Search results

  1. mbwiganyuki

    Yaliyojiri: Mkutano wa Wanahabari na Spika wa Bunge, Job Ndugai

    JF MODERATORS TAFADHALI ONDOENI HII THREAD YA KIPUUZI! BE SMART&BALANCED OR YOUR REPUTATION&CREDIBILITY WILL BE QUESTIONED!!![emoji35] [emoji35] [emoji35]
  2. mbwiganyuki

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Kachimbe shimo ujifukie mkuu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  3. mbwiganyuki

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Watamtoaje kwamfano? wakati wao sio waliomteua[emoji23] [emoji23]. Hapo ndipo wataishia kupiga kelele getini wakati watu 2po ndani tunabadili channel kwa runinga![emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. mbwiganyuki

    Huu ni umafia dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar

    Hawawezi kushindana na Dola hawa wauza dona! Wakafie mbali huko! Sisi tuko pamoja na JPM na RC wetu wao waache wabaki na Gwajima![emoji23] [emoji23] [emoji23]
  5. mbwiganyuki

    Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Yaan wanahabari watz akili ndogo sana walahi, ndio maana Mr. Ben alikuwa anawabeza[emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan hamuoni kuwa hiyo ni chance ya kumpa ushindi RC wetu Makonda kwa kuamua kutokumwandika?Kwasababu logic iko hivi; wakati mnamwandika, hamkumwandika vyema kwenye vyombo vyenu, hasa...
  6. mbwiganyuki

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Uvamizi ulifanyika wapi? Hiv clouds ndio kituo kikubwa? AZAM TV wakikusikia!!!!
  7. mbwiganyuki

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Daah! I wish ningekuwa presidaa nikushikishe adabu kidogo uache ubaguzi wako!
  8. mbwiganyuki

    Askofu Gwajima aitwa Ustawi wa Jamii kuhojiwa

    BAADA YA KA[emoji217] ANAYEFUATA KUPOTEA NI GWAJIMER! LETS WAIT AND SEE!!!
  9. mbwiganyuki

    Rais Magufuli amkingia kifua Paul Makonda. Asema yeye ndie anapanga nani akae wapi!

    "FROM ALL DICTATES OF LOGIC" KITENDO CHOCHOTE KILE CHA KUMWONDOA MAKONDA KWENYE NAFASI YAKO TAFSIRI RAHISI NI KUWA WAMESHINDWA VITA DHIDI YA MADAWA!
  10. mbwiganyuki

    ITV mmewakosea sana watanzania

    UKAWA hamna tofauti na mwanamke mlalamishi ambaye nyumba yake imemshinda kwa udhaifu wake mwenyewe kisha anaanza kulaumu ndugu, jamaa na majirani zake. Poor you!
  11. mbwiganyuki

    ITV mmewakosea sana watanzania

    Tujamaa twa ukawa bana! kwahiyo kwa kuwa nyie mnamwaminia huyo Lema wenu basi mkadhani kila mtanzania atamwona wa maana?
  12. mbwiganyuki

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Taja bei yako basi mkuu! mbona unalalama muda wote wakati huna tentative price?
  13. mbwiganyuki

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Arusha jiji la wavutaji hhhaaa!
  14. mbwiganyuki

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Kinachowezekana ni kipi ewe tomaso usiyeamini mpaka uguse?
  15. mbwiganyuki

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Kumbe mwenyew huna data?? Jinga kabisa wewe! hhhhhaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  16. mbwiganyuki

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Inaonekana wewe una bei yako aisee! tupatie basi hiyo gharama! Kama hauna please!!!'Help me to shut up your stinky mouth ok?
  17. mbwiganyuki

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Acheni kumfananisha Mandela na watu wa hovyo tafadhali! Mandela spent nearly 27 years in the jail, your boy has just spent 4 months halafu mnataka nyie wazee mnataka kumvisha majina ya African legends??
  18. mbwiganyuki

    Tahadhari kwa Mkuu wa Mkoa utakayeteuliwa

    Kwa hiyo wewe ni mjanja au vp bana!![emoji28] [emoji28]
  19. mbwiganyuki

    Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    Wewe ni mdini eeh! hayo mambo peleka Uarabuni bana! sisi wa TZ dini zenu ni Uccm na Ukawa tuu! Hizo nyingine sio size yetu!
  20. mbwiganyuki

    Rais wa Zanzibar, Dr. Shein: Mkitaka kuzima umeme zimeni, tutawasha vibatari

    WB na IMF wao hawana shida na mtu! usipolipa na ukafikia ile bar ya kukopa basi automatically hautakopesheka tena! So, ukiona nchi inaendelea kukopeshwa ujue deni linalipwa na hatujafika kny bar! Zanzibar nao kama wanataka umeme walipie deni lao, japo najua kwa nchi kama ile ambayo bajeti yake...
Back
Top Bottom