Search results

  1. M

    Nahitaji Kukodi Malori 5 ya Kichanja

    Wanabodi, Nahitaji kukodi Malori Matano ya Kichanja (not box body, preferably Scania 113) haraka iwezekanavyo. Terms & Conditions ni kama ifuatavyo:- Malipo kwa siku ni 500k (Laki 5). Hii ni net payment wakati gharama zote za Dereva pamoja na mafuta ni juu yangu; Gari liwe katika hali nzuri...
  2. M

    Secretary Anahitajika

    Sifa za Muombaji: Awe na elimu angalau ya Kidato cha IV Awe na Cheti kutoka Chuo kinachotambulika na Serikali Ujuzi katika kutumia Microsoft Applications Awe na umri kati ya miaka 18 - 25 Awe tayari kufanya kazi katika Mkoa wowote ule atakaopangiwa majukumu Mshahara utategemea na sifa za...
  3. M

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hii ni kazi njema na yenye thawabu kubwa mno machoni pa BWANA! Mwenyezi MUNGU Aikumbuke sadaka hii unayoitoa sasa katikati ya giza totoro la uzinifu! Aidha, Nashauri utoe contacts ili, kama unavyosema, wapo Watu wachache hapa ambao BWANA Atasema nao na kuwaongoza kwenye njia ya toba na wokovu...
  4. M

    Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    So far Nimeshawalima barua lakini hawajajibu, na katika ile barua Nimewa-copy Regulators. What else can I do in case they don't reply?
  5. M

    Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?
  6. M

    Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Unaweza kuja inbox ili unipe uzoefu Nami Niuwashe huo moto?
  7. M

    Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha nilizokuwa nikitunza kama akiba kwenye account yangu ya simu. Yaani unaamka tu asubuhi unataka...
  8. M

    Namtafuta Dr. Elias J. Muganyizi

    Sasa hiyo ni email au ni kitu gani??
  9. M

    Tunauza Mafuta safi ya Alizeti na Nafaka aina zote kwa bei nafuu

    Kampuni ya SIMA Investments inapenda kuwajulisha kuwa tunauza na kusambaza mafuta bora ya kupikia ya alizeti (sunflower cooking oil) pamoja na nafaka kama vile mchele, maharagwe, choroko, kunde, mbaazi, dengu, uwele, mtama, ngano, n.k kwa bei nafuu zaidi. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia...
  10. M

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Ninanunua na kuuza mbaazi, karibu!
  11. M

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Ninanunua mbaazi, tuwasiliane
  12. M

    Kwa wanaojua lilipo soko la mbaazi na choroko

    Mutanda, bado unahitaji choroko?
  13. M

    Nauza Choroko kwa bei nafuu

    Habarini? Ninauza choroko safi kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa kwa bei ya jumla jumla, kwa walioko Dar es Salaam bei ni TZS 2,500/kg na kwa wengineo ni TZS 2,000/kg. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia cerealsgrocery@outlook.com Pia, tuna nafaka aina zote kwa bei poa kabisa. Karibuni!
  14. M

    Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    Katika siku ambayo umenena kama GT tangu ulipojiunga na CCM ni leo, kama leo Vijana tungekuwa tunajadili Siasa kwa maslahi mapana zaidi ya Taifa letu badala ya kutanguliza unazi, ushabiki na mihemko isiyo na tija basi hakika tungeibadilisha Tanzania yetu katika nyanja zote kuanzia kisiasa...
  15. M

    Mtikisiko CCM: Vigogo watano kutoa msimamo hivi karibuni

    Kuota usiku ni dalili njema kwamba hata kama sehemu kubwa ya mwili imepumzika kufanya kazi, bado sehemu muhimu za ubongo zinaendelea kuratibu na kufanya kazi zake kama kawaida. Hata hivyo, unapoota mchana kweupe namna hii wakati mwili wako wote uko active ni dalili kuwa sasa ubongo wako umeanza...
  16. M

    Mgombea Ubunge wa CCM Kanda ya Ziwa kupokelewa UKAWA ijumaa

    Kuota usiku ni dalili njema kwamba hata kama sehemu kubwa ya mwili imepumzika kufanya kazi, bado sehemu muhimu za ubongo zinaendelea kuratibu na kufanya kazi zake kama kawaida. Hata hivyo, unapoota mchana kweupe namna hii wakati mwili wako wote uko active ni dalili kuwa sasa ubongo wako umeanza...
  17. M

    Natafuta mchumba

    Unataka kujua mshahara wake kwanza, siyo?!
Back
Top Bottom