Search results

  1. Tized

    Huyu mwanamke nimfanyeje?

    Get more of what she wants. And you'll get more of what you need.
  2. Tized

    Mwaka umeisha unataka kumwambia nani na nini humu JF?

    Iwe heri sana kwako Brother Analyse . Asante sana Leo ndio nimejua siri ya profile picture yako. May 2023 be that year you've been longing for, the year to remember.
  3. Tized

    Trapped to a married man

    Kwenye maisha kuna mambo mengi ambayo kwayo huwa tunajikuta tunakwama kujinasua pengine kwa kupuuzia ishara na viashiria tulivyoona mwanzoni na njiani au pengine kwa kujipuuza mwenyewe au pengine kwa kuupuzia wengine. Pole kwa dilema uliopo, lazima uzingatie ukweli kwamba kama mtu yupo tayari...
  4. Tized

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    It is. Nikitumai unaendelea vyema na your loved ones.
  5. Tized

    Team Marafiki! Nimewakumbuka wadau muhimu MMU.

    Nakusalimu sana mkuu, na team nzima ya marafiki Salamu zangu za pili ziwafikie Karucee, Ablessed ,snowhite ,@FP, Heaven on Earth Heaven Sent BAK popote walipo Salamu za tatu ziwafikie kila atayesoma hapa. Nakushukuru sana Mwana -SALAMU TAMTAM :) Tized, Kwa hisani ya awamu ya Tano.
  6. Tized

    Tatizo la msingi la kupungua nguvu za kiume, kutafuta vumbi la Congo. Wanaume wazuri Afrika wamekwenda wapi?

    Kama you're 164, then 64Kg ndio upper limit ya uzito wako ukiwa normal. Kwa hio unatakiwa kucheza less or equal - 64.
  7. Tized

    Tatizo la msingi la kupungua nguvu za kiume, kutafuta vumbi la Congo. Wanaume wazuri Afrika wamekwenda wapi?

    "Kwa mtu kama wewe, siku nitakayokuona umenenepeana nitakudharau sana" Sijawahi kusahau.
  8. Tized

    Najuta kuzaliwa kwenye familia ya kilokole

    "Nikiwa std 5 ghafla nilijikuta naichukia mienendo na misingi ya kidini" Majibu yote yako hapo, Itafutie ufumbuzi hio sentensi. Vyote ni sababu ya kusudi lillo ndani yako na "ushuhuda" wa mzee wako.
  9. Tized

    Tatizo la msingi la kupungua nguvu za kiume, kutafuta vumbi la Congo. Wanaume wazuri Afrika wamekwenda wapi?

    Chukua urefu wako (Sentimita) toa 100, Kinachobaki ndio uzito wako wa juu ukiwa normal. Mfano: Mtu ana urefu wa CM 184-100=84CM, Hivyo huyu mtu 84KG ndio uzito wake wa juu akiwa kawaida. Akizidi 84 anaanza kuwa Overweight, akienda mbele huko anakua na obese n.k. Hii ndio njia rahisi. Njia...
  10. Tized

    Wanaume wenye Ndoa

    Upendo haugawanyiki. kwenye michepuko, watu wanaendeshwa na tamaa ya mwili. Kumbuka, Kila mtu ana tamaa, tofauti iko hapa; Unachokipalilia zaidi ndio kinaota na kustawi. Ukipalilia tamaa, hadi unarudi kaburini hutakaa ushibe Ukipalilia kujuzuia 'Self control' utaweza kujitawala. Mtu mwerevu...
  11. Tized

    Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    Hahahahaa, kata tu mizizi inayoelekea kwenye nyumba mkuu. Shina waachie wenyewe.
  12. Tized

    Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    Hata mimi inanchanganya mkuu Ila kubomoa nyumba ndio rahisi mkuu. Nyumba unaweza kuijenga hata mwezi mmoja ukahamia, ila mti unachukua miaka. Inhiinhii nhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  13. Tized

    Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    Natumia/nashare simu moja na bibie Halafu katuweka kiganjani mimi na simu. Kuonekana hewani hadi ruhusa yake Dadeki
  14. Tized

    Mwanamke ukiona dalili hizi acha kufanya mapenzi.

    Akili zikirudi utagundua huenda uliuziwa mbuzi kwenye gunia mkuu.
  15. Tized

    Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    Ukitaka kujua urefu wa mizizi kwenda chini angalia urefu wa mti ukoje. Ukiona mti mfupi na umesambaa sana ujue na mizizi yake imesambaa haijaenda sana chini. Mti mrefu sana, ujue na mzizi wake mkuu umerefuka sana kwenda chini. Hivyo ukitaka kuotesha mti pembeni ya nyumba na hutaki miziz ipasue...
  16. Tized

    Mwanamke hata umfanyie Haya yote, Ila Tambua...

    Upungufu au uhaba wa kitu ndio unaochangia thamani ya hiko kitu. Hela zikiwa nyingi bila mapenzi, mapenzi yatakuwa na thamani kuliko hela. Mapenzi tele bila kuthaminiwa, kuthaminiwa kunakuwa na thamani kuliko mapenzi you name it. kimoja kikipungua kinapunguza thamani ya kilichopo. na...
  17. Tized

    Soon nitaanza kuitwa majina mazuri na warembo

    1,000 ulionayo inathamani kuliko 100,000 unayoiota. Ishi uhalisia wako..
  18. Tized

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Poa, weekend njema; Have a good one
  19. Tized

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    We are the guys in the background of things
Back
Top Bottom