Search results

  1. T

    Tukiacha unafiki, hadi leo utawala huu umeifanyia nini Tanzania?! Umewasaidia nini watanzania!?

    1. Mafisadi na wazembe wameshugulikiwa. 2. Matumizi mabaya ya rasilimali za taifa yamekomeswa
  2. T

    Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

    Vizuri kuwa na akili kubwa, lakini kama akili hiyo iliweza kuwa sababu ya vifo vya wakenya, inakuwa haina maana hata kidogo.
  3. T

    Hongera Mh.Uhuru Kenyata watanzania tumekusikia,tumekuelewa tupo nawe.

    Naamini hakuna vikao kama unavyotaka tuamini. Lakini pia hata kama kungekuwa na vikao, bado nisingetegenea kulisema kwa manufaa ya mahusiano yetu na Kenya, na hata kwa wakenya wenyewe.
  4. T

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    AMINA, NA IWE HIVYO. TUNAMUOMBEA UZIMA, HEKIMA NA UVUMILIVU. WATAMUELEWA TU KAMA SIYO SISI, BASI WATOTO WETU.
  5. T

    Rais Magufuli aache kupoteza muda kwa kuleta nchini viongozi wasio na tija!

    Asante sana, kwa majibu yenye hekima.
  6. T

    Zitto ni hazina kubwa ya uongozi, aache tu "uswahili"!

    Mimi mnanichanganya. Tamaa ya pesa na madaraka ni simu kubwa kwa nchi. Bado tu mtu huyohuyo mnamuona kama angeweza kuwa kiongozi mzuri. Kifupi Hatufai hata chembe.
  7. T

    Zitto ni hazina kubwa ya uongozi, aache tu "uswahili"!

    Uswahili ni nini? Nilifikiri kutukowa mswahili ni sifa muhimu sana ya kiongozi.
  8. T

    Tupia hapa salaam zako za Heri ya Krismas na Mwaka Mpya kwa Rais Magufuli!

    Mh. Rais JPM, tunakutakia Hery ya Krismas na Mwaka Mpya 2017. Tunakuombea Mungu akupe Uzima wa Rohoni na Mwilini, ili uendelee kulitumikia hili taifa. Tunaomba usikate tamaa na maneno na unafiki wa Watanzania wachache. Wengi wao ni wapiga dili. Tunakupenda sana.
  9. T

    Wafanyabiashara wauchambua utawala wa Rais Magufuli

    Asante sana kwa taarifa nzuri. Mimi binafsi sikutegemea nitafikilia kufanya biashara. Katika awamu hii ninajipanga kutafuta mkopo nifanye biashara.
  10. T

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Wewe nu M Rais hakuwahi kusema serikali inahamia Dodoma mara moja.
  11. T

    Rais Magufuli utakumbukwa kwa lipi kama tu vita juu ya ufisadi umeachwa mbali na Kikwete?

    Acha Kufanya Propaganda. Hutafanikiwa, kwani Mungu yuko upanda wa watanzania ambao Rais anawatetea.
  12. T

    Rais Magufuli aporomoka umaarufu: Asilimia 50 tu waridhishwa na utendaji wake! Inaogopesha!

    Kwa wapigaji SAWA. Ila kwa Mtanzania mwenye akili timamu, Rais wetu YUKO VIZURI SANA. Mungu akutangulie Rais, usikate tamee. Tuuko nyuma yako tunakuombea
  13. T

    Wanaomkwamisha Rais kwa sasa wamo Mawaziri, Wakuu wa mikoa..!!

    Sasa na wakati wa utawala wa mwinyi ni wakati gani nchi inaenda kama gari bovu?
  14. T

    Mbona Taifa kama halina furaha? Hofu, Chuki, mitafaruku imetamalaki

    Mafisadi hawana na hawatakuwa na furaha for the next 10 years. Watanzania tulio wengine tunamshukuru Mungu an tuna rafuraha sana.
  15. T

    Raisi wangu Magufuli wewe sio mfanyabiashara, kauli zako zitaua biashara nchini

    NOT TRUE. Maneno maneno yenu hayatabadiri alichokipanga Mungu kwaajili ya Taifa hili.
  16. T

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Watanzania tuna shida sana. Ni hoja gani Makamba aliwa kujenga? Ni hekima sana kuwa mkweli hata kwako mwenyewe.
  17. T

    Kongamano la Maombi Tanzania Tumpate Rais Mteule wa Mungu Hapa Tanzania

    Sitaki kuseme lilikuwa chaguo la Mungu au la. Ila Mungu anabaki kuwa Mungu na maombi yanapaswa kuendelea bila kukoma. Ayubu alimuomba Mungu lakini bado aliendelea kupata mapigo zaidi. Bado alimuamini Mungu hadi mwisho. Hivyo usikate tamaa.
  18. T

    Maono ya Kikwete Yatimia Misri

    Kwa kweli siku hizi Jamii forums imepoteza maana kabisa. Hakuna discussion za maana.
  19. T

    PICHA: Tukio la DR Hamis Kiwangala alivyo tiwa mbaroni huko NZEGA

    Issue siyo kutofuata sheria. Huyo anaigiza, anatafuta popularity kwa maigizo.
Back
Top Bottom