Search results

  1. M

    Kwa hili, Dr. Slaa wewe ni 'Mdini' pia!

    Hivi kuna tofauti gani kati ya muumini wa dini na mwanasiasa? Mdini ni mtu wa namna gani? Mimi James nikimwambia Bakari "wewe ni muislam nakuwa mdini?"
  2. M

    RC wa Arusha afanya vituko - ofisi za serikali zafunguliwa saa kumi na mbili asubuhi.

    Kwa wapenzi wa filam, kuna filam ya kinaijeria inaitwa "My Love" ilichezwa na Ramsey Nouah. Kuna mzee mmoja alitoa ujumbe mzito kwa mwanawe, "MAKE HER LOVE YOU". Simple minded wanaweza kuniona niko nje ya topic, lakini hii ni msg kwa Mulongo and Company, "Make them love you".
  3. M

    Mkono mwingine wa Mwigulu Nchemba ndani ya CHADEMA huu hapa!

    Hata Osama alikuwa na haki za kibinadamu, lakini vipi aliyeonekana anaongea nae?
  4. M

    UCHIZI katika Nchi: Kauli ya Mch. Gwajima...

    Ni watu wachache sana wasiotaka uwepo wa kura ya maoni kuhusu muungano. Lakini mafuriko hayazuiwi kwa mikono.
  5. M

    Kwanini Dr. Slaa hapendi kuhudhuria mazishi ya wasanii wetu?

    Standing to be corrected, kati ya SAJUKI na Michael Jackson ni nani aliyekuwa msanii aliyeiletea nchi yake sifa kamataifa? Hivi Barack Obama alihudhuria mazishi yake? Naomba kukumbushwa.
  6. M

    Zitto Kabwe, Meles Zenawi Role Model Politician

    Hii unaita kura ya maoni? Au ni mawazo ya wanachama wa JF? Is it open, reachable and fair? Unaweza kutumia vigezo vya kisayansi kuthibitisha matokeo yake? Kwa facts zote, hii si kura ya maoni. Sababu ni kwa ajili ya watu fulani wachache katika jamii, wenye malengo maalum kwa sababu maalum...
  7. M

    'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

    CHADEMA ni noma!!!!! Wamechochea inflation Wamwchochea ukame Wamechochea ukosefu wa ajira Wamechochea kufa kwa viwanda Wamechochea kuhamishwa wazawa migodi kupewa wagawa noti Wamechochea mataji kukwepa kodi Wamechochea mpaka nchi ikawa na maisha magumu bora Wamechochea weeeeeeeeeeeeee...
  8. M

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Equal Rights and Justice. Ingekuwa vipi bendera ya chama chake ingekuwa treated the same? Tuna tatizo la kimfumo.
  9. M

    HATARI: Tanzania President rejects war, Joyce Banda insists whole lake belongs to Malawi

    Tusipokuwa makini Pwani yooote itakuwa Zanzibar (Miliki ya sultani), kaskazini yote itakuwa kenya, Kigoma itakuwa sehemu ya burundi, Kagera ni sehemu ya Uganda, Rukwa itakuwa ya wazambia, Mbeya itakuwa ni malawi, Mtwara sehemu ya msumbiji. Wamalawi wamelianzisha hili through Banda, after Banda...
  10. M

    Wazanzibari kuigomea sensa ni maamuzi yetu na sio Tanganyika ituingilie

    Ama kweli ukistaajabu ya Mussa ........ Hiyo hoja yako imepata huo utakatifu lini? Yaani umepagawa mpaka unajivika sifa ya utukufu, khaaa!!! Ati wewe usie mkamilifu unajitwika utakatifu kwamba hoja yako ni takatifu? Ama kweli mwisho wa dunia u karibu.
  11. M

    Mzee Falijara: Walimu ni watu wadogo sana katika Nchi

    Sishangai na sitoshangaa kusikia kauli mufilisi kama hizo kutoka kwa viongozi walioshindwa kuongoza. Njaa hutulizwa na shibe na si kauli tamu wala za kutishia, kwani kila kitisho huzoeleka. Hao polisi wakuwakamata walimu, wanashibisha matumbo yao kwa fedha za laana na mali zilizopatikana kwa...
  12. M

    Dr Edward Hoseah: Hakuna Mtanzania Aliyehusika na Ufisadi Katika Ununuzi wa Rada!

    TAKUKURU: Taasisi ya Kuchochea na Kuendeleza Rushwa. PCCB: Promotion and Commissioning of Corruption Bureau.
  13. M

    Ngeleja: Mnyika mnafiki, anapotosha wananchi

    wanafiki bwana, hata harufu ya kinyesi watakwambia ni perfume.
  14. M

    Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

    Nina maswali matatu tu, 1. Huyu naibu waziri alikuwa likizo? Mbona alibeba nguo nyingi sana kama ni safari ya siku chache tu! 2. Alikuwa na safari ya uwindaji ama alienda vitani? Inawezekana vipi usafiri na silaha mbili za moto (bastola na bunduki) kwa kujilinda tu? 3. Laptop tatu!!! Ndio...
  15. M

    NAMDAI Nassary eneo kubwa la shamba

    Mtoa mada nimeipenda sana heading yako. Inahitaji wale watu wenye akili za kuwasha chemli mchana na kupita nayo sokoni, kuweza kuielewa. Simple mind wataiona haiendani na habari yenyewe, wakidhani ni kesi za kudhulumiana ardhi. Great minds watasoma mstari kwa mstari na kuja na wazo kuu. Wana JF...
  16. M

    Ridhiwani awaburuza mahakamani Dk Slaa na Mchungaji Mtikila

    Riz wananchi waliopigika kimaisha wana intelijensia kali kuliko C.I.A. Bora ukae kimya tu ndugu yetu, hao wazee hawakukurupuka wanafaham miradi yako yote, hadi kimemo kilichotumika kutolea Hummer lako free of duty wanacho. Shauri yako.
Back
Top Bottom