[/COLOR][/I]
Bado ipo. Ndulele (au Tura) zipo lakini sio rahisi kuzipata sehemu nyingi za DSM. Kwa mikoani zipo lakini sio nyingi kama zamani. Ni dawa kamambe kwa magonjwa ya tumbo mpaka gonorrhea, pia kwa mifugo.
Mbigiri (ulimkumbuka afande Mbigiri wa pale Makutopora nini?), nazo nio kama...
Kwani hajui sheria za uchaguzi?
Msimamizi akishatangaza, hayo ndiyo matokeo halali. Kilichobakia ni yeye J3 awahi Mwanza, Mahakama Kuu, kwa minajili ya kufungua kesi kupinga matokeo!
Haya masuala yanahusu mambo ya Holding Companies, Minority Interests, Merger & Amalgamation etc. Ni mambo ambayo ni magumu na yanahitaji wanasheria waliobobea kwenye sheria za merger and the like. Majibu ya kijuu juu aliyoyatoa Ngeleja hayajibu hoja kuwa mgodi wa Mwadui haujauzwa.
Tukumbuke...
[/COLOR][/I]
Ni kweli Dede ni mkorofi kwa tabia. Kuna wakati Hussein Jumbe alipokuwa Sikinde waliwahi kuzipiga ukumbini. Kinachompa chati ni uwezo wake wa kutunga nyimbo zenye hisia kali na ukorofi wake unasaidia kujenga nidhamu kwenye bendi. Hata Sikinde, huwa anakuwa kiongozi baada ya muda...
Dede kabla ya kwenda Sikinde alikuwa msondo. Ni mpenzi mkubwa wa Simba, siku hiyo Simba ilikuwa inacheza na Coastal. Dede akakacha onyesho la Msondo akaenda mpirani. Alivyorudi ukumbini baada ya mechi akatimuliwa na kunyang'anywa uniform. Hapo ndio akarudi Mlimani na kutunga nyimbo ya 'Talaka...
Suala la kila mkoa kuwa na University yake silishabukii wala siliungi mkono. Kama haja hiyo ipo, basi zingeanza kwa Kanda. Sababu kubwa ni kama ifuatavyo:-
a. Wanafunzi wa kuingia kwenye hizo university wako wapi? Kwa hali ilivyo sasa, mahitaji ya wanafunzi wa sayansi kwenye vyuo vilivyopo bado...
Ili kuitengenezea mazingira mazuri na bila kuhusisha makada wa chama, kwa miaka miwili post hiyo ikaliwe na TX kutoka nje - ikiwezekana apendekezwe na vyombo kama Transparency International. Huyu aweke misingi mizuri, afanye capacity building etc.
Hata hiyo 40 ni understated. Almost 'all' drugs, electronic goods, used cars (wanaonunua brand news ni wachache sana), foodstuffs, textile materials ni vya kugushi.
Sio kutodaiwa tu, ilikuwa na foreign reserve kubwa sana kutokana na karafuu. Kipindi hicho ndio ilikuwa mzalishaji mkubwa duniani.
Rumours zilizopo ni kuwa vita vya Kagera ndivyo viliifilisi 'nchi' (!) hiyo
Hivi vyama vya wafanyakazi - if TUCTA, TUICO, RAAWU, TUGHE etc. vilianzishwa na serikali na havina mizizi yeyote kwa wavuja-jasho. Vipo pale kwa kuitetea serikali.
Ndio maana chama cha waalimu CWT kwa vile ni kilibuniwa na waalimu wenyewe, kina nguvu na kinasikilizwa. Kujitenga kwake ilileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.