Search results

  1. M

    Michuano ya Sprite Bball Kings 2019

    Michuano ya Sprite Bball Kings 2019 inayoandaliwa na EATV, EA Radio kwa kushirikiana na kinywaji cha Sprite imezinduliwa Jumamosi Agosti 17 katika viwanja vya Mlimani City. Huu ni msimu wa tatu wa michuano hiyo, ambapo katika usajili na ufunguzi, timu mbalimbali zimejitokeza kujisajili na...
  2. M

    INAUZWA Meza ya kioo ya chakula , laki 3.5

    Kitu gani ambacho hujakielewa kwenye post yangu
  3. M

    INAUZWA Meza ya kioo ya chakula , laki 3.5

    Bei nimeandika hapo mkuu, shilingi laki tatu na nusu pamoja na viti vyake
  4. M

    INAUZWA Meza ya kioo ya chakula , laki 3.5

    Habari ndugu zangu
  5. M

    Natafuta chumba na sebule ya kupanga choo ndani

    Hiyo na jiko iko eneo gani na bei shilingi ngapi
  6. M

    Nahitaji gari ya kununua kati ya hizi

    Habari, Nina bajeti ya milioni 5 na ninahitaji gari kati ya hiz Vits new model Toyota alex/Runx Kama unayo tuwasiliane inbox
  7. M

    Diamond amfunika Kiba kwenye video views you tube !

    Kiufupi ni kwamba Ali Kiba bado hajatoa video ya Mwana ila ni audio tu ambayo watu walichukua picha picha zake za zamani na kuitengeza kisha kuiweka you yube... Alisema ataitoa Video hiyo muda si mrefu.................. Ngoja kwanza video iletwe ndio ufanye hizo analysis zako
  8. M

    TCU wanaonesha nimechaguliwa, lakini chuoni jina langu halipo

    hiyo iliyowekwa ni batch 1, baada ya muda wataweka batch i hope utawemo
  9. M

    Bila asilimia 60 hupati usajili wa chuo

    Vipi kuhusu open university usajili?
  10. M

    Halima Mdee kikaangoni live ya EATV

    Yaani hawa washikaji kama walijua vile huyu mdada nina maswali kibao sana juu yake. Awamu hii ya pili ya uongozi wake huku Kawe naona kama amelegea tofauti na pale mwanzo,nimeicheki hii nikaona nishee na na nyie wadau wenzangu, maana hii wanasema unamuuliza swali naye anakujibu katika comment...
  11. M

    Maxence Melo ndani ya Kikaangoni LIVE EATV

    Jamani wapendwa nimeona ni-share na nyie hili, nimepitia page ya EATV na kuona wameweka kuwa kesho katika chat yao ya KIKAANGONI LIVE, watamkaanga mwanzilishi wa Jamii Forums, naamanisha atachati na kujibu maswali ya watu tofauti kuhusu yeye na jamii forums ================================...
  12. M

    Jack Patrick Hana Huruma-Aendelea Kula Bata huku Mumewe Akiwa Anasota Gerezani

    HAAAAAAA!!!!kUMBE JAMAAA CHAKULA YA WATU SASA MBONA WATU WANABWABWAJA SANA KUPIGA PICHA HIZO NA HUYO DEMU!!!NI SHOSTI WAKE TU SI UNAJUA HAO MAGAYS WENGI HUWA MARAFIKI ZAO NI MADEMU
  13. M

    Naogopa mapenzi ila ashiki zinasumbua

    hahhah nifundishe
  14. M

    Naogopa mapenzi ila ashiki zinasumbua

    ahhhh hiyo sio dili, sa mkono wako mwenyewe utakuwa vipi na utamu
  15. M

    Naogopa mapenzi ila ashiki zinasumbua

    what mafuta ya taa?ur not serious
  16. M

    Shemeji yangu mchokozi

    Huna adabu, jitu kubwa kama wewe bado uko kwa shemeji kakaako watafuta nini,,,watu wanaanza maisha na miaka20,hebu acha uzembe wewe toka katafuta kazi,,unamuweka shemeji yako majaribuni bure kwa kukaa hapo kwake,,,miaka yote hiyo kubwa dede,,,,kapange si una boom wewe...tumia akili
  17. M

    Naogopa mapenzi ila ashiki zinasumbua

    maneo yake yanaonesha una ustaarabu mwishoni na si mwanzoni
Back
Top Bottom