Search results

  1. B

    Amestaafu na kupewa shilingi milioni mia moja. Anaomba msaada

    Ni rahisi sana mwambie aweke fixed deposit kwenye bank either crdb au nmb au Tanzania postal bank ambayo itamlipa 14% na hela yake itabakia pale pale atakuwa anakula faida tuu ndo kitu wanafanya wastaafu wengi kuweka fixed deposit ndo solution ya hii kitu hela tabak tuu na yeye atakuwa anapata...
  2. B

    Nimekutwa na tatizo la presha, msaada tafadhali wa dawa za asili za kutokomeza hii pesha

    Mkuu hata mimi ni mhanga wa hilo tatizo natumia dawa za hosptal lakin hivi pande kupitia ndugu yangu mwenye tatizo hilo alipata dawa ya kienyeji ambayo yeye alikuwa na presha kubwa sana na amepona na mie ni shuhuda kuwa walikuwa na presha kubwa ...kwa hiyo amenitafutia na mie nimeanza kutumia...
  3. B

    Hotuba ya Mbowe Kumkaribisha Lowassa

    Dah...mbowe ameonyesha ukomavu katika medal za siasa jamaa nilikuwa simkubali lakini kwa speech ya leo...i sulute
  4. B

    Biashara ya salon za kiume na kike

    Barber shop clasic bajet ni kama ifuatavyo 1.viti vya saloon clasic @1, 000, 000 2.kiti cha scrub @1, 500, 000 3.fetlizer @350, 000 4.machine za kunyolea @150, 000 5.tv and radio 6 .air port chair @500, 000 Hii ndio rougly bajet km...
  5. B

    viti vya barber shop naweza pata wapi?

    asante kiongozi kwa kunipa mwanga
  6. B

    viti vya barber shop naweza pata wapi?

    habari wadau ndugu zangu nina mpango wa kufungua barbeshop sasa naulizia mwenye ufahamu wapi? naweza pata viti vizuri vya gharama ya kawaida offer yangu mi laki tano(500,000) kwa kiti kimoja naombeni maujanja yenu
  7. B

    natamfuta mchumba(kike)

    nafafuta mchumba wa kike mwenye sifa zifuatazo 1.awe na hofu ya mungu mean ana sali 2.mkristo 3.awe na elimu kuanzia diploma na kuendelea(understanding) 4.good looking chocolate colour au mweupe mine nipo pouwa graduate nafanya kazi serikarin sio mrefu wala mfupi mean kat kat na heavy weight...
  8. B

    Ni wakati gani wa kumuambia mchumba wako kuwa una mtoto!

    hbar wadau bana naleta hii mada ni wakati gan muafaka wa kumuambia mpnz wako kuwa katika mahusiano yako ya nyuma yalipelekea kuwa na mtoto je ni wakat wa mwanzo wa mapenz au katikati au baada ya ndoa koz yamewah kumkuta rafik yangu alikuwa na mchumba wakafika ktk stage ya introduction kwa wazaz...
  9. B

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    du inasemekana kuwa super star ambae jina lake linazidi kupanda chat kwa mda fupi ha hasa ktk kipind hiki cha easter,idadi ya wanaume inawiana kabisa na umri wake wa miaka 17 na list hiyo kama ifuatavyo ally kiba,bob junior,ray,idd azan,kanumba,capt komba,chen, na ww weka yako
  10. B

    ushaur nimekula mayai kichina mdomo umevimba

    aisee wadau naomba ushaur nimekula mayai nais ya kichina mdomo lips ya juu unazid kuvimba mda had mda mwenye kujua dawa ya hili tatizo naomba anijuze maana hali inakuwa mbya nisaidien
  11. B

    Mitandao isitumike kumchafua Rais

    hao tanzania daima wanatafuta umaarufu tu kupitia mgongo wa nyumba mbona kuna mambo kibao tu jamii ina discuss tena hoja za msing wanapotezea wasiturudishe nyuma sie tupo mbele km 200000 'nyuma yao
  12. B

    naweza pata kioo cha laptop toshiba

    habar zenu wadau. aisee wAp naweza kupata kioo cha laptob aina ya toshiba tecrA 8200 changu kimevunjika tafadhar mwenye idea anijuze nawasilisha.
  13. B

    hali ya hewa mbeya imeathiri show ya aunt virus(vinega)

    wadau nipo ndan ya mby for x mass nimekutana na show ya aunt virus ambayo inafanyika leo kuanzia saa 10 had saa 6 lakin kutokana na mvua zinazonyesha katika jii hili inaelekea wakapata mswak coz had sasa nipo uwanjan hapa sokoine hali ni tete watu sio weng na tayar show imeanza kitambo labda...
  14. B

    Zitto alipuka posho za wabunge kuongezeka kimya kimya

    hii serikal c sikivu kabisa serikal inayoendeshwa kwa mabavu nchi ya watu maskin leo mshaarA kwA watumish wanalilia at least frm 135000 to 300000bt wameongeza sh 15000yani sasa ni sh 150000 bt wao watunga sheria wanajongezea kwa kufullu nw posho yA cku moja ni mshAara wa mtu hii c dhalau ipo cku...
  15. B

    Mbeya again! Soko lateketea kabisa mjini Tunduma

    wAdau habar nilizozipata ni kuwa kuwa soka la tunduma linaungua sasa iv hzi hbar nikutoka kwa mtu aliyeko huko mby tunduma soko hlo lipo karibu na police post tunduma jaman mby kunani?
  16. B

    Jay Mo ameniskitisha sana

    hao watt awajielew hiv kwel ktk normal situation linah amemshinda j mo katika mafanikio yA kimusic wakat jmo kaanza music linah ajazaliwa kweli her mungu akunyime vitu vyote akupe hekima na akil leo jmo ana suport watu wAliomnyonya takriban miaka kumi kwel hv vituko
  17. B

    Leo ndio leo VINEGA Vs CLOUDS

    unaongea nini ww buswela upupu mtupu au umenunuliwa na basha wako ruge ruge anaweza knunua mijitu km nyie but awez kukunua haki ya mtu ndo maana leo arobain yake imefika vinega leo wanawafunika vbya hao mashoga
  18. B

    Ona hii Haya Ndio Maandalizi ya Kummaliza Ruge Tarehe 26/11/2011

    kip it for ril ruge anachinjwa baharini wit no apologise
  19. B

    Wasanii kuweni makini Ruge anawachonganisha

    jamAn c ndo sugu kamtoa afande sele kimziki alikuwa anavuta bangi pale msamvu katika pita ya sugu afande akamuomba sugu amtoe sugu bila hiyana akampa mwimbo ktk albamu yake "nikianguka sitaweza kunyanyuka" kwel mfadhili mbuzi binamu anamaudhi leo hii anamsaliti mtu aliyemfikisha hapo kimziki...
Back
Top Bottom