wengi ambao ukiwaona leo hii...
  7. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu wangu labda nikurekebishe tu sehemu ndogo. Sheria za kuanzisha mifuko hii ya pensheni haikuwahi kuwa na kipengele cha mafao ya kujitoa. Sema kwa vile asili ya mifuko mingi ya pensheni hapa Tanzania ilianzia kwenye mifuko ya akiba(provident), kwa maana inakuwekea akiba pesa zako mpaka...
  8. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu wangu nimekupa na naomba nirudie upendekeze neno ambalo unaona linakufurahisha au litamfurahisha Mheshmiwa(sababu namheshimu) ili tusitoke nje ya mada namimi nitakua tayari kurekebisha heading ya uzi huu. Kuhusu kuwa mawazo yangu tu kuwa ndiyo sahihi, sidhani kama nia yangu ilikua hiyo...
  9. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu unachosema kina ukweli baada ya kufanya homework hapa. Ila kuna taarifa kuwa hata kwa NSSF na mifuko mingine wanayochangia asilimia 10%, kwa mabadiliko ya sheria hii, mifuko yote wataruhusiwa kuwa na flexible rates yani either 5%/15% au 10/10%. Kuhusu pesa kuwekezwa, lengo kuu la hii...
  10. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu usione labda namsema mh. Mnyika out of nowhere. Kusema anatafuta cheap popularity maana yangu ilibase kwanye mambo makuu matatu. 1. Muswada huu wa mabadiliko ya sheria ulipitishwa bungeni mwaka huu, mwezi wa Aprili, hardly miezi minne mpaka leo. Najiuliza kwa mbunge makini kama Mh. Mnyika...
  11. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Sijui mwenzangu unalielewaje neno KUPOTOKA! Lakini kwa vile hapa sio mashindano ya semantics, naomba upendekeze neno ambalo litakufurahisha wewe pamoja na wengine waliolichukulia negatively hilo neno. Nami nitarekebisha title ya uzi huu.
  12. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mkuu haijalishi nipo wapi. Ila ukiingia kwenye website ya PPF utaona sehemu inayosema mwanachama atachangia asilimia 5% ya mshahara na mwajiri atachangia asilimia 15% ya mshahara, ukijumlisha unapata hiyo 20% uliyoongelea. Na hata NSSF wanaweza kuchangiwa kwa uwiano huo huo kama mwajiri akiona...
  13. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Hicho unachokisema ndiyo exactly kilichonistua. Tumezoea kuona wanasiasa wakikimbizana kusaka cheap popularity, lakini siku zote Mnyika ameonesha umakini wa hali ya juu kwa kufanya homework yake vizuri na kujiridhisha. Lakini kwa nilichokiona leo kimeonyesha kukurupuka kwa hali ya juu...
  14. Sober

    Mh. Mnyika kwa hili umepotoka!...

    Mh. Mnyika siku zote nimekua namuona ni mbunge makini sana na anayejishughulisha kujua mambo. Lakini kwa hili la kutaka sheria ipitiwe upya na kurudisha mafao ya kujitoa naona amepotoka sana. Nashawishika kuamini kuwa nayeye kwenye hili ameingia kwenye mkumbo wa kusaka cheap popularity kwenye...
  15. Sober

    Suala la Mafao, mambo yamekuwa mazito. Wafanyakazi wameamua kususia sensa

    Heading ingekua WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI na sio wafanyakazi wote. kwani wale waajiriwa wa serikali kuu na wale wa TAMISEMI siku zote wamekua hawana hiyo priviledge ya kujitoa kwenye mifuko yao ya PSPF na LAPF. Hata ukifanya kazi miaka 20 lakini ukawa haujatimiza umri wa kustaafu huwezi...
  16. Sober

    Zitto Kabwe kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA endapo....

    ZZK anahitaji kujenga consistency kwenye misimamo yake. Sio hapa anasema hivi na siku mbili baadae anasema kitu totally different na kile cha mwanzo. Leo unasimamia kanuni, keshokutwa unakua wa kwanza kuwabeza wanaosimamia kanuni na sheria... Akiweza kujidefine as a politician, ni mwanasiasa wa...
  17. Sober

    Zitto afunguka na kueleza hafanyi siasa za kufuata upepo, anasimamia kanuni

    ZZK mara nyingi namkubali kwa hoja zake, ila kwa hili nadhani na naamini amepotoka. Mi binafsi nilishangazwa sana kusikia kamati ya POAC ndiyo ya kwanza kutoa tamko la kutetea menejimenti ya TANESCO iliposimamishwa, hata kabla ya kamati ya Nishati na Madini. Lakini zaidi, kuona sasa hizi kamati...
  18. Sober

    Hakuna malipo ya NSSF, PPF hadi umri wa kustaafu ufike!

    Ndugu yangu bagain, Kama kumbukumbu zangu zipo sawasawa, hii hoja imeshajadiliwa na kupitishwa na bunge letu, kwenye kikao chake cha April, 2012. Labda kwa vile kwenye bunge la April, kulikua na mjadala mkali zaidi wa ripoti ya CAG, na tishio la kumuangusha Waziri Mkuu, ndio maana wengi wetu...
  19. Sober

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    Hebu wajuaji mliojaa humu mtu akajaribu kutazama entry requirements za kujoin Hammesmith Hospital London kwa training ya MRCP(Member of the Royal College of Physicians). Yani kibali cha kufanya kazi popote kwenye commonwealth states. Kwa wanaomjua Dr Jullie Makani(best student wa mwaka miaka...
  20. Sober

    Kitanzi kwa wafanyakazi nchini: Pensheni sasa mpaka ufikie miaka 55

    Mkuu mbona hii kitu imeshakua overtaken na events on the ground. Bunge la Aprili 2012, kabla ya hoja nzito iliyotikisa bunge ya kutokua na imani na WM, wabunge walipitisha mabadiliko ya sheria ya usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya jamii( na hapa inamaanisha mifuko yote sita) NSSF, PPF, PSPF...
Back
Top Bottom