Search results

  1. N

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuku hawahitaji eneo kubwa kiasi hicho. nina Kuku 30. wanalala kwenye chumba cha ukubwa wa 2m x 1.5m ndani ya chumba hicho kuna sehemu ya kutagia kuku wane kwa wakati mmoja. sehemu wanayotumia mchana inaukubwa wa 2m x 8m banda la kulala ni ndogo kwa sababu kuku wanapenda kulala juu. hivyo...
  2. N

    Office 2010 Key

    microsoft office home and student 2010
  3. N

    ms office 2010

    salama wakuu. hata nami nahitaji hiyo key. nilikuwa nayo Genuine kabisa . laptop yangu ikapata matatizo ikabidi nifanye fresh installation. nimejaribu kuweka key hiyo imegoma. "product keys for earlier versions of office are not valid" naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa haya mambo.
  4. N

    Naomba ushauri_matibabu kwa mtu aliyevunjika mguu

    Wana Jf, habari. Mzazi wangu amevunjika mguu mfupa uitwao femur. Mfupa huu umevunija kabisa ila haujatokeza nje wala haujaleta kidonda, anatakiwa kufanyiwa upasuaji. Tatizo ana tatizo la sukari iko kati ya 5.0 – 9.5 Pressure nayo haiko vizuri . ipo kati ya 157/73 – 140/59. Napata wasiwasi...
  5. N

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    kutoka picha ilipopigwa nyuma njia ya kwenda uwanja wa mpira, kushoto ni nyumba ya masista, kulia njia ya kwenda ipamba. mbele- kupanda ndio tosa. Asante kwa aliye tukumbusha enzi hizo za Dudu. wakati wa mgomo baada ya FFU kutinga sie wakazi wa mandela enoe salama lilikuwa shamba la mahindi...
  6. N

    Du....hizi sms!!!!

    Hata nami imenisaidia.Asante sana Rose. Je inawezekana ukabadilisha username kwenye facebook? kama inawezekana naomba maelezekezo. si kwa Rose tu hata kwa yoyote anayejua. asante
  7. N

    Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    Maisha ya ndoa hayaendi hivyo. kuona kila kitu sio kigezo chao ndoa nzuri. Upendo ndio muhimu. Ukimpenda mtu unatakiwa kumpenda vile alivyo. nahisi samahani kwa hisia zangu "huyo binti bado hajampenda ila unamtamani tu". kama unashiriki nae kimwili na una furahi nafsi. akavua nguo akaona ana...
  8. N

    Kwanini wanandoa/wapenzi wanapenda mapenzi gizani

    semenya ni mwanamichezo aliyesemekana ana sehemu jinsia zote mbili. soma maelezo hapo chini. BY OREN YANIV DAILY NEWS STAFF WRITER Thursday, September 10, 2009 Tests show that controversial runner Caster Semenya is a woman ...and a man! The 18-year-old South African champ has no...
  9. N

    Nini tofauti ya harrier ta-acu15w na acu15w?

    Wana JF Humu ndani naamini kuna wataalam wa magari. naomba msaada wa kujua tofauti kati ya model mbili za Toyota Harrier kuna model code TA-ACU15W na ACU15W. Nini tofauti zake na ipi ni bora zaidi? shukrani
  10. N

    Mjadala: Kero za michango ya Sherehe katika jamii ya Watanzania

    Heri harusi au send-off. Mtu bila aibu anakupa kadi ya Kipaimara na Graduation. Nafikiria kutafuta dawa ya michango hii. ni tatizo kubwa sana kwetu watanzania. Graduation au kipaimara utadhani harusi, kweli vivutio vya utalii tunavyo vingi sana. wageni wanakuja kutazama hata tabia zetu za...
  11. N

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli, ameanza kazi kwa kufanya maamuzi magumu kwa kumfukuza kazi Mtendaji Mkuu (Ceo) wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Ephraim Mrema. Habari za uhakika ambazo NIPASHE limezipata kutoka vyanzo vya kuaminika zinaeleza kuwa Dk. Magufuli alifanya uamuzi huo...
  12. N

    msaada wa mawazo wana-JF

    si vibaya ukipata majibu toka huko kiwandani ukatupatia nasi elimu hiyo, asante.
  13. N

    Star times na usumbufu/utapeli wao

    Kwa ambao wameshatumia hii huduma ya startimes kwa muda sasa, naomba msaada wenu. je kuna channels ngapi na ni zipi? ubora wake ukoje, maana nilisikia kuwa kuna kipindi matangazo yalikuwa yanakatika katika sana. na hii kampuni mpya ya TING wanapatikana katika mkoa wa Mwanza?
  14. N

    mpeni ushauri......ungekua wewe ungefanyaje?

    Tafuta mazingira ambayo utapata ushahidi wa kuwa hao wawili wanahusiano baada ya hapo ongea na shoga yako huyo mwizi mwambie achague moja kuwa shoga yake kwa kuachana na huyo Baba au kuendelea na huyo Baba na ushoga wenu ufe. Aking'ang'anania kuwa anataka vyote (Ushoga na pia kuwa naUhusiano na...
  15. N

    Mkurugenzi wa baraza la mitihani ajiuzulu haraka

    Kashfa ya mwaka Baraza la Mitihani 2008-10-27 13:57:26 Na Waandishi Wetu Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limesambaza vyeti bandia vya matokeo ya kidato cha nne mwaka jana, (result slip) katika shule mbalimbali za sekondari nchini. Wanafunzi walioathirika na hatua hiyo, ni...
  16. N

    Easy Finance matapeli?

    Kero. Naamini una kitu cha kutuleza ila unashindwa au unaogopa. Huwezi kusema kitu fulani kibaya au kizuri bila kutoa sababu. Easy finance yawezekana ni majambazi kama ulivyosema ila bila kufafanua hatuwezi kuamini na hutakuwa umetusaidia zaidi ya kututisha. Eleza usihofu.jf - where we dare...
  17. N

    Kuanguka kwa soko la hisa Marekani

    Sita Sita na David Nkulu, nawashukuru sana kwa kunielemisha.waliopo US, naona wamekaa kimya. kwa kiasi kikubwa nimeelewa nini kimetokea huko na nafurahi kusikia kuwa hapa kwetu si rahisi kwa sasa hali hiyo kutukuta. Thanks and stay blessed
  18. N

    Kuanguka kwa soko la hisa Marekani

    Wanajamii kuna habari hii ambayo imetawala kwenye vyombo vingi vya habari kuhusiana na kuanguka kwa soko la hisa la marekani.Nimejaribu kufuatilia lakini sijaweza elewa vizuri.Naomba kwa wanaofahamu wanieleweshe.je hali kama hii inaweza pia kutokea katika soko letu la hisa hapa Tanzania.Asante
  19. N

    Swali gumu hili hapa!

    kwa mawazo yangu: mwambie namuomba asimwache huyo msichana. 1.alipomwambia aliamini hatamwacha 2.sio kosa lake kwani alibakwa 3.katika ulimwengu wa leo wako watu wengi wameoa wake waliobakwa na wala hawajui wewe umekuwa na nafasi ya kujua mwenzi wako kuwa alibakwa hivyo namini utaweza...
Back
Top Bottom