Search results

  1. Ndahani

    Hatimaye tapeli sugu wa viwanja nchini atiwa nguvuni

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  2. Ndahani

    Buriani Rashid Mbuguni, Mzalendo aliyedhulumiwa kiwanda amekufa hajaona haki

    Likaunganishwe na bandari...Maana Mama anasema ana mitihani migumu sana
  3. Ndahani

    Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

    Nchi ngumu sana hii😀😀😀😀😀😀
  4. Ndahani

    Rais Samia: Mungu kanipa mtihani si haba

    Obvious mambo unayopambana nayo ni magumu kweli kweli. Mtegemee Mwenyezi Mungu kuliko awaye yoyote ili akupe hekima ya kuongoza watu wake.Msikilize maana sauti yake inakuongoza kwenye mema, hapa duniani na hata peponi. Uongozi ni jambo gumu sana...narudia maneno kutoka kitabu cha Mwalimu Nyerere...
  5. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Cheque ya bilioni moja sio Cheque ya kitoto. Kama ndio zile wanazocheza za fraud, inaweza kuwa
  6. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Wanaandikiana zile za mabango. Huwa haziwezi kupita counter
  7. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Angalia usijekutuongoza kwenye hiyo dhahama
  8. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Na wengine hela zao ni za kutoa makafala. Ukila bila utaratibu unatolewa sadaka
  9. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Raha gani? Kukata mikono watu na kupiga mawe wazinzi?
  10. Ndahani

    Loose ends Kifo cha Martha Towo

    Bank zina watu wanaoiba kwa kalamu. Uhalifu wa balaa
  11. Ndahani

    Rostam Aziz, Watanzania tukueleweje? Unawauzia Wakenya Gesi yako Bei Chee na kwa Watanzania unatuuzia Bei Juu?

    Wewe ndio una akili kweli....na hoja zako za pwagu na pwaguzi. Hela za Rostam tena Kenya...wewe unawashwa huku sijui Gongolamboto
  12. Ndahani

    Kanisa Kuu la Kiaskofu Jimbo Katoliki la Geita limevamiwa usiku wa kuamkia February, 26 2023

    Geita, pengine kwa sasa ndio mkoa unaoongoza kwa matukio mabaya yanayohusishwa na ushirikina. Jamii inayoendekeza ushirikina wa aina ile ya kutoa makafara na kuuana, huwa hawana kiasi. Naangalia kama ni moja ya matukio hayo. Muda utaongea.
  13. Ndahani

    Jeshi la Congo linapigwa vibaya!

    Vita, project mpya ya watusi
  14. Ndahani

    IT, ICT, CS students wanaokimbia chuo ili kuwa mabillgates hapa Tanzania hawawi hivyo hata kwa mtaa tu, kwanini?

    Bongo tunadanganyana lazima kila mtu awe na degree..na sasa mpaka PhD za kuungaunga. Wakati hata kusomea VETA kitu unachokipenda, unaweza kutoboa. Elimu yetu inatuandaa tukaajiriwe na tunaamini katika ajira tutapiga deals Bill Gates anastahili sifa...kumbuka, sio kila kwenye miti kuna wajenzi
Back
Top Bottom