Search results

  1. C

    Naomba sera mpya ya Elimu, 2014

    Ulikua sahihi. sasa hivi Ndalichako ameiweka kapuni
  2. C

    Tundu Lissu na hoja za kutaja watu majina

    Namfahamu TL sana hana mradi wa aina yoyote. Hayo mabasi unayosema tafuta mwenyewe
  3. C

    Ewe Lissu, wana Ikungi hatujakutuma hayo

    Huna nasaba ya watu wa Ikungi hata waliokutuma nao hawana. Kwa hiyo huna mamlaka ya kutusemea sisi wana wa Ikungi.
  4. C

    Tetesi: Prof. Kitila Mkumbo kuchuana vikali na Nyalandu jimboni

    Sina uhakika kama Mnyaturu wa Singida Kaskazini atamchague Mnyiramba wa Iramba Magharibi. Nahisi siasa za kikabila zikaamua mshindi
  5. C

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar: Marufuku Mikusanyiko ndani ya mita 200 baada ya kupiga kura

    Huyo sio wa Ikungi watu wa Ikungi wako smart sana
  6. C

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Tapeli kitomari Huyo ogopa kama ccm
  7. C

    Jaji Lubuva amenena tena,kazi imebaki kwa mawakala wa vyama

    Uko sahihi sana mkuu watu wanapongeza kitu wasichokijua. Mmeshaandaliwa kisaikolojia tayari
  8. C

    Jaji Lubuva amenena tena,kazi imebaki kwa mawakala wa vyama

    Lubuva kama Mwenyekiti kazi yake ni kutangaza matokeo yaliyoandaliwa na mkuu was IT. Kama wamemwondoa Huyo boss wa IT mjue hilo ni bao la mkono tayari. Mwenye nguvu ni boss was it kama mlikuwa hamjui. Mtalishwa maneno matamu na kupongeza kitu msichokijua
  9. C

    Kinachotumwa NEC sio kura zilizohesabiwa vituoni, ni zilizohesabiwa na wasimamizi wa uchaguzi

    Kinachofanyika Halmashauri ni ujumlishaji wa kura zilizohesabiwa vituoni. Hakuna sanduku linalofunguliwa kwenye Halmashauri vinginevyo kama kuna sanduku lenye utata toka kwenye vituo. Msipotoshe
  10. C

    Madalali wa Nyumba na Viwanja Dodoma

    Kama wewe ni dalali hapo Dom. Tuwasiliane nikupe kazi.
  11. C

    Azam Tv, angalieni hili kwenye Michezo

    Hivi kwa azam unafanyaje kuhamia kifurushi kingine. Naomba mwongozo kwa anafahamu
  12. C

    CHADEMA mmefanya kazi kupita kiasi

    Nimeshudia uhamasishaji wao kwa wananchi kujiandikisha kwa kweli wamefanya kazi kubwa sana
  13. C

    Tafadhali pokea ratiba ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura

    Siku 14 angalia vizuri usiwe na haraka
  14. C

    Hoja korofishi: Tuachane na BVR

    Uandikishaji unamalizika julai 16 kwa dar. Tulia usihofu uchaguzi upo pale pale
  15. C

    Singida kutoa Wagombea wawili wa Urais,ni dalili nzuri

    Habariiki nyaflora muncha wa mudida
  16. C

    Wananchi Kijiji cha Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singinda Wamgomea Mwenyekiti aliyechaguliwa

    Hawa jamaa wa puma na ihanja pamoja na kuwa wako jimbo la singida magharibi kwa misanga walishamtangazia misanga kuwa hawautambui utawala wake na wao wanamjua mbunge wao kuwa ni TL. Wana msimamo sana
  17. C

    Wananchi Kijiji cha Puma wilayani Ikungi Mkoa wa Singinda Wamgomea Mwenyekiti aliyechaguliwa

    Vile Hamisi Lisu analitaka yy ni Afisa Elimu Mara. Upande wa CDM yuko yule.diwani aliyetimkia chadema mwaka.jana wakati wa uchaguzi wa chadema
Back
Top Bottom