Search results

  1. J

    Hoja ya Gwajima nchi kukosa maono kwa sababu ya kila Rais kuja na lake ni uongo mkubwa

    [emoji1] [emoji1787] [emoji23] [emoji38] [emoji1] [emoji1787] [emoji23]
  2. J

    Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu, majiji si makubwa na vituo vipo karibukaribu

    Nafikiri kuna kitu unatakiwa kujifunza. Mimi nimewahi kutumia hayo mabasi ya umeme jijini London UK kwa jina maarufu "Trum". Ni aina ya mabasi kama mabasi ya "Ikarus" yaliyowahi kutumika jiji Dar es salaam miaka 80s na 90s! Ni mabasi yanayotumia njia kama za treni lkn yanatumia umeme na mwendo...
  3. J

    Askofu Mwamakula: Polepole ametahadharisha tusipokuwa makini, Serikali inaweza 'kutekwa nyara' na kubaki kama 'mwanasesere'

    Upuuzeni huyo "Polepole"! Muda wake umekwisha. Awaache waliopo madarakani wafanye kazi.
  4. J

    Maria Sarungi vs Fatma Karume kuna mambo haya

    Acha wivu, wao "duo" achana nao...bahati ya mwenzako usiilalie mlango wazi!
  5. J

    Ninavyowafahamu wateule wapya wa Rais Samia kwa historia yao ya nyuma na uhusiano wao na viongozi wa leo

    Nafikiri una ndoto za mchana aisee! Eti tutafute wapinzani wengine!! Wanasiasa wa kweli uzaliwa....! Wewe umeshindwa nini mpaka uwatafute wengine? Kuwa miongoni mwa waleta mabadiliko unayotaka yatokee!
  6. J

    Je, Mkurugenzi mpya wa Halmashauri ya Chalinze, Kuruthum Amour Sadik hajaapishwa?

    Inaonesha elimu yetu ilivyo taabani.. tangu lini DEDs wakaapishwa? Pathetic.
  7. J

    Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

    Kasome sheria ya kodi na deductions kwenye mishahara ya wafanyakazi. Basi wewe na mwajiri wako mnakwepa kodi ya mapato. Sisi posho na allowances zinakatwa kodi!
  8. J

    Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

    Sio sahihi...allowances, bonus ukatwa kodi. Mhe. Jerry Silaa ana hoja ya msingi..ameonewa.
  9. J

    Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

    Ndio posho sio Mshahara. Lakini Posho na Mshahara ukatwa kodi kwa sababu yote ni mapato kwa mtumishi. Posho ni neno tu, hayo ni mapato kwa mtumishi kama ulivyo mshahara hivyo ni lazima posho ikatwe kodi. Mimi ni mfanyakazi kutoka private sekta...posho na mshahara vyote uunganushwa na kukatwa...
  10. J

    Bunge linapaswa kutoa tafsiri ya Mshahara ili kumtendea haki Jerry Slaa. Basic salary ndio mshahara?

    Tuache kujipumbaza....posho zote za wabunge zinatakiwa kukatwa kodi. Wafanyakazi kazi wote wanaolipwa posho mbali mbali kwenye mishahara yao uunganishwa na mishahara yao na kukatwa kodi. Mhe. Jerry Silaa ameonewa bure ana hoja ya msingi.
  11. J

    Dkt. Tulia Ackson: Mshahara wa Mbunge ni Tsh milioni 4.6 na sio vinginevyo

    Huyu "Naibu" ni mwanasheria nguri lakini anatumia "tekinikalitizi" kujitetea kuhusu hoja ya Mhe. Jerry Silaa. Ndugu zangu watanzania tutumie elimu zetu kusaidia nchi yetu. Huu utetezi sio sahihi. PAYE kwenye mshahara wa mfanyakazi haikatwi kwenye Basic Salary tu bali kwenye Gross Salary. Huu...
  12. J

    Uchambuzi: Adhabu kwa wabunge Silaa na Gwajima ni funzo kubwa kwa watanzania

    Nakubaliana na wewe. Kinachonishangaza sijui watanzania elimu yetu ni ya namna gani...mimi ni mfanyakazi mbali ya Basic Salary yangu kuna sitahiki zingine kama house rent allowance nk. vinaunganishwa na mshahara wangu na kukatwa kodi. Kwahiyo Mhe. Jerry Silaa ana hoja ya msingi kwamba zile posho...
  13. J

    Bunge lanuka dhidi ya Gwajima na Jerry Silaa

    Mimi nafikiri bunge halijajibu hoja ya Mhe. Jerry Silaa. Hoja ya Mhe. Jerry Silaa katika mkutano wake wa hadhara na wanachi wake jimboni Ukonga alijua kwa dhati kuwa mbunge hukatwa PAYE katika Basic Salary tu kitu ambacho kama ni kweli kuna basi kuna hoja ya kujibu. Mhe. Jerry katika hoja yake...
  14. J

    Wahadhiri waliostaafu na kuajiriwa kwa mikataba ni kero vyuoni

    Ndugu yangu Lecturer(s) wa namna hii hawafai katika karne hii. Successful Customer Outcome ya kila mwanafunzi wa University au college yoyote ni mwisho wa masomo kufuzu na kupata certificate yake. Kwa nchi za wenzetu ni SCO ya kila Lecturer kuhakikisha anamuwezesha mwanafunzi wake anapata...
  15. J

    Tume ya Uchaguzi(NEC), yapendekeza Sheria ya Uchaguzi irekebishwe ili kuleta ufanisi

    Tume ya uchaguzi (NEC)haitakiwi kuwa na wafanyakazi wa kudumu kwa ajili ya kusimamia uchaguzi. Uchaguzi ni mchakato...is a process. NEC itawajibika kuwaajiri kwa muda (on temporary basis) wasimamizi wa uchaguzi kwa muda mwafaka. Hivyo suala la budget haliwezi kuwa shida. Nchi nyingi zinafanya...
  16. J

    Bunge linasaidia Wabunge kukwepa kodi. Jerry Silaa yupo sahihi kabisa!

    Hii kama ni kweli sio sahihi. Kwanini Mbunge akabithiwe pesa za wafanyakazi wake? Kuhusu malipo ya wafanyakazi wa Mbunge. Pesa asipewe Mbunge. Jukumu la kulipa wafanyakazi wa Mbunge libaki kwa BUNGE..Bunge liweke utaratibu. Mbunge akiajiri mfanyakazi anawasilisha particulars zake kwenye mamlaka...
  17. J

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Wangemsubiri mpaka aishiwe risasi then wamkamate....bunduki aliyokuwa nayo inajulikana idadi ya risasi inazoweza kubeba kwa wakati mmoja. Sasa polisi watakosa pakuanzia kuhusu huyu mtu ametoka wapi, ana lengo gani, je yuko pekee yake au ni kundi kubwa na je wanapatika wapi...nchini au amevuka...
  18. J

    Tozo mpya za NMB kwa watumiaji wa Tanzanite Debit MasterCard kuanzia tarehe 28 Agosti, 2021

    Ni kweli mkuu, hii ni gharama ya mara moja ya kupata ATM card mpya. Na ni kwamba imepunguzwa kutoka shs 11,800 hadi shs 5,900.
Back
Top Bottom