Search results

  1. Kusaja

    Wangapi zamani waliamini Majaji ni watu wenye uwezo mkubwa lakini Sasa wanaanza kuamini kila mtu anaweza kuwa Jaji?

    JAJI NI JAJI Ukianza tu KUMJAJI JAJI kwa mirengo ya kisiasa huwezi tambua maana ya JAJI,Nimefatillia sana kesi ya Mheshimiwa MBOWE toka inaanza ila honestly speaking from the beggining watoa taarifa hawakuwa objective
  2. Kusaja

    Familia ya Freeman Aikaeli Mbowe yathibitisha mwanafamilia kuwa na Corona

    Kuna wakati huwa nashangaa wana ccm ambao wanatetea ujinga wa Bashite huyu jamaa ni kujidharirisha tu kutetea madudu anayofanya k kila kukicha ,kuna muda huwa nahisi ama anafanya makusudi au kuna anaemtuma kuchukua attention ya Umma wa waTz
  3. Kusaja

    Dotto Bulendu amchambua Paul Makonda

    Makonda kila siku zinavyoenda anathibitisha maneno ya Gwajima ,The man ni Kilaza ni wa kusamehe bure tu
  4. Kusaja

    Trump on North eastern Syria oil fields

    This is what we call USA ,Democrats or Republic's. When it comes to Oil fields ni watoto wa baba mmoja ,huo ndio uzalendo sio kina sisi na ccm na chadema zetu,Toto politics na vituko kila siku like ze comedy
  5. Kusaja

    Hongera kwa Cameraman wa TBC1, JWTZ ila pole sana kwa huyu Mlinzi Mlalavi wa Rais JPM kutoka PSU

    Leo kiukweli yule jamaa kazingua sana me mwanzo nilihisi ni Yale macho yake, baada akaanza kusinzia kabisaaaaa,natarajia watamchukulia hatua ,ameonyesha udhaifu mkubwa
  6. Kusaja

    Barua za Spika Ndugai kuomba mchango wa 200m ilikuwa ni kwaajili ya Wabunge au Taifa stars?

    Vita ni vita, natulia pembeni na juisi ya ukwaju, tusubiri mwisho wa picha
  7. Kusaja

    Meya Boniface Jacob: Waliompotosha Rais kuhusu mapato ya Halmashauri za mkoa wa Dar es Salaam wawajibishwe

    Maelezo mujarabu kabisaaaa,,jiwe popote ulipo,mtume harakaharaka ajibu kwa niaba.
  8. Kusaja

    Lowasa na Sumaye ni CCM kindaki ndaki

    Akili ndogo ,umetumia muda mwingi kuandika pumba wahi Instagram au Facebook panakufaa zaidi.
  9. Kusaja

    Kuna mtu kamdanganya Rais Magufuli juu ya Dodoma kuongoza kimapato; uhalisia wenyewe upo hivi!

    Taratibu mkubwa ,tutakushtaki kwa kutoa takwimu za Uongo,jiwe alishatangaza rasmi takwimu zote zitoke NBS.
  10. Kusaja

    Kuna mtu kamdanganya Rais Magufuli juu ya Dodoma kuongoza kimapato; uhalisia wenyewe upo hivi!

    Sasa hapo kwa kauli za jiwe na data zake Wagogo wamekosa nini,great thinkers acheni kutumia akili ndogo kwa mambo madogo,wagogo hawajawahi kuandika Katiba ya Tanganyika.....hata ya Tz
  11. Kusaja

    Naomba kufahamu kuhusu mishahara ya walimu

    instagramboy Huna unachokijua usipotoshe umma kaa kimya..hiyo mishahara umeweka ni ya nchi gani...mimi ni mwalimu hakuna kitu kama hiyo.....ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia ucheze.....
  12. Kusaja

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Walimu hodii , kama kuna mtu anataka kurudi kwao Nyasa Ruvuma tutafutane,wilaya hii inakua kwa kasii sana umeme unakuja mpaka dec vijiji 54 kati ya 70 vitakuwa na umeme....uwe unatoka Mbeya,moro,Iringa au Tanga Idara ya sekondari.PM ihusike zaidi...karibunii.
  13. Kusaja

    Zaidi ya wanafunzi 28000 kukosa mikopo ya Elimu ya Juu

    WANAFUNZI 28,037 KUKOSA MIKOPO. Wanafunzi 28,037 watakosa mikopo kutoka bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya hivyo watalazimika kusaka njia mbadala kama wanataka kuendelea na masomo hayo. Hadi kufikia julai 31 wanafunzi 58,037 walikuwa wametuma maombi ya mkopo na bodi hiyo imesema...
  14. Kusaja

    Huku mishahara imetoka nyongeza ni tsh 44,511/= huko kwenu vipi?

    Dip wamepewa ngapi isije kuwa ile sms iliyokuwa inasambaa ni ya kweli maana kama kweli wameongeza hiyo basi dip wanachezea parefu
  15. Kusaja

    Nimechoka mwili na roho mwalimu miye loh!!!

    Hahahahah nimeipenda hiyo Mwl rudi mjini tafuta mchumba olewa....karibu Nyasa
  16. Kusaja

    Walimu wapya walamba nusu ya pesa ya kujikimu-(NJOMBE).KWANINI?

    Halmashauri ya Nyasa Shahada tumeramba 315000 kesho tunakomaa nauli wamesema tuandike barua eti..
  17. Kusaja

    Katibu mkuu wa CCM Kinana na wa CHADEMA nani zaidi kimataifa?

    PHD ya kulisha waumini sacramenti Vatican au
Back
Top Bottom