Mi nnachojua kama wasingemnunua mtulia na kumrudisha kugombea tena, uchaguzi wa marudio usingekuwepo kwahiyo haya yote yametokea kwa ajili ya upumbavu wao, na viapo vya mawakala vingetoka mapema mengi yangeepukika lakini ujinga wa mkurugenzi kuchelewesha viapo kwa makusudi hawalioni
kweli mkuu lile daraja la wami aibu sana, kushindwa kuweka daraja la uhakika la kupishana magari mawili, lori likizimikia pale katikati ndio basi tena kaskazin inageuka katalunya
ndio maana hizo nchi zimeendelea siyo sisi tunalindana lindana tu kwa mambo ya kijinga, inatakiwa ijulikane kabisa kiongozi yoyote atakefanya kazi kinyume na sheria na kutokuzingatia maslahi ya taifa atashtakiwa tu hata awe rais au wakuu wa majeshi
Siamini kama ni yeye, uprofesa una sheeda wallah si bure, tulinde watu walioingiza hii nchi kwenye matatizo makubwa kisa walikuwa marais?? mbona kuna nchi kibao marais wameshtakiwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.