Search results

  1. Son of Gamba

    Najuta kuzaliwa mwanaume, nilipenda kuwa mwanamke ila haiwezekani tena

    Bro, unasikitisha sana. Unatamani ungezaliwa mwanamke?? Duh!! Mimi najivunia sana kuzaliwa Mwanamume, tena huwa namshukuru MUNGU kwa hilo. Wanawake ni mama zefu, dada zetu ndio, lakini, wanapitia majanga mengi sana katika maisha kutokana na maumbile yao. Mfano, wanaenda hedhi kila mwezi...
  2. Son of Gamba

    Tusichokijua kuhusu Starlink

    Kwa bei hii ni Watanzania wachache sana wataweza kujiunga na Starlink.
  3. Son of Gamba

    Jill Biden, mke wa Rais wa Marekani kutua Namibia na Kenya leo

    Wewe kama wewe unapata hasara gani ikiwa hao uliowataja hwatatembelea Tanzania au utapata faida gani ikiwa watakuja hapa Tanzania? Utakosa kula ugali ikiwa Jill Biden hatakuja nchini kwako?
  4. Son of Gamba

    Kuna haja gani ya kuhifadhi majina 250 kwenye simu? Marafiki, ndugu, jamaa wanafiki

    Una Wake wawili halafu unashindwa kugharamia matibabu ya baba yako sh. 250,000 ?? Hao wake zako wawili unawatunzaje? Acha kuwalaumu watu kwa shida zako za kizembe, jipange, na usipojipanga vizuri utaenelea kumchukia kila mtu na mwisho wa siku utamchukia mpaka MUNGU.
  5. Son of Gamba

    Mzigo wa Starlink Rwanda

    Serikali ya Tanzania haiwezi kutoa kibali kwa Starlink sababu wanaogopa kupoteza pesa wanazopata kutoka kwenye makampuni ya simu yaliyopo nchini. Makampuni haya yanatoza bei kubwa sana za vifurushi na Serikali inanufaika sana kutokana na bei hizo kupitia kodi.
  6. Son of Gamba

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    TCRA wanapokea malalamiko yoyote yale yanayohusiana na mawasiliano ya simu.
  7. Son of Gamba

    Vodacom wamefungia line yangu ikiwa na milioni 10 kwenye M-PESA

    Umeambiwa walioifunga line yako ya simu ni TCRA. Sasa wewe si uende huko TCRA?
  8. Son of Gamba

    PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

    Moja ya uchafu ambao siwezi kula ni kitimoto.
  9. Son of Gamba

    Unajiita Baba/Kichwa cha Familia halafu mtoto wako anakuletea swali la Hesabu ya Darasa la tano, hujui!!

    Wewe ni mpuuzi sana. Baba yako akiweza kukusomesha International School hata kama yeye aliishia la saba la Kayumba, huyo ni baba bora kabisa na unapaswa kumheshimu sana. Wapo watu wanatamani sana wangepata baba mwenye uwezo na skill ya kuwagharamia masomo yao wakasoma hata kama baba huyo hajui...
  10. Son of Gamba

    Kikao cha dharura cha wanaume halisi; Kuanzia 2023 hakuna kuoa mwanamke mwenye mtoto

    Sisi Wakristo tumefundishwa na BWANA MKUBWA YESU KRISTO kuwa yeyote anayeoa mwanamke aliyeachwa, mtu huyo anatenda dhambi ya zinaa. Na kila anayetenda dhambi ya zinaa kamwe hatauona Ufalme wa MUNGU. Mwenye masikio na asikie.
  11. Son of Gamba

    Kama una ndoto ya kwenda Ulaya, Marekani, Canada n.k, pitia uzi huu

    Uzi mzuri sana huu. Ndoto yangu kubwa ni kuhamia Canada. Soon nitafanikisha.
  12. Son of Gamba

    Naombeni ushauri, huyu ni mwanamke sahihi kwangu?

    Baba yako ameshakupa ushauri, fwata ushauri wa wa baba.
  13. Son of Gamba

    Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Empty set? Why are you being too salty? Anyways, jaribu kusikiliza Wasafi FM kipindi chao cha michezo asubuhi.
  14. Son of Gamba

    Majizo na EFM Radio yako huu Utangazaji wa Kinafiki na Majungu wa Watangazaji Maulid Kitenge na Twalib Muwa utaiponza Radio yako

    Kwani umelazimishwa kuisikiliza Efm? Mbona Radio ziko nyingi sana siku hizi?
  15. Son of Gamba

    Ukweli usemwe: Wanawake wameiharibu Dunia imekuwa kama shimo la choo

    Mwanamke ni kama mti wenye miba mikali sana lakini una tunda tamu sana. Mwanamke ana kitu kimoja tu kitamu sana na kizuri sana, lakini vingine vyote alivyonavyo ni matatizo tupu. Wanaume, ishini na Wanawake kwa akili.
  16. Son of Gamba

    Pesa nyingine ziko Seychelles 🇸🇨

    Unao ushahidi au ni majungu tu ya mtaani? Tuwekee ushahidi, ikiwa ni pamoja na jina la benki, account number na mmiliki wa hiyo account. Ukishindwa kufanya hivyo, basi, wewe ni mpika majungu tu.
  17. Son of Gamba

    Nachukia watu wanaodharau elimu ya mtu kisa elimu yao kubwa

    Kwa aina hii ya uandishi wako, siyo bure unadharaulika na hiyo diploma yako.
  18. Son of Gamba

    Wanaume tuliooa, nini tufanye maana hii kasi ya usaliti inatia shaka?

    Ili usichapiwe, kwa wale ambao hamjaoa bado, hakikisha unaoa bikra. Kamwe usioe mwanamke aliyetumika. Narudia, hakikisha unaoa BIKRA. Kwa waliooa, vumilieni tu hamna namna. Lakini ukigundua Mkeo analiwa nje na ukiwa na ushahidi basi unaweza kumpa talaka kama ukipenda.
Back
Top Bottom