Search results

  1. Ambassador

    Klabu bingwa Afrika: Simba SC 1-0 Al Ahly

    Watch Live Streaming Football Yalla Shoot Free HD
  2. Ambassador

    Maana ya neno ushoroba

    Corridor
  3. Ambassador

    Nipo kigoma hapa! Naiona meli kongwe Afrika mashariki na kati "Mv Liemba". Masikini, Yameshaota mpaka na majani kabisa ndani yake.

    Pole sana kiongozi. Simu yako ndogo mpaka meli haitoshi? Usijali, mwaka huu utapata simu kubwa inshallah.
  4. Ambassador

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Hizo haziwezi kufika kwenye extent ya kuleta madhara I guess...
  5. Ambassador

    Tetemeko kubwa la Ardhi laikumba mikoa ya Mwanza, Kagera...

    Tetemeko limepita tena Bukoba mida hii! Sio kubwa kama la jana. Watu wako nje.
  6. Ambassador

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    FirstLady1 uko nchi hii!? Very long time aisee!
  7. Ambassador

    Asali nzuri ni ya wapi? Inapatikanaje?

    Asali ya Tabora inasemekana kuwa inarinwa karibu na mashamba ya tumbaku na kuna uwezekano zina chembechembe za viuatilifu pamoja na sumu nyingine za tumbaku. Asali ya Kigoma ni nzuri, ni PM kama utahitaji kuipata.
  8. Ambassador

    Nauza mashine za kutengeneza bati na kofia

    Ikiwa full capacity inatoa bati ngapi kwa siku?
  9. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Here goes Samatta!! African player of the year based in Africa! Hongera sana dogo kwa kutuwakilisha vema, now I can sleep.
  10. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    African legends - Charles Kumi (Ghana) and Samuel Mbappe (Cameroon)
  11. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Referee of the year - Papa Bakary Gassam (Gambia)
  12. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Women's player of the year - Gaelle Enganamouit (Cameroon)
  13. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Coach of the year Herve Renard. Alikuwa anafundisha Ivory Coast
  14. Ambassador

    GLO CAF Awards 2015: Mbwana Samatta aibuka Mchezaji Bora Afrika (wa ndani ya Bara)

    Youth player of the year - Victor Osimhen (Nigeria)
  15. Ambassador

    Suluhisho la Tatizo la uume kutosimama imara wakati Wa kugegenda

    Ni tatizo lipo muda wote au hutokea mara moja moja?
  16. Ambassador

    Chakula cha wanasayansi nje ya dunia

    Wanabeba vyakula vilivyokaushwa kwenye mifuko maalum, makopo au tyubu kama za dawa ya meno. Vilevile wana vifaa maalum kwa ajiki ya kuchemsha na kupoza maji maana baadhi ya vyakula huhitaji kuongezewa maji ili kuvirejesha kwenye hali yake kabla ya kuliwa. Unaweza kusoma link hii kwa maelezo...
Back
Top Bottom