Search results

  1. O

    The Guardian yapunguza wafanyakazi 120

    Kampuni ya Magazeti ya The Guardian wachapishaji wa Gazeti la Nipashe, The Guardian , The Guardian on Sunday na lete Rahaa imepunguza wafanyakazi 120 kutoka Idara ya Editorial , Matangazo na fedha pasipowalipa stahiki ( hawajawasilisha makato ya NSSF toka Mwaka January 2014) zao pamoja na...
  2. O

    Uchaguzi ubunge Afrika mashariki yakithiri kwa Rushwa

    Uchaguzi wa ubunge wa Afrika mashariki kupitia CCM umegubikwa kwa Rushwa .. Wagombea utoa Rushwa kati ya Tshs 2 Milion hadi 5 Milion. Wagombea wanaongoza kwa kutoa takrima ni Ndg Adam Kimbisa na Ndg Kachwamba, Ndg kimbisa pia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma na Mjumbe wa kamati kuu ccm ...
  3. O

    Mafuta ya kula nayo bei juu

    Utafiti uliofanyika katika baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam umeonyesha kuwa lita moja ya kiungo hicho cha chakula inauzwa kati ya Sh2,800 hadi Sh3,000 kutoka Sh2,500 ya awali. Dar es Salaam. Wakati Watanzania wakiendelea kuumia na bei ya juu ya sukari, sasa watalazimika kutoboa zaidi...
  4. O

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Katika ile dhana ya kusoma namba, ni wazi imeendelea kuwatafuna wanachama wa chama changu. Katika gazeti la leo, aliyekuwa spika wa bunge la tisa ametoa kali na kusema Rais Magufuli anashauriwa vibaya. Hasa baada ya kutumbua jipu la Reli. Samwel Sita, kasema Magufuli kachukua hatua hiyo baada...
  5. O

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Sio kweli........ Dr. Ndalichako ni mtu sahihi sana sana
  6. O

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Sio kweli. Anasimamia haki..... Infact, wizara ya elimu imepata mtu sahihi sana
  7. O

    Mustakabali wa waadventista Wasabato siku ya Usafi Jumamosi ya mwisho wa Mwezi

    Kwenda kanisani ni LAZIMA...... Ya kaisari tutampa kaisari na ya Mungu tutampa Mungu.... Kwa siku ya jumamosi, serikali itusamee ni siku yetu takatifu...
  8. O

    Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara

    Kuna mdau alikuja na uzi wake hapa..... Duuh safi sana kwa Magufuli..... Dr. Ndalichako anafaa sana pale
  9. O

    Kikwete yuko New York Marekani

    Duuh hata arobaini ya dada haijaisha
  10. O

    NHC nyumba kama darasa

    Nehemia Mchechu ni jipu kubwa lililoiva. Nashangaa kwa nini ajatumbuliwa!
  11. O

    Julius Nyerere: Serikali ya kifisadi haikusanyi kodi

    Kabisa. Miaka kumi nchi imekuwa haina Rais
  12. O

    50.000/= kuhudhuria maonyesho ya kwaya kumsifu Mungu ni dhuluma

    Msama ni mwizi wa karne..... Anaishi hapa mjini kwa matamasha ya injili huku akiwaibia wananchi...... Jamaa ni mwizi vibaya sana
  13. O

    January Makamba: Hata kama una vibali vya ujenzi, bomoa bomoa ni lazima

    Baada ya kufunikwa na wakina Kigwangala, naona huyu naye anatafuta nitoke vipi
  14. O

    Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

    Inaitwa snowball approach......
  15. O

    Zitto anahangaika sana, hivi azma yake kwa Mbowe itafanikiwa?

    JAMAA anatafuta PAC kwa hali yoyote ile. Hata kwa kutoa roho ya mtu ilimradi apate uenyekiti wa PAC
  16. O

    Kofia inayomlinda Kikwete ni Uenyekiti wa chama

    Kabisa uko sahihi Mkuu...... Jamaa kafilisi hii nchi aisee
  17. O

    Magufuli akabidhiwa haya majina ya wauza 'unga'

    Mkuu tuwekee soft copy hapa, tafadhali
  18. O

    Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Kwani kuna mahali walionyesha kutomtambua Rais? Au wenyewe walikuwa hawakubaliani na utaratibu na uhuni kwa maana ya process uliyofanywa na NEC....
Back
Top Bottom