Search results

  1. N

    Zanzibar: Ardhi maeneo 148 yaliwa na Bahari

    Kiukweli watanganyika akili zenu weng zimefanana na unyerere si mnakumbuka nyerere alisema angekuwa na uwezo angevisukuma visiwa hivi bahari ya mbali?lakini vimemshinda sasa kaenda yeye yupo ardhi ya mbali,msizani mungu alikosea kuumba tanganyika kwake na visiwa kwake,hatuutaki muungano hata...
  2. N

    Double Standards Ugaidi

    Magaidi ni watanganyika wanao wakata albino viungo na kuwachuna ngozi.
  3. N

    CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

    Kiini cha haya ni kuwa mkoloni mweusi anatapa hana pa kushika,jamhuri ya watu wa zanzibar kwanza.
  4. N

    CCM wajipanga kuchakachua katiba mpya

    Only in tanganyika aka tanzania.
  5. N

    Mapungufu katika Wimbo wa Taifa la Tanzania

    Na kwanini isianze mungu ibariki dunia?hivi africa ni bora kuliko dunia?only in tanganyika a.k.a tanzania.
  6. N

    TBC wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani

    Msisahau kuwa tanganyika haina vitu vyote hivyo lakini wenyewe hata habari hawana.
  7. N

    CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

    Naona mnajidhihirisha ya kuwa tanganyika ijiitayo tanzania inaongozwa na catholic church movement kutoka vatican italy,basi msiwe na wivu kuiona zanzibar ikijiunga na oic,tumechoka kuwa masikini kwa kulichangia kanisa,zanzibar daima.
  8. N

    CCM: ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC mwaka 2014!!

    Jamhuri ya watu wa zanzibar kwanza shengesha baadae.
  9. N

    TBC wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani

    Ukweli haufichiki hata kama utauficha miaka elfu,jamhuri ya watu wa zanzibar kwanza shengesha baadae.
  10. N

    Maalim seif: Tume zingatieni maoni ya kweli

    Jamhuri ya watu wa z'br kwanza longolongo baadae.
  11. N

    Moved

    Vile alie muua rais karume (jnr) alipatikana?
  12. N

    Alichotabiri Aboud Jumbe kimetimia

    Jumbe hatuna imani nae waz'br,enzi za utawala wake kaunganisha chama cha asp na tanu likazaliwa zombi ccm.
  13. N

    Tuelimishane juu ya Katiba mpya tunayoitaka

    Tanganyika ndio hamna katiba,tafuteni katiba ya tanganyika kwanza,zanzibar wao wana yao.
  14. N

    Muuaji wa padri afutiwa mashitaka

    Hongera mkuu,nadhani umetumia darubini kali kwenye hii issue,watanganyika wengi hawajui ccm inavyo tawala hapa tanzania na pia hawafamu vizuri neno mapinduzi daima.
Back
Top Bottom