Search results

  1. K

    Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Unajua nyie misukule wapumbavu sana. Hivi akili yenu ni kwamba asie chadema ni mjinga? Nani alikuambia Kalenga ni wanachadema? Wakati mwingine muwe mnatumia ubongo kufikiri sio kutumia makalio kila wakati
  2. K

    Magufuli: Maamuzi magumu yaweza kutolewa na vibaka, Kikwete hutoa maamuzi makini!

    Ni kweli kabisa, CCM hawkurupuki kama chadema.
  3. K

    Ruaha: Mwenyekiti wa kijiji atangaziwa polisi

    Wenye akili ni wale wanaowachangisha ili wajenge majumba ya fahari wanawaacha wajinga mnapigwa na jua tu
  4. K

    Stop Ben Saanane (SBS) GROUP ni Kundi Haramu, Tusikubali kuingia mtegoni... Nawaonya Wahusika!

    Mkuu sometimes mbwa ukiwaachia huwa wanabweka sana, huyo kayataka mwenyewe na nadhani saa Hizi Yuko Bize anajifananisha na house boy kutafuta ukweli
  5. K

    CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Huyu mwenye kijani ni ccm na anayeoogesgwas ni kamanda wa chadema
  6. K

    CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Hawa watu inabidi tuwaoshe kluwatoa pepo mchafu aitwaye chadema. Bbado ni ndugu zetu
  7. K

    CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Sisi kwa kuwa ni jukumu letu kuwaamsha mjitambue inabidi tuendelee bila kukata tamaa kama unionavyo hapa pichani nikimuosha mmoja wa makamanda pale Arusha mjini ili atokwe na pepo mchafu aitwaye chadema
  8. K

    CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Umeona mkuu, jamaa hawana sera kwa hiyo wameona njia pekee ya kujipatia umaarufu ni vurugu, kuua watu kufanya maandamano na kulalaamika serikali inataka kuwafanyia mbaya Hawa jamaa ni sawa tu na wale rebels wa Syria ambao ndio wanaoongoza kwa kuua raia lakini kila kukicha wanalalamika ni serikali
  9. K

    CHADEMA kila kukicha ni vurugu na maandamano,lini mtafanya shughuli za kimaendeleo?

    Wandugu wanajamvi Hivi hawa CHADEMA mbona nakuwa siwaelewi sasa,Kila kukicha hapa utakuta thread za mara CHADEMA wameleta vurugu bungeni, mara mbunge fulani kasababisha vurugu na kukamatwa , mara Dj anasema tuandamane nchi nzima , mara Dr alikuwa anafuatiliwa na watu barabarani, mara Zitto...
  10. K

    Baada ya mahojiano: Makosa yaliyomnyima Lema dhamana ni haya, kwa mujibu wa Mwanasheria wake

    Hivi Chademna hamchoki na hizi hadithi za kipumbavu?
  11. K

    Taarifa kwa Umma - Ufafanuzi wa mashtaka ya uchochezi ya Mhe Godbless Lema

    Yeah , Kamwage damu ya familia yako kwanza
  12. K

    CHADEMA anzeni kurekodi matukio yanaayohusu viongozi wenu kuepuka kubambikiziwa kesi!

    yeah, wawarekodi hata wakiwa chooni wakikata gogo
  13. K

    Tabora: Mdogo wa Kigwangalla ahamia CHADEMA

    Chadema ni kwa ajili ya wakilimanjaro na waarusha
  14. K

    Wananchi wa DODOMA wapuuza ujio wa CHADEMA jana

    Ni vigumu kwa makamanda kukubali
  15. K

    Makinda, Ndugai wametuharibia Bunge

    Ok kwa hiyo tufanyeje? Tuandamane au?
  16. K

    Nnauye: Viongozi wengi Chadema wanaganga njaa...

    Vipi mama yako hajambo? Nakuja leo usiku hivyo mlale mapema sawa!
Back
Top Bottom