Search results

  1. Yo Yo

    Six pack ya Shilole

    Wow beutiful
  2. Yo Yo

    Thamani ya Paul Pogba ni mara mbili ya thamani ya Bale

    Thamani ya midifilidi Paul Pogba ni mara mbili ya garasa Gareth Bale ambali linapigiwa kelele na wasiojua soka.Nakubaliana na Raiola Masterpiece Pogba 'worth two Bales'ESPN staff August 28, 2013« AVB all but confirms Bale sale | Mourinho helps secure Willian deal » Paul Pogba has made a big...
  3. Yo Yo

    GoodBye T-Mac God bless you

    Today basketball fans tumepoteza bonge la mchezaji Tracy McGrady ambae ameamua kutundika daruga.This is is sad me and my family we wish Mr Tracy a very happy retirement. He's one of the greatest NBA player who scored 13 pts. in 35 secs
  4. Yo Yo

    Supastaa Feza kessy miezi mitatu kasahau kiswahili sh!t

    Supastaa wa mchezo wa kifanyana matuzi kwenye tv Feza Kessy anasema kasahau kiswahili kwa kukaa miezi mitatu kwenye danguro la BBA. Upuuzi mtupu ni sawa na baharia mmoja alirudi baada ya kukaa siku nyingi baharini akaja na muondoko wa kunesa nesa baba yake anamuuliza kwanini anatembea kwa...
  5. Yo Yo

    what is the role of diaspora in tanzania development

    Mnakaa online kupiga makelele lakini hatuoni mnachochangia kwenye maendeleo ya taifa. Maendeleo sio kuweka mapicha facebook na michuzo blog mko kwenye ma bash na matumbo makubwa.Maendeleo yako wapi taifani
  6. Yo Yo

    St.Ronaldinho Anapiga mashuti,anapiga vyanzu,vyobo,anafinya,anadribl e,anafunga

    Hakika nawaambieni yule mchawi wa soka karudi mtakatifu Gaucho anapiga vyanzu vya kutosha anapiga vyobo tani 800 anadrible umbali wa dar mwanza nawambieni 2014 mchezaji bora wa mwaka brazili 2013 Ronaldo de asis hakosi kwenye kikosi cha Scolari Bado sijaona mrishaji mzuri wa vijana kama Jo pale...
  7. Yo Yo

    Samahanini mwanamke huyu ni --------

    Huyu mwenye mume sijwahi kuona mwanamke -------- kama huyu.Pili sijawahi kuona waandishi wapumbavu wanaoshabikia habari za kipumbavu kama hawa.
  8. Yo Yo

    Hawa ndio mfano wa wana usalama wa bongo?

    Ni mambo ya ajabu afisa usalama wa taifa anajiingiza kwenye ugomvi wa madada yalioshindikana ya mjini kama Mange na Sinta.Huyu afisa kaabisha kazi ambayo ni nyeti. Afisa gani wa usalama anajipambanua kiasi hiki,unatumia nguvu kumjua yeye ni nani? ni aibu sana kwa sekta nyeti kuwa na mtu kama hii.
  9. Yo Yo

    Unahitajika mchango wa pesa kumtoa Mtanzania mwenzetu wakuu

    Angnes katika poziiii Tuache tofauti zetu.....ila tufanye tuwezalo watanzania tumtoe huyu mtoto lupango sauzi....
  10. Yo Yo

    Waandishi wa TZ na investigative journalisim

    Nauliza kwanini waandishi wa tanzania nao hawawai wabunifu na kuanza kutupatia makala za kiintelijensia ambazo zingejibu maswali mengi wanasiasa wanaowalisha wananchi..... Moha wa jicho pevu ni mfano wa kuigwa kaja na majibu ya maswali mengi kwa wakenya......mohamedi ally wa tanzania yuko...
  11. Yo Yo

    4th july wapi mazee?

    Aisee happy 4th july kwenu wote.......it a wonderful day kabisa......nasheherekea hapa naumwa na mbu najiandaa kupamba na foleni kesho....nyie mnafanya nini?
  12. Yo Yo

    Kiingilishi cha JK

    Aiseee kingereza za kikwete aisee........enewei hakufaa kuongea kiingereza ambacho hakijui hakukuwa na haja ya kulazimisha kuongea lugha asioiweza.......maana jana kajitahidi kajitahidi saana ila wapi.....unaweza kusema maswali alikuwa anayakwepa lakini sio hivyo..ila hakuwa anajua ajibuje.......
  13. Yo Yo

    Oo emu jiii RiRi extemeely stunning

    oh maii toto lina guu aisee....sio mnatuwekea michilizi ya wema sepetu hapa.....aisee angalieni toto hilo....very energetic,classic mtoto msaaafi aisee kansa ya koo hapo inakusamehe....mambo ya Stive dii
  14. Yo Yo

    Picha za Safari ya Rais Obama alipozuru Africa

    Arrived safely: President Barack Obama holds his daughter Sasha's hand as the he and his family exit Air Force One after landing in Dakar, Senegal
  15. Yo Yo

    Weekend

    rip nate doggy....maaaang this is maafaka hot......
  16. Yo Yo

    Madawa ya kulevya inavyoua vijana Tanzania

    Inasikitisha kwa kweli
  17. Yo Yo

    Mike mushi kati kati ya miguu ya Jokate

    kwa hali hii simlaumu mike kwa kula kozi kati kati ya miguu ya jokate.....pale kati pako wazi kabisa....aiseee.......mike ana bahati sana...
  18. Yo Yo

    Huu ni uchafu miss tabora..mwadada aanika makalio yake mbele ya mh:william ngeleja

    Mmoja wa washabiki wa muziki wa kizazi kipya ambaye alivaa vazi lililoacha ------ nje.... Shabiki huyo alipanda jukwaani kumkumbatia msanii maarufu nchini , Ommy Dimpoz wakati alipokuwa akitoa burudani katika mashindano ya Redds Miss Tabora. Tukio hilo la aibu lilitokea mbele ya...
  19. Yo Yo

    Watoto wa Jah kaya

    Ngoja afe Shilole JK atatoa mili 300
Back
Top Bottom