Search results

  1. Kisoda2

    Kinachoendelea BUNGENI !

    Kinachoendelea bungeni kulikuwa na haja gani kujadili ripoti ya PAC ! Ilhali uchinguzi bado unatakiwa tena ufanywe ili kuthibitisha yaliyomo kwenye ripoti zote mbili.
  2. Kisoda2

    Kinachoendelea BUNGENI sasa ni dhulma na kiini macho!!

    Kwanini Serikali inatumia nguvu kubwa namna hii kuwanasua wahalifu? Taarifa zote zimeonyesha madudu yamefanyika,hata hao wanaoitete serikali wansjichanganya na kukosa hoja za msingi juu ya utetezi wao. TRA chombo cha uma kimeyaona mdudu na kuwajibika/kuwajibishana. CAG kaonyesha yake. PCCB...
  3. Kisoda2

    Siku ya Pili leo Air Tanzania imeshindwa kutupeleka Mbeya!

    Mliopo mjengoni(Bungeni) Dr. Mwakyembe alijisifia sana kwamba ndege mpya inaruka kila kona sasa hivi na hakuna shida yeyote, wanajipanga kwenda mbali zaidi. naomba mumuulize kulikoni tupo hapa siku ya pili leo wameshindwa tupeleka Mbeya, kisa NDEGE mbovu na hawajui lini itatengemaa. tunaishia...
  4. Kisoda2

    Kwa ninavyokujua wewe,,,,,!!!

    Siku moja umerudi na mning'ining'io(hanover) wako ongeza na usingizi mkali wa kukesha yapata kama saa tisa unusu ama kumi ndo umeingia kulala. Yapata majira ya saa moja asubuhi mtu anakugongea mlango kwa nguvu(fujo/kero). Unaamka ili kwenda fungua upate kujua nani huyo, unajikwaa kidole cha...
  5. Kisoda2

    U.S. Government shuts down

    Parties fail to beat midnight deadline For the first time in 17 years, the U.S. closes non-essential services, furloughing around 800,000 federal workers in a move that will cost the country billions.
  6. Kisoda2

    Mambo mengine bana siyo kabisa!!

    Mzee mmoja wa Kihaya alivamiwa nyumbani kwake Bukoba usiku wa manane, badala ya kupiga 911 wamsaidie yeye akapiga simu Marekani eti anauliza: Halloo Mutalemwa! Ni nani anavunja geti languu hapo njee!!:shocked::shocked:
  7. Kisoda2

    Wazo la asubuhi ya leo!!!

    Ukiona mama mjamzito katema mate, ujue mtoto tumboni kajamba!!
  8. Kisoda2

    Chezeya Pesa weye!!!!

    Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station. "Naitwa Juma nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7,ATM Card na karatasi yenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu". Mtangazaji akasema: Akhasante, kwahiyo ungependa kumrudishia mwenyewe...
  9. Kisoda2

    Maamuzi mengine banaa,,,,...,,,!

    Mama 1 kaenda kwenye kikao cha harusi. Kwa kuwa kulikua na kinywaji cha kutosha kachelewa kurudi home mpaka 6.30 usiku, kauta mume keshalala kabisa. Mama: Hodi? Mume akamwambia: Kalale huko huko! Mke akajibu: Sikuja kulala,nimekuja chukua CONDOMS ziko kwenye pochi juu ya kabati! Mume: Kazima...
  10. Kisoda2

    Ujanja mwingine Banaa,,.!!

    Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani! Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa. Mzee aliposikia hivyo akasema dah!! Samahani kumbe niliagizwa na CHUPI!!! Mama: Nyoo mshenzi mkubwa wewe!!:heh::heh::heh::heh:
  11. Kisoda2

    Ujanna Kwingine Bana,,.!!

    Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani! Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa. Mzee aliposikia hivyo akasema dah!! Samahani kumbe niliagizwa na CHUPI!!! Mama: Nyoo mshenzi mkubwa wewe!!:heh::heh::heh::heh:
  12. Kisoda2

    Aibu nyingine wazazi tunajitakia,...,,!!!

    Mzee mmoja mwenye UMRI kama 50 hivi, anamchapa mwanaye bakora kisa kafeli mtihani.."Mtoto hasara kabisa, mbona Juma kafaulu? Nyie si mna UMRI karibu sawa kabisa???" Mtoto: Baba hivi wewe na Bhakhresa kwani UMRI wenu si unakaribiana kabisa?? :shock::shock::shock:
  13. Kisoda2

    Kijimsemo 2

    Sio kila aliyeingiza mikono mifukoni anatoa pesa,wengine wanachezea pumbu tu!
  14. Kisoda2

    Stori za mapenzi

    Siku moja MUME na MKE walikwenda Zanzibar............................(itaendelea wakirudi!):heh::heh::heh:
  15. Kisoda2

    Mambo mengine waweza ukafa kabla,,...,!!!

    Kuna jamaa alipewa hela zake kama urithi toka kwa wazazi wake. Bingwa kwa akili ya haraka kwanza akazisweka kwenye kiroba na kutokomea nazo porini kwenda zificha, ili aape muda wa kupanga nioni afanyie. Alipofika porini alichagua mti mmoja na kuchima shimo chini yake kisha akafukia kiroba chake...
  16. Kisoda2

    Jiulize kabla hujabisha,,!!

    Jamaa mmoja alikwenda dukani akanunua SIGARA na kuanza kuvuta pale pale. Muuzaji - Samahani kaka, hairuhusiwi kuvuta SIGARA hapa dukani. Mteja - Mbona SIGARA nimenunua hapa hapa? Muuzaji - Kila siku tunakuuzia CONDOM mbona hu*%*$ hapa hapa?:bange::bange:
  17. Kisoda2

    Dr. Usicheke tafadhali!!

    Jamaa bonge la mtu kaingia kwa dokta. Jamaa: Dr. nina tatizo huku sirini. Dr: Hebu vua nguo tuone. Jamaa: Poa navua ila plz usicheke, narudia usicheke. Dr: Ucjali hii ndo kazi yangu siwezi kucheka mgonjwa. Jamaa akavua suruali, Dr. kuona tu, maadili yakamshinda akaanza kucheka mbaya kama dakika...
  18. Kisoda2

    Kama wewe JEURI,basi ujue kuna JEURI zaidi yako!!!

    ndani ya daladala toka K/koo kwenda Kimara, lilipofika Manzese konda akauliza; Konda: kuna mtu anashuka? Mrembo akajibu: Tumeyacha nyumbani, hapa tuna mitandio tu!! Kufika Ubungo Maziwa, yule dada aliyeleta nyodo akawa ashuka. Mrembo: Konda nashuka maziwa. Konda: Kayanunulie SIDIRIA...
  19. Kisoda2

    Majibu sahii kabisa .

    HERE IS HOW A STUDENT OBTAINED 0% IN AN EXAM - Personally, I would have given him 100% how about you? Q1. In which battle did Napoleon die? * his last battle Q2. Where was the Declaration of Independence signed? * at the bottom of the page Q3. River Nile flows in which state? *...
  20. Kisoda2

    Chezeya Paka wewe!

    Jamaa mmoja laiamua kwenda kumtupa paka wake mbali na home, aliporudi bade home alimkuta paka katia timu kitambo tu, jamaa akakasirika sana. Siku ya pili aliamua kwenda umbali kama 50kms hivi akapiga chochoro za kutosha kisha akamtupa,akaanza safari ya kurudi home. baada ya muda akampigia mkewe...
Back
Top Bottom