Search results

  1. E

    Mpinzani wa gooogle search huyu hapa

    Huyo msimuogope watuwangu ATAFULIATU
  2. E

    Wanajeshi wampiga trafiki kikatili, wadai kucheleweshwa Ubungo Dar

    Nakupongeza sana mayapila pia nakupa pole ,hawa wapumbavu hawajui walitendalo ,kazi kwako mwema na mwamnyange, ila swara la kuunda tume nila kijinga sababu inaeleweka,wanajeshi watanzania hawana adabu sikuzote wanajiona wao wako sawa wao ndio wana uhuru wakila kitu kwakweli wamemzalilisha...
  3. E

    Kabuye (mbunge pekee wa TLP) Kafariki

    Mzalendo halisi unauliza kama bado mbunge ,huyu babu alishindwa lakini alikuwa amekata rufaa na rufaa yake ilikuwa bado kusikilizwa kwakweli mungu amulaze mahali pema peponi
  4. E

    Ukipigiwa simu pokea vinginevyo!!

    Chakufanya uwe naline tofauti moja maalum kwajiri ya small house na hand set yake ukifika kwa my wife wako ile ya small house unaizimilia mbali.
  5. E

    Nimemfumania mchungaji

    Haya wana JF Nipeni ushauli nimemkuta mchungaji anavunja amri ya sita na mkewangu akaniomba nisimzuru ila twende wote kwake namimi nikamgonge ngozi mkewake, kufika kwamkewe akampa full mkanda nakilichotupeleka pale mwanamke akagoma kutoa mashine akasema mmalizane hukohuko msinihusishe mimi sasa...
  6. E

    Jokes/utani

    Wana JF Naomba ushauli nimemfumania mkewangu analiwa uloda na mchungaji wa kanisa moja hapa dar mchungaji akaniomba nisimzuru ila twende wote kwa mkewake namimi nikale ngozi kwa mkewe,kufika mkewe kagoma akasema unakuja kunigongamimi umekuta mimi ndie nimempanda mkeo? kamalizane wenyewe huko...
  7. E

    Matumizi ya lugha.

    Haya wana jf kunaneno moja nataka munieleze matumizi yake. Nihivi Mh furani KAGONGA Wasichana wawili mjini Dar je mnapata picha gani?
  8. E

    Natafuta Rafiki, Mchumba

    Poa mtuwangu miminimetendwa nasitaki kutendwa tena nikotayali ila niko nawatoto wa huyu mtu aliye nitenda jeutanipokea?
  9. E

    Utambulisho

    Karibuni sana
  10. E

    Naomba Ukaribisho:Gozigumu

    Mfumwa umeongea la busala sana manake huyu Anord anaonysha anawatambua wote kwamajina ndio maana anasema kuwa wanaficha majina namshauli atakapotaka kuchangia mada yoyote ile iweya kumkosoa mchangiaji basi amtaje jinalake lauficho
  11. E

    Naomba nijitambulishe kwenu

    Karibu sana n'gwana wane
  12. E

    Kauli za wanaume wanapozikataa condoms wakati wanakutana na wapenzi wao

    Mimi nina mashaka na hao wanaokataa kutumia condoms wanaweza wakawa mafataki enyi mademu take care
  13. E

    Kesi ya Liyumba, Utata na Maendeleo yake

    Hata huyo hakimu aliyeluhusu dhana yenye utata anatakiwa ajieleze awajibishwe haiingii akilini kabisa manake zamana yenyewe ilikuwa na zengwe
Back
Top Bottom