Search results

  1. mimi ni mimi

    Sasa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa kushirikiana

    Kila lenye heri kwa team DCEA na team TAKUKURU. Tunautegemea Muungano wenu utusaidie kuwa na Taifa imara lisilo na rushwa na madawa
  2. mimi ni mimi

    Hawa watu walikamatwa na dawa za kulevya katika fukwe mkoani Lindi, hadi leo kimya kimetawala

    Walishafikishwa Mahakamani. Upelelezi unaendelea. Wako mahabusu
  3. mimi ni mimi

    Raia wa Iran waliokamatwa wakidaiwa kusafirisha heroin wafikishwa Mahakamani

    Mkuu unauhakika dawa zote zilikuwa kwenye mifuko? Pili umesikia ni dawa aina 2 na sio 1. Hivyo kuleta zaidi ya kilo 800 hivyo nashawishika kuamini hizo tani 100 na kitu au miambili ni vifungashio na takataka zingine ambazo sio madawa. Pia, chanzo chako cha taarifa kakihakiki. Taarifa ya awali...
  4. mimi ni mimi

    Kuna uhusiano gani kati ya Madawa ya kulevya na Kimbunga Jobo?

    Hauko sahihi mkuu. Wazee wa kazi wamecheza mchezo wa kuwindana sana huko baharini na hawa wairan . Kwa kifupi mzigo ulikuwa unashushwa Tz
  5. mimi ni mimi

    Raia wa Iran waliokamatwa wakidaiwa kusafirisha heroin wafikishwa Mahakamani

    Wakati dawa zinakamatwa zinapimwa pamoja na vifungashio vyake. Vile vikopo pia vina uzito. Hivyo kiuhalisia kipimo cha awali kilizidi tani moja kwa sababu kimejumuisha dawa na vifungashio. Baada ya ukamataji kutokea, dawa zote hupelekwa kwa mkemia mkuu na hapo ndipo kg halisi hupatikana kwani...
  6. mimi ni mimi

    Raia wa Iran waliokamatwa wakidaiwa kusafirisha heroin wafikishwa Mahakamani

    Wakati dawa zinakamatwa zinapimwa pamoja na vifungashio vyake. Vile vikopo pia vina uzito. Hivyo kiuhalisia kipimo cha awali kilizidi tani moja kwa sababu kimejumuisha dawa na vifungashio. Baada ya ukamataji kutokea, dawa zote hupelekwa kwa mkemia mkuu na hapo ndipo kg halisi hupatikana kwani...
  7. mimi ni mimi

    Naweza kuipata wapi dawa ya kunguni?

    Nunua Nuvan kwenye duka la pembejeo. Ni 100% kunguni killer. Utanishukuru baadae
  8. mimi ni mimi

    Kisutu, Dar: Watuhumiwa wa kilo 268.50 za dawa za kulevya wafikishwa mahakamani

    Raia wa Nigeria, David Chukwu 38 Mkazi wa Masaki na wenzake wawili raia wa Tanzania waliokamatwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin kilogramu 268.50, wamefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni...
  9. mimi ni mimi

    Dar: Washukiwa wa biashara ya dawa za kulevya watiwa mbaroni

    Hongera sana Mamlaka. Chapa Kazi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mimi ni mimi

    Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya kufanyika Tanga

    Maadhimisho haya kitaifa yatafanyika jijini Tanga siku ya ya Jumatano tarehe 26 mwezi Juni mwaka 2019 katika viwanja vya Tangamano. Kauli mbiu ya mwaka huu inasema "Waathirika wa Dawa za Kulevya wana Haki ya kupata Huduma za Afya". Kauli mbiu hii inatukumbusha kuwa mapambano na tatizo la dawa...
  11. mimi ni mimi

    Tangazo la kazi: Msimamizi wa biashara ya juisi ya Miwa

    Nimeweka namba ya simu na vigezo. Mshahara upo tu Hakuna kazi isiyo na malipo. Mwenye Nia tuwasiliane
  12. mimi ni mimi

    Tangazo la kazi: Msimamizi wa biashara ya juisi ya Miwa

    Jinsia Me kama inavyojionesha kwenye tangazo. Mwenye uhitaji apige simu tu. hayo ya mshahara yanazungumzika.
  13. mimi ni mimi

    Tangazo la kazi: Msimamizi wa biashara ya juisi ya Miwa

    Anahitajika kijana wa kiume kwa ajili ya kisimamia na kuuza juice ya miwa. Sifa za Mwombaji 1. Awe mkazi wa Dar es salaam. 2. Awe anajua kutumia mashine ya kusaga juice ya miwa. 3. Umri miaka 18 na kuendelea. 4. Awe anajua hesabu ya pesa vizuri 5. Awe mchangamfu na mwenye kauli nzuri 6. Awe...
  14. mimi ni mimi

    Ushauri: Namna nzuri ya kuweka akiba

    Weka kwenye kibubu nusu ya mshahara kisha inayobaki ibajetie itoshe kila kitu. Ukitumia ndo usave utakesha
  15. mimi ni mimi

    Mruhusu mkeo awe muimba kwaya kanisani,lakini...........

    Sio kwaya tu. Huko makanisani uzinzi umejaa. Vijana wamejawa na tamaa wanazini mchana kweupee. Nataman dini ya zamani ingerejea, kanisan kulijaa utukufu. Sasa hivi ni kachumbari. Ningetoa mfano hai ila ngoja niishie hapa.
  16. mimi ni mimi

    Unapenda mpenzi wako akuiteje!!

    Kipenzi changu, mamie Sent using Jamii Forums mobile app
  17. mimi ni mimi

    Mwanamke kuhama ukoo baada ya ndoa!

    Mwanzo 2:24 Kwa hiyo mwamamume atamuacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. mimi ni mimi

    Clouds FM: Match ya Yanga na Lipuli mnajikanyaga nini wakati ni wazi Yanga SC amebebwa

    Umefika wapi mkuu? Hama haraka maana ndoto zako hazitatimia. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom