Search results

  1. Maverick

    Nahitaji Vifaa vya Ujenzi

    Naomba ushauri na uzoefu wenu wadau kuhusu aina ya mabati, ubora and gharama zake katika suala la ujenzi. Je mabati au vigae vizuri? Je kuna mabati au vigae vinavyotengenezwa nchini vyenye gharama nafuu? Ubora ukoje? Naomba kuwasilisha.
  2. Maverick

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Naomba uzoefu wenu kuhusu mabati ya kiwanda cha Kiboko na Alaf kwa kuzingatia gharama, kupauka, kupata kutu n.k.
  3. Maverick

    Mjadala: Gharama na njia nafuu za kujenga nyumba ya kuishi Tanzania

    Wadau ! Ni Mabati au vigae ni bora na bei nafuu kwa kuezeka nyumba ukanda Wa pwani? Kama ni mabati ni yapi ambayo hayapauki kwa haraka? Naomba uzoefu wenu.
  4. Maverick

    Mkoa mzima wa Dar Es Salaam una Mbunge mmoja tu!

    Ni vigezo gani ulivyotumia kusema hivyo? Ni kuchangia Bungeni? Kuandikwa kwenye vyombo vya habari? Utekelezaji wa ahadi za uchaguzi? Ni vyema tukawapima kwa mizania sawa pasipo kuweka ushabiki.
  5. Maverick

    Hivi ndg mh. Meck sadiki yuko wapi?

    Yuko likizo
  6. Maverick

    Rais Abdulaye Wade wa Senegal akubali kushindwa!

    Rais wa Senegal Abdulaye Wade amekubali matokeo katika mzunguko wa pili wa uchaguzi wa urais. Wade ambaye ana miaka zaidi ya 80 alibadili katiba ili aweze kugombea mara ya tatu.
  7. Maverick

    Natafuta battery ya Blackberry Storm II

    Natafuta battery ya Blackberry Storm II mwenye kujua wapi zinapatikana anijulishe. Ahsante
  8. Maverick

    Men's Suits Za Kileo: Niaje?

    Suti hizi zinapatikana wapi? Ningependa kununua
  9. Maverick

    Unataka Kufungua Blackberry au I-Phone ya Uingeleza , USA na China? Muone huyu

    Anaweza kufungua Blackberry Storm II za Verizon USA?
  10. Maverick

    Kanivutia huyu kijana

    Impressive! Mchango wake ni mzuri sana! Jina lake kamili ni nani? Background yake?
  11. Maverick

    Juma duni haji wa cuf aunguruma viwanja vya mwembe yanga temeke

    Tujulisheni kinachojiri hapo haswa baada ya chama kumeguka wilaya ya Temeke
  12. Maverick

    Mgomo wa madaktari: Kigwangwalla kufukuzwa CCM?

    Sidhani! Anafukuzwa uanachama kwa vigezo gani?
  13. Maverick

    Ndugulile: Magufuli hajui sheria, anakurupuka tu...

    Nani kasema Mnyika haungwi mkono na wabunge wa CCM katika suala la uthibiti wa bei?
  14. Maverick

    Juma Nkamia Vs Zitto Kabwe in BBC now

    Naomba frequency
  15. Maverick

    CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

    Kwa tamko hili, CCM imeonyesha ukomavu na kujali wanyonge. Inapendeza!
  16. Maverick

    Msaada wa matengenezo ya modem

    Unahitaji mafundi wa electronics. Naamini wapo hapa ndani watakusaidia
  17. Maverick

    Rostam hana nyumba Igunga!

    Kwa mujibu wa sheria za uchaguzi si lazima mgombea awe mkazi wa jimbo husika.
Back
Top Bottom