Search results

  1. M

    Kusema Hapana sio kosa la jinai

    Wana jamii, baada ya kuisoma Rasimu ya Pili ya Katiba na Katiba iliyopendekezwa na BMK na baada ya mmoja wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kutoa changamoto ya kwa nini tupige kura ya Hapana kuikataa Katiba inayopendekezwa na BMK, nimeona niwashirikishe wanajamii wote msome jinsi ambavyo...
  2. M

    Katiba Inayopendekezwa kukosa maadili ya Viongozi ni sawa?

    Mwenzenu nimesoma Katiba inayopendekezwa lakini ninapata kigugumizi kwa kuona BMK imeondoa mapendekezo mazuri yaliyokuwa kwenye Rasimu ya Pili ya Katiba iliyowasilishwa na Tume. MMoja wa wajumbe wa iliyokuwa Tume ya Katiba amejaribu kuchambua mapungufu hayo ambayo nimeona ni vyema tukachangia...
  3. M

    Serikali kuu na Serikali za Mitaa, Tanzania - Nini tofauti zake katika utendaji??

    Jamii Forum wale wazoefu wa miundo ya Serikali kuu na Serikali za mitaa naomba mnielimishe kidogo. Nini tofauti za Serikali hizo katika muundo na utekelezaji wa kazi zake??
  4. M

    Mnyika apingana na Pinda kuhusu katiba: Katiba Mpya Kuzinduliwa April 2014

    Ukweli hata mimi nadhani Waziri mkuu Mheshimiwa mtoto wa mkulima Mizengo Kayanza Peter Pinda hatutendei haki kabisa watanzania kwa ujumla wetu. Suala la Katiba nadhani hata mjadala haujaanza wa nini kifanyike na kifanyike vipi. Inakuwaje Waziri mkuu anakuja na hoja hadi kuthubutu kuitolea tarehe...
  5. M

    Methali mpya

    Richmond hadi Dowans.......... Tanzania yote giza tupu!!!!
  6. M

    Methali mpya

    Swadaktaaaa Kiranja mkuu!! Wanja huonekana tu kwenye mwanga!! Gizani nani atauona??
  7. M

    Methali mpya

    Bujibuji nakushukuru kwa kutukumbusha hayo maneno ya Baba wa Taifa letu. Nakubaliana nawe kabisa kuwa Nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea misaada toka nje peke yake, Mwalimu alikwenda mbele zaidi kwa kusema nchi itajengwa na wananchi wenyewe na hasa wale wenye Moyo!!
  8. M

    Kiongozi wa shambulio la kigaidi TZ na Kenya aumeuawa!

    Waache waendelee kuuawa tu maana hata wao wameua sana, sasa wakati wao nao umefika wa kutangulia mbele ya haki hata kama ni kwa ncha ya upanga waliouanzisha wenyewe. Omuregi anauliza mbona majina yanafanana ni ndugu au vipi mimi nadhani hata kama si ndugu ila kwa kuwa imani zao za kuuwa...
  9. M

    Kashfa ya Richmond: The FACTS

    Sakata la umeme hewa wa Kampuni ya Richmond limeibuliwa tena kwenye Bunge letu tukufu na Mh. Wilbroad Slaa lakini linaelekea kuzimwa kiaina fulani na Waziri muhusika Mheshimiwa Philip Marmo. Niwaulize wenzangu hivi kweli hatuhitaji majibu sahihi katika hili kama wananchi wa kawaida? Au hayo...
  10. M

    East African Federation (EAF) public Views

    Sipingani na wenzangu wengi waliowahi kuzungumzia suala hili kuwa kwa upande mmoja kuingizwa kwa Rwanda na Burundi kutaongeza hofu ya amani kutoweka katika ukanda huu kutokana na ukweli wa historia yao. Hata hivyo zipo pia faida ambazo zitatokana na kuingia kwao, k.m wigo wa biashara kupanuka...
Back
Top Bottom