Huyu Ngereza naye ana akili mwezi mchnga. Hv alitaka waweke Kambi wapi? Zanzibar na Dar si zipo Sawa tu? Pesa gani zinaongezeka kwa kwenda Zanzibar jirani hapo? Alitaka wabaki mitaani hadi siku ya mechi. Ushabiki mwingine ni kipuuzi kabisa.
Faith is the practice of training the mind to ignore facts, evidences and logic. Hakuna ushaidi ya kuwepo kwa viumbe hivyo. Ni ubongo wako tu ukichanganywa au kiuchanganyikiwa ndo utafikiri hao viumbe wapo.
Ni kweli kabisa. Acha tu tuumie na kina Mangungu wetu. Sijui lini watatuonea huruma wajiuzulu tupate watu wapya watutoe hapa? Sijui tukawapigie magoti kuwaomba waondoke? Wanatudhalilisha sana
Yaani inatia uchungu sana. Sijui hata tufanyeje. Kila mechi timu inastruggle, uhakika Wa ushindi hakuna. Tutaaibika tena tutakapokutana na Utopolo. Siku hiyo mm uwanjani siendi. Nitasikilizia kwenye Radio. Ht Tv siangaliii. Ni ujinga mtupu.
Hakuna kisingizio cha GSM wala siasa. Shida ipo kwenye uongozi Wa Simba. Wanasajili wachezaji wa kawaida mnoo. Hv Chilunda aliyeachwa na AZAM ndiye asajiliwe kuisaidia Simba? Kina Kapama, Kyombo ndo viongozi waliwaona wanaweza kuipa Simba ubingwa? Km ni GSM mbona na Sisi tulikula 5?
Hawa Jamaa...
Nmefurahi sana kukutana na hii Mada leo japo nmechelewa kidogo. Mm mwanzoni nilikuwa nikiamini kuwa ndoto Ni useless km mtoa Mada. Lakini kuanzia mwaka 2014 nimekuwa nikiota ndoto fulani ambayo imekuwa ikijirudia rudia hadi leo hii. Maisha yangu yameharibika kabisa hadi leo mafikiri ni kwa...
Naomba kuelimishwa hapa. Kwanini ndani ya katiba yetu kuna kifungu kikitaka kutekelezwa inakuwa jinai? Uhuru wa mikutano ya hadhara na maandamano ya Amani yameanishwa vizuri katika Katiba ya Jamhuri ya muumgano wa Tanzania na kutungiwa sheria. Inakuwajje utekelezaji wake kuonwa km ugaidi na...
Duh! Brain zingine huwezi kuziita ni za kijinga, bali ni za kipumbavu ambazo hazistahili hata kujiongesha mbele za watu kwa kuandika chochote. Huyu mpuuzi eti anachangia mada nzito kwa utafiti aliofanya kwa kutumia macho yake bila msaada wowote. Huyu mjinga akiingia kwenye gari akiona miti...
Kama Hana mfano Sasa Mungu yule atakayeingiza unyayo wa mguu wake kule Jehanamu siku ya kiama kwa mujibi wa Qur'an huo mguu ameutoa wapi na huo unyayo unafananaje? Mnajiconradict wenyewe kwa hivyo vitabu vyenu sometimes
Upumbavu tu hakuna lolote uliloandika hapo ya kumdanganya mtu. Alikuwa Mkuu wa mkoa na nguvu za ziada ya kuweza kuvamia Clouds fm na hata kupoteza watu na CHADEMA haikufa Wala kusambaratika. Itakuwa ss hivi kuwa mropikaji wa chama ndo CDM kisambaratike? Punguza uzuzu humu jukwaani
Ubongo kazi yake Nini? Roho na nafsi hukaa wapi ktk mwili wa binadamu? Na hiyo akili inapatikana wp? Je, Ubongo usipokuwepo nafsi/akili na roho vinaweza kuendelea kuwepo na vikafanya kazi? Haya ni mambo ya kufikirika tu. Hakuna roho Wala nafsi unayofikiri inahifadhi akili. Ukitaka kujua hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.