Search results

  1. Mzozo wa Mizozo

    Usanii wa VODACOM (T) na Tuzo Points...

    Nikiwa kama mteja wa Vodacom kwa kipindi kirefu, nilijiunga na utaratibu mzima wa tuzo point toka kipindi ulipoanzihwa na nikawa najikusanyia points nia na madhumuni ni kwamba nikusanye point nyingi zaidi ili nipate zawadi kubwa. Ni zaidi ya mwaka sasa natumaini umepita. Kipindi chote natumia...
  2. Mzozo wa Mizozo

    Hisa Pepe: Je ni nini?

    Mimi nahitaji kujua zaidi husiana na hawa jamaa wa hisa pepe.. Ni kwamba tangu wameweka website yao hewani na kujitangaza kwa bidii zote huku wakihamasisha watanzania kujiunga kwa wingi ili waweze jipatia kipato kidogo kwa kusoma matangazo na mengineyo hakuna lolote la maana ambalo waweza sema...
  3. Mzozo wa Mizozo

    Book Download - Operations Management

    Mkuu Invisible, Naomba msaada wa upatikanaji wa kitabu hiki.... Nigel Slack - Operations Management [Fifth Edition] Kamanda Please Assist! Salaam, Mizozo.
  4. Mzozo wa Mizozo

    Book Download - Operations Management

    Habari za Mchana wajameni... Naomba msaada wenu kwa mtu ambaye anaweza nipatia link ambayo ntaweza download kitabu hiki. Ni masuala ya kufa na kupona. Nigel Slack - Operations Management [Fifth Edition] Invisible Please Assist! Salaam.
  5. Mzozo wa Mizozo

    Umbali wa Mikoa Ya Tanzania

    Wana JF, Nawasalimu. Nimekwama na natumaini ntapata msaada hapa Jamvini. Nilikuwa nahitaji kufahamu umbali wa mikoa ya Tanzania [Katika Kilomita au Maili] kutoka Dar es Salaam. Nimejaribu katika source zote nimeshindwa fanikiwa, natumaini ntaweza saidiwa katika hili jambo. Mzz.
  6. Mzozo wa Mizozo

    Je Huu ni Mfumo Mpya wa Demokrasia?

    Hivi karibuni katika Chaguzi mbalimbali za viongozi wa Juu wa nchi [Marais] barani Africa kumekuwa na malalamiko ya kwamba chaguzi hizo hazikuwa za huru na haki na kwamba wale ambao walitangazwa kama Washindi walifanya hayo kwa hila nasi washindi halali. Hapa ni kwamba wale viongozi ambao wapo...
  7. Mzozo wa Mizozo

    Maswali Magumu: Hata wachache Wanashinda

    Hata wachache wanashinda * Ansbert Ngurumo ALAMA za nyakati sasa zinaonyesha kuwa walio wengi wakitetea uongo, wachache wakatetea ukweli; wachache watashinda. Sijui kama serikali imezisoma, kuzitafsiri na kuzitafakari vizuri. Lakini dalili zinaonyesha wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  8. Mzozo wa Mizozo

    Habari za afya ya Dr. Harrison Mwakyembe

    Kuna mtu yoyote ambaye ana taarifa sahihi husiana na hali ya kiafya ya Mh. Mwakyembe maana mtaani kuna habari tata mno. Naomba tushirikiane.
  9. Mzozo wa Mizozo

    Jina la Hotel Ya Mkapa Lushoto

    Waungwana. Naomba mnisaidie Jina kamili na anuani ya Hotel ya Benjamin William Mkapa kule Lushoto. Pia kama ntapata Website yao ntashukuru zaidi.
Back
Top Bottom