Search results

  1. WomanOfSubstance

    Gender issues in the Olympics - Ole wenye homoni nyingi za kiume!

    Kuna rafiki yangu kanitumia hii article: Sex–testing, head-covering, outing, unisex crying, flowers and more Just a few mid-term up-dates on gender issues at the Olympics 2012 First of all on the issue of sex-testing : while experts debate the usefulness and propriety of...
  2. WomanOfSubstance

    Kesi ya Mahalu:Rais Mstaafu B.W. Mkapa Kortini Mei 8

    RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, anatarajiwa kupanda kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Mei 8, mwaka huu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu.Wakili anayemtetea Balozi Mahalu, Mabere Marando alisema jana kwamba Mkapa atapanda...
  3. WomanOfSubstance

    Kipindi hiki cha TBC 1 mlengwa ni nani?

    Kipindi cha "This week in Perspective" ni moja ya vipindi vizuri vyenye kuchambua mambo muhimu sana katika jamii ya kitanzania.Hujaribu kufafanua masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya jamii - kiuchumi, kisiasa na hata kijamii. Suala au mada huchambuliwa kwa kina na katika hilo hujaribu pia...
  4. WomanOfSubstance

    "Ujinai" wa Lulu katika "mauaji" ya Kanumba (R.I.P)

    Naanza na kutoa Pole kwa watanzania wote, hasa ndugu jamaa na marafiki wa karibu wa Kanumba The Great (R.I.P) kabla sijatoa mchango wangu kuhusu hili jambo zito na nyeti ambalo limetawala maongezi katika kipindi hiki cha Sikukuu ya Pasaka. Mengi yamesemwa na pia kuna mengi pia hayajasemwa, moja...
  5. WomanOfSubstance

    International Women's Day 2012: Mwanamke gani unamuona ni mfano wa kuigwa Tanzania na kwanini?

    Leo tarehe 8 Machi 2012 ni siku ya kimataifa ya wanawake duniani.Ni siku inayopewa heshima ya kipekee kimataifa na kitaifa kuwaenzi wanawake na kutambua michango yao katika nyanja mbalimbali hasa kimaendeleo. Madhumuni ya maadhimisho haya ni kupima utekelezaji wa maazimio, matamko na mikakati...
  6. WomanOfSubstance

    Muda (time)

    Once upon a time all feelings and emotions went to a coastal island for a vacation. According to their nature, each was having a good time. Suddenly, a warning of an impending storm was announced and everyone was advised to evacuate the island. The announcement caused sudden panic. All...
  7. WomanOfSubstance

    Mbegu ya ajabu

    Everyone has ProblemsA mother who had lost her only son went to the man of religion in her village and said: "Is there anything you can give me to reduce the pain that I feel?" "Yes," he said. "There is a wonderful thing you can do. I want you to go and get me a mustard seed from a home that...
  8. WomanOfSubstance

    Ulimi

    The king made a banquet and ordered his clever slave to serve the best food that money could buy. The main food at the meal was tongue... all kinds of tongue cooked in all kinds of ways. All the side dishes and even dessert were also tongue... When the king objected, the slave said: "My Lord...
  9. WomanOfSubstance

    Maji ya moto

    Carrot, An Egg and A Cup of Coffee A carrot, an egg, and a cup of coffee (we all fall into one of these categories) You will never look at a cup of coffee the same way again. A young woman went to her mother and told her about her life and how...
  10. WomanOfSubstance

    Tusherehekee na tufurahi pamoja sikukuu hii muhimu - miaka 50 ya uhuru si haba

    Leo ni siku muhimu sana kwa watanzania.Tunajivunia kufikisha miaka 50 ya kuwa nchi huru. Tukiachilia mbali siasa, nadhani leo ni siku ya kila mmoja wetu kufurahi apendavyo. Ukiweza jumuika na wenzio mcheze, muimbe, mrukeruke. Ukiweza fanya tafrija ule na kunywa na wenzio.Bahati mbaya sana...
  11. WomanOfSubstance

    Mwekezaji 'kusaidia kujenga Mahakama ya Rufaa' siyo sawa!

    Namsikiliza Mh Waziri wa Sheria na Katiba akijenga hoja kuwa kuna mwekezaji anajitolea kujenga mahakama ya rufaa kama atapewa hilo jengo la Mahakama ya Rufaa - iliyokuwa Forodhani Hotel. Mimi naona hata kama ndivyo haitakuwa sawa kwa mwekezaji kutujengea MAHAKAMA YA RUFAA - THE HIGHEST...
  12. WomanOfSubstance

    Full mipasho bungeni

    YAMEKUWA HAYO?!! Mipasho hadi Bungeni jamani?..Mh Chombo Vs Tundu Lissu!
  13. WomanOfSubstance

    MANENO MENGINE!!... Nini maana na asili ya maneno haya??

    Leo nilikuwa kwenye ibada, ikawepo haja ya kutafsiri neno "Ghost" basi mhubiri akasema "Mzuka"... mbona miguno na vicheko vilitawala! Nikawa najiuliza mhubiri hajui kuwa "Mzuka" ina maana tofauti kabisa? Nikazidi kujiuliza, kuna maneno mengi tu siku hizi ukiyatamka watu hupata maana tofauti...
  14. WomanOfSubstance

    Jihadharini wanawake Dar es salaam - serial killer on the loose!

    Haya mauaji ya wanawake Dar es Salaam ni vipi? Hadi sasa wameshauwa wanawake 7 kwa style hiyo hiyo! Tumeanza kuwa na serial killers jamani akina dada mjihadhari!
  15. WomanOfSubstance

    Siku rasmi ya kitaifa ya msamaha - National Sorry day

    Watanzania kama Taifa tuna majeraha ya kila aina na hii imejidhihirisha kwenye mijadala mingi sana hapa JF. Wapo wanaoona walikosewa kutokana na imani/dini zao; kutokana na itikadi zao, maeneo wanayotoka, jinsi walivyotendewa na viongozi wao n.k. Wapo wanaodhania hakuna namna nyingine zaidi...
  16. WomanOfSubstance

    Kumtegemea Rais kupata majibu ya kila tatizo la nchi ni sawa?

    Kitu kinachoniumiza kichwa hasa kwenye tatizo la umeme ni kujaribu kuelewa ni nani mwenye "suluhisho la kudumu" la kumaliza hili tatizo sugu kwa kila awamu ya urais hasa awamu hizi mbili za mwisho. Rais wetu keshasema yeye hana uwezo kumwambia Mungu anyeshee mvua mabwawa yajae, umeme...
  17. WomanOfSubstance

    Mheshimiwa Engineer Samawati Mbunge!

    TBC hapa kuna Waziri anatumia muda mrefu kweli kwenye majumuisho ya Wizara yake... anataja waheshimiwa kibao waliochangia kwenye majadiliano, kwa majina...na kumalizia..Mheshimiwa ....."mbunge".Hii imefanya atumie muda mrefu sana wakati sisi wananchi tunachotaka ni kusikia hoja na siyo majina...
  18. WomanOfSubstance

    Njozi ya rais wangu ajaye 2015-2020!

    Tanzania, nchi yangu niipendayo kwa moyo wangu wote. Ndio maana hadi leo pamoja na kutembelea nchi nyingi za wenzetu na kuona mengi ya kutamanisha, bado nimekomaa hapa hapa na sina mpango kuikimbia nchi yangu pamoja na matatizo yake yote. Nina imani bado kuwa iko siku itageuka na kuwa paradiso...
  19. WomanOfSubstance

    Wanalima kweli au?

    Nisaidieni jamani... Kila mara naona wakina baba wazee wakiwa ndio wasemaji wakuu kwenye mambo ya kilimo kwanza! Ni kweli wao ndio walimaji?
  20. WomanOfSubstance

    Rai yangu kwa watanzania kupitia JF

    Wapendwa, Ninaomba mnisaidie kidogo maana naona kama nimepotea sielewi. Kwa kipindi kirefu nimepotea kuchangia kwenye Jukwaa japo nachungulia kusoma pale nipatapo wasaa. Nimekuwa naona hasa baada ya uchaguzi kumezuka mtindo/trend za "ajabu ajabu"( na haya ni maoni yangu binafsi) watu kujikita...
Back
Top Bottom