Search results

  1. O

    The Guardian yapunguza wafanyakazi 120

    Kampuni ya Magazeti ya The Guardian wachapishaji wa Gazeti la Nipashe, The Guardian , The Guardian on Sunday na lete Rahaa imepunguza wafanyakazi 120 kutoka Idara ya Editorial , Matangazo na fedha pasipowalipa stahiki ( hawajawasilisha makato ya NSSF toka Mwaka January 2014) zao pamoja na...
  2. O

    Uchaguzi ubunge Afrika mashariki yakithiri kwa Rushwa

    Uchaguzi wa ubunge wa Afrika mashariki kupitia CCM umegubikwa kwa Rushwa .. Wagombea utoa Rushwa kati ya Tshs 2 Milion hadi 5 Milion. Wagombea wanaongoza kwa kutoa takrima ni Ndg Adam Kimbisa na Ndg Kachwamba, Ndg kimbisa pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa kamati kuu ccm ...
  3. O

    Mafuta ya kula nayo bei juu

    Utafiti uliofanyika katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam umeonyesha kuwa lita moja ya kiungo hicho cha chakula inauzwa kati ya Sh2,800 hadi Sh3,000 kutoka Sh2,500 ya awali. Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakiendelea kuumia na bei ya juu ya sukari, sasa watalazimika kutoboa zaidi...
  4. O

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli. Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada...
  5. O

    Ushauri Kuhusu Mkurugenzi wa TAKUKURU

    Kama tunavyojua mabadiliko yalifanyika juzi katika taasisi ya TAKUKURU kwa Dr. Hosea kuondolewa na Ndg. MLolowa kupewa nafasi ya kukaimu. Naomba nitumie nafasi hii kumshauri Mh. Rais Magufuli sio vyema akamthibitisha Mlolowa. Lazima tukubali working tradition za PCCB ni tofauti kabisa na working...
  6. O

    Taasisi 1,200 duniani zampa tuzo ya amani Edward Lowassa

    Taasisi 1,200 duniani zitampa aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa Tuzo ya Amani kutokana na utulivu aliouonyesha kabla na baada ya Uchaguzi Mkuu. Akizungumza na Mwananchi kutoka Bukavu, DR Congo, mwenyekiti wa Kamati ya Maadili, Amani na Haki za Binadamu kwa jamii...
  7. O

    Ndugu Valentino Mlowola, DG PCCB tafadhali anza na hili, kwa haraka!

    Kwanza kabisa nimshukuru sana Mh. Rais kwa kutengua uteuzi wa Dr. Hosea. Pili nimshukuru pia kwa kumsimamisha Mkurugenzi wa utawala, Ndg. Ekwabi Mjungu. Ndugu zangu PCCB hapa karibuni ilikuwa ni kama falme ya Dr. Hosea na Mjungu. Walikuwa wanajiamulia as if taasisi ni kampuni yao binafsi.. Ombi...
  8. O

    Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

    Makonda jifunze hapa. Siasa sio uadui wala sio vita. Kikubwa ni kuwatumikia wananchi kila mtu kwa nafasi yake!
  9. O

    Afande Linus G1614 maeneo ya Sayansi (Dar), ni mla rushwa mkubwa

    Walahi kati ya vita vikubwa alivyonavyo Mh. Magufuli ni rushwa ndani ya jeshi la polisi. Leo kwa macho yangu nimeshuhudia Afande moja mwenye namba G1614 (Linus) akiwa maeneo ya Sayansi akipokea rushwa kama njugu. Askari huyo amekuwa na utaratibu wa kusimamisha magari na kuomba rushwa kwa...
  10. O

    Tangazo kwa wote: We offer services in economic and social development

    SSSRC Ltd. We are independent provider of research, analysis and advice in economic and social development. Established 2012, and operating across Kenya, Tanzania and soon Uganda. SERVICES We offer services in economic and social development across a broad range of areas- from research to...
  11. O

    Raza: Magufuli apewe uenyekiti CCM

    Kada mkongwe wa Chama Cha Mapinduzi, kataka Rais mstafu Jakaya Kikwete kuondoka na kumwachia Rais mpya, John Magufuli uenyekiti wa CCM... Kada huyo kasema hayo leo, huku baadhi ya wabunge vijana nao wakijipanga kumuomba Kikwete, kuondoka na kumwachia Magufuli chama kama walivyofanya watangulizi...
  12. O

    Chama Cha Mapinduzi(CCM) champongeza Ndg. Elibariki Kingu, mbunge wa Singida Magharibi

    Baada ya masaa machache kwa Mbunge wa Singida Magharibi Ndg. Elibariki Kingu kuwasilisha barua yake kwa katibu wa bunge ya kusitisha kupokea posho zake "sitting allowance" chama chake CCM kimempa pongezi za dhati kwa ujasiri na uthubutu alioonyesha...
  13. O

    Mbunge Elibariki Kingu awasilisha barua kwa Katibu wa Bunge kuhusu posho "Sitting Allowance"

    Mbunge wa Singida Magharibi leo kawasilisha barua kwa katibu wa bunge ili kusimamisha posho zake zote "sitting allowance" na kuziweka kwenye akaunti maalum kwa ajili ya maendeleo ya jimbo hususan kwenye maji, elimu na afya... NB: Soma barua iliyoambatanishwa... Mytake:... Sijawahi kumuona...
  14. O

    Mbunge Elibariki Kingu wa CCM akataa posho kwa wabunge "sitting allowance"

    Moja wa vijana anayemake headlines kwa sasa ni mbunge wa Singida Magharibi Ndg. Elibariki Kingu ambaye kwa mara ya kwanza kawa mbunge kutoka CCM anayepinga uwepo wa posho za laki 3 (300,000) kwa siku kama sitting allowance... Mh. Kingu kafanya uamuzi huo ikiwa ni kumuunga mkono Rais wa awamu...
  15. O

    Uchaguzi wa wabunge wa Afrika Mashariki

    Wakuu salama? Naomba kuuliza uchaguzi wa wabunge la Africa Mashariki unafanyika lini? na utaratibu unakuwaje kwa mwaka huu baada ya ile hukumu ya kesi ya Komu kumalizika. Asante.
  16. O

    Sababu 14 Kwa Nini Ukawa/Lowassa watashinda Uchaguzi wa Oktoba Dhidi ya CCM/Magufuli

    Wakuu salama! Leo naona nifanye uchambuzi kidogo na kutoa sababu 14 kwa nini Lowassa ataibuka mshindi asubui na mapema hapo Oktoba 25. 2015.. 1. Mbinu za kisasa za kampeni zinazotumiwa na zitakazotumiwa na Ukawa/Lowassa ni kiashiria cha kubadili traditional politics tulizooea na zenye lengo la...
  17. O

    Kuhusu Mkutano wa Lowassa na Wanawake Millenium; kuweka Kumbukumbu Sahihi

    Kuna uzi ulioletwa humu ndani na mdau muhimu (Queen Esther) kuhusu kutoridhika na hatuba ya Lowassa alipokuwa anaongea na wanawake wa jiji la Dar es Salaam.. Usahihi ni kwamba mkutano huo haukuwa maalum kwa Lowassa bali alipewa muda wa kusalimia wanawake hao na hakuwa mhutubu mkuu kama...
  18. O

    Lowassa kushinda Oktoba, Maalim Seif kushinda kwa asilimia 51.9%

    Kwa report ya taasisi ya SSRC ambayo inatoka leo zinaonyesha Lowassa ataibuka mshindi katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015.. Katika utafiti huo inaonyesha Lowassa atapata asilimia 54.6% dhidi ya Magufuli atakayepata asilimia 43% za kura zote. Na vyama vingine kuambulia...
  19. O

    Vijana wa Bashe kuacha kumuunga Mkono Lowassa

    Vijana waliokuwa organized na Hussein Bashe kipindi cha mchakato wa kumtafuta mgombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi wamesema muda wowote kuanzia sasa wataacha kumuunga mkono Lowassa... Vijana hao ambao walipigana mitaandaoni masaa 24 kwa kufa na kupona wamesema hawawezi tena kukaa ndani ya team...
  20. O

    Ubinafsi huu CCM mpaka lini Watanzania?

    Jk aendelea kuivuruga CCM katika uchaguzi huu kwa Ubinafsi, wivu na majungu. 1).kikwete amempa kijana wake aitwaye Miraji tenda ya kuprint tshirt zote za kampeni, hii imesababisha mvutano mkubwa wa kimaslahi na hasa baada ya kuonekana upendeleo wa dhahiri katika tenda hiyo. 2).UVCCM...
Back
Top Bottom