Search results

  1. Quinton Canosa

    Mnaoishi na wanawake mnawezaje? Miezi 3 naona kama miaka 44

    Habari za jumapili wana JamiiForums Kiukweli kuishi na mwanamke kunahitaji moyo wa chuma.....yaani nimemuweka ndani huu mwezi wa 3 lakini naona akili yangu haifanyi kazi vizuri hata uwezo wangu wa kufikiria naona unapungua.Akiamka asubuhi amenuna,naona matumizi yangu ya pesa yapo juu maana...
  2. Quinton Canosa

    Huu wimbo unaitwaje jamani

    Jabari wanajamii forums Kuna wimbo wa zamani sana wa bongo fleva unasema maneno haya SAUTI YAKO INANIWEKA ROJO JUU MAPENZI YAKO YANANIWEKA ROJO JUU SIONI MWINGINE KATIKATI YAKO SIONI MWENGINE ZAIDI YAKOO NI WIMBO WA JAMAA MMOJA HIVI KAIMBA NA MDADA YAANI NAITAFUTA CSANQ HII NYIMBO MSAADA WENU...
  3. Quinton Canosa

    Ewe mkulima. Hebu soma hii nyaraka, hutajilaumu

    Habari wanajamii Kilimo, Binafsi nimepitia hii nyaraka, kwa wale wapenda kilimo kama mimi ukiipitia hii document itakufungua macho sana kuhusu zao gani lipewe kipaumbele kutokana na eneo ulilopo hivyo hutalima kwa wasiwasi tena Hebu chunguza wilaya yako na nini kinafaa kilimwe Source: Wizara...
  4. Quinton Canosa

    Hivi kuna nini huko?mbona malalamiko mengi sana

    Habari wanajamii forums Nimekuwa muoga kuingia kwenye mahusiano full maana navyosimuliwa huko ni kwa moto maana sijawahi kupata story za furaha,washikaji wananisimulia habari za kutisha na zenye kukatisha tamaa.Hivi huko nini kibaya maana kila kila niyayemuuliza anasema kuna moto...
  5. Quinton Canosa

    Hebu sikiliza huu ushauri

    Huyu mzee atakuwa ameona nini?
  6. Quinton Canosa

    Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

    Habari wanajamii forums, Kwa wale wataalamu wa ngozi nilikuwa naomba kufahamishwa ni kitu gani ninaweza kutumia ili kulainisha ngozi ya mikono? Maana ni sehemu pekee imekuwa na ngozi kavu na nimejaribu katumia mafuta ya aina mbalimbali ngozi imeendelea kuwa ngumu.
  7. Quinton Canosa

    Mrejesho: Google Play wamenirejeshea fedha zangu zote

    Habari wana JamiiForums, Leo asubuhi niliripoti kukatwa na GOOGLE PLAY kimakosa kutokana na app moja ambayo ilikuwa ina run kwenye android yangu ambayo siku ya jana ilifanya malipo automatically na mimi kupata notification za kukatwa pesa. Nashukuru nimefanya mawasiliano kampuni husika na...
  8. Quinton Canosa

    Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

    Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha. Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
  9. Quinton Canosa

    Nguo aina hii zinapatikana wapi

    Habari wana jamii forums Kwa muda sasa nimekuwa nikitafuta mitindo hii ya nguo ambayo nimeona wanawake wa Ethiopia wamekuwa wakivaa sana,nao.ba kujulishwa maharishi yalipo haya machine ya nguo hizi
  10. Quinton Canosa

    Hii rushes inatokana na nini

    Habaii jamii doctor Ghafla siku ya juzi nimepata vipele kama vinavyoonekana kwenye picha sijajua vinatokana na nini,msaada please
  11. Quinton Canosa

    Wapi nitapata album za Mr II A.K.A Sugu?

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa nahitaji site ambayo naweaa kupatq album za Mr II A.K.A Sugu maana YouTube sipati nyimbo zote. Kwa yeyote mwenye album zake naomba anisaidie. Asante.
  12. Quinton Canosa

    90% ya mahusiano ni kichefuchefu, njaa na tamaa zimetawala

    Habari zenu wanajamii Forums.Poleni na majukumu ya kazi Kwa miaka ya hivi karibuni,MAHUSIANO yamekuwa kama biashara.Mahusiano yamekuwa kama miradi ya kumnufaisha mtu fulani ili aweze kukidhi mahitaji yake. UPENDO umekuwa ukipimwa kwa vitu sio utu tena.Yaani unaingia kwenye mahusiano na mtu...
  13. Quinton Canosa

    Naomba kujuzwa list ya milima ya mikunjo(folds mountain) na milima ya meza(block mountain) kwa Tanzania

    Habari wana JamiiForums Nilikuwa naomba kufahamishwa list ya milima ya mikunjo(FOLDS) na milima ya tofali(BLOCK) kwa Tanzania Nitashukuru kwa ushirikiano wenu
  14. Quinton Canosa

    Ladha kamili ya mapenzi ni ipi? Matamu, hayana ladha au machungu...

    Habari wanajamii forums hope mko poa sana. Kwa muda sasa nimekuwa nikiwaza kuhusu mapenzi yana ladha gani? Kiujumla nimeshindwa kupata jibu la moja kwa moja kuhusu mapenzi. MAPENZI NI MATAMU, MAPENZI NI MACHUNGU AU MAPENZI HAYANA LADHA. Wataalamu wa mambo ya mahusiano mtusaidie kuhusu hili ili...
  15. Quinton Canosa

    Majina ya walioitwa usaili TANAPA

    Habari wana jamii forum, Walioitwa kwenye usaili TANAPA mkeka huo hapo
  16. Quinton Canosa

    Wapi naweza kuyapata majarida ya zamani ya Bongo na Sani

    Habari wanajamii forums Nilikuwa ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi naweza yapata majarifa ya Bongo na Sani yale ya zamani maana nimeyatafuta pasipo mafanikio Kwa mwenye connection wap naweza kuyapata hayo majarida wakuu
  17. Quinton Canosa

    Msaada kwenye hili watu wa fashion

    Habari wana JF Hebu tupeane uzoefu wa mambo ya fashion kuhusu vifungo vya shati kukaa mkono wa kushoto au wa kula. Kuna ukweli wowote kwamba vifungo vikikaa mkono wa kilia ni shati la kiume na vikikaa kushoto no shati la kike Msaada kwenye hili
  18. Quinton Canosa

    Msaada wa namba ya NIDA isemayo "NIN can only be used once, this NIN has already been used"

    Habari wana JamiiForums Nilikuwa naomba msaada jinsi ya kuifungua mpya account yangu ya RECRUTMENT PORTAL kwa kutumia namba ya NIDA ambayo ilishawahi kuifungua kwenye account nyingine ambayo nimesahau password lakini kila nikifungua account mpya ya nida ili nifanye application inakataa na...
  19. Quinton Canosa

    Bei halisi ya kiwanja 20x20 kwa Moshono Arusha

    Habari wanajamii forums, Nilikuwa naulizia bei ya kiwanja 20x20 kwa maeneo ya Arusha hasa moshono,maana mdau kaniambia sio chini ya milioni 10,kwa wadau WAZOEFU kiwanja ukubwa huo naweza kukipata kwa bei gani ambayo ni halali kabisa. Ahsanteni.
  20. Quinton Canosa

    Naomba msaada wa kureset simu hii

    Habari za jumapili wana Jamiiforums, Nina simu ya TECNO CAMON nime RESET lakini kila nikiweka google account ili iweze ku finalize inakataa inaandika THIS DEVICE WAS RESET.TO CONTINUE,SIGN IN WITH A GOOGLE ACCOUNT THAT WAS PREVIOUSLY SYNCED ON THIS DEVICE. Na previously account kwa kweli...
Back
Top Bottom