Search results

  1. SangaweJr

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Hadi nimeomba nilisha jiridhisha kuwa havipo. Anyway labda unisaidie ni page ya ngapi or comment/ post namba ngapi mkuu?
  2. SangaweJr

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Kwa urahisi zaidi nenda haloshop. Maana hawa ma agent wa mitaani wanatamaa line ya bure wao wanataka 5000 hadi 10000. Sharti ni moja tu ukisajili basi lazime uunge kifurushi kimojawapo kati ya hivyo kuna cha 5000 kwa 4GB wiki au hivyo vya mwezi.
  3. SangaweJr

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu mimi sio heavy user ila kwa 18Gb speed ipo vizuri, napata speed sawa na niliyokuwa naipata kwenye line ta kawaida sijajua kwa unlimited. Chief-Mkwawa
  4. SangaweJr

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Line maalumu kwa internet tu huwezi ku piga simu wala kutuma sms inaitwa M2M. Pia kwasasa wana line nyingine tena yenye sifa kama za M2M ila yenyewe unaweza piga simu na kutuma sms.
  5. SangaweJr

    Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Kilicho baki ni kushindana, nani atawahi kufika Dar Es Salaam.
  6. SangaweJr

    Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Mmenogewa na lile goli la Nzengeli mlilopewa na refa 😁. (Yanga Vs Ihefu)
  7. SangaweJr

    Azam CamCard

    TV yako ina sehemu ya ku weka hiyo Cam card?
  8. SangaweJr

    Wale tuliosoma Usagara sec-Tanga

    Huyu muhindi alikuwa wa moto aiseee... USS hakika "sitakusahau"
  9. SangaweJr

    Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    Atarudi tu nyumbani, uzuri jamaa sasa hivi wanakupenyezea ujumbe kwanza, ukijifanya mkaidi tu. Wanakutembezea 🔥
  10. SangaweJr

    Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    Umeonaee, hakika ni suala la muda tu.
  11. SangaweJr

    Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    Huyo jamaa ni mmliki wa modded WhatsApp zaidi ya moja Fm Yo Gb Wa
  12. SangaweJr

    Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    Huyu mtengenezaji kesha nyoosha maelezo, sasa wewe mtumiaji endelea kutamba, As long as wewe ni user tu punguza ujuaji dogo. 👇🏾 📣 Announcement V10 will be released in a few days. HOWEVER, there are a few points that we would like our users to know. 1) WhatsApp introduced new updates to...
  13. SangaweJr

    Hii ndio Whatsapp bot na hizi ni features zake

    Punguza kujitapa mkuu, wewe sio owner wa gb Whatsapp na the rest, kama hujafikiwa wewe tulia tu. Siku zina hesabika na wala hutokuja hapa jukwaani kutoa ushuhuda.
  14. SangaweJr

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Nimeshakagua havipo labda uniambie ni post namba ngapi.
  15. SangaweJr

    Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Mwenye hivi vitabu tafadhali 1. This time tomorrow 2. Three suitors one husband.
  16. SangaweJr

    Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Kwani Kwani hitaji lake hapo lilikuwa ni chaja tu?
  17. SangaweJr

    Wataalam wa umeme wa solar nisaidieni hapa

    Kwani Kwani hitaji lake hapo lilikuwa ni chaja tu?
  18. SangaweJr

    Hivi hii shida ya App crash inakuajeee?

    Fanya update ya app hiyo. Also clear Cache/data za app husika.
Back
Top Bottom