Search results

  1. M

    CCM yamwangukia Bashe!

    Naungana kabisa na M-bongo kwa maoni ya uchambuzi juu ya nafasi ya makamu mwenyekiti wa UVCCM. Ni dhahiri kabisa kuwa wagombea wote walioteuliwa wana haki kabisa ya kugombea na kuchaguliwa kushika wadhifa huo. Hata hivyo nadhani ni vema busara ingekutimika zaidi kwa hawa wagombea wengine ambao...
  2. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Mkuu kwanza kabisa ni kweli mimi siyo yule Mh.Thomas Mwang'onda, mbunge wa kuteuliwa.Hata hivyo, niko njiani kuwa na hadhi kama yake kwani natarajia kuingia kwenye kinyang'anyiro kwa uchaguzi ujao wa 2010 na kunyakua moja ya majimbo muhimu.Bora uzima! Mkuu kwa kujibu hoja zako ni kwamba,hili...
  3. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Mimi tangu mwanzo mara baada ya kusoma habari ya shutuma alizozitoa Bwana Nape Mnauye(MNEC),nilijawa na mshangao mkubwa. Nikajaribu kuweka bayana baadhi ya madukukuduku yaliyokuwa kichwa changu kufuatia hatua hiyo. Sasa kuna watu humu wameshabikia sana na kungana mkono hatua hiyo ya bwana Nape...
  4. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Ningependa kwanza Bwana Nape (MNEC-CCM),aniondolee shida ninayopata kufuatia tuhuma nzito (kama ni kweli) alizozitoa kwa uongozi wa UVCCM na kwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa UVCCM Mh.E.Lowasa. Kimsingi ni tuhuma nzito sana ambazo kwa kweli zinapaswa kuangaliwa kwa undani sana. Sina tatizo...
  5. M

    Waziri Apinga Agizo La Waziri Mkuu.

    . Mkuu ni kweli waziri mkuu ndiye msimamizi mkuu wa shughuli za serikali bungeni.Hatahivyo,usimamizi huo haumpi mamlaka ya kutoa amri na maagizo kwa mawaziri wenye wizara zilizoko nje ya ofisi yake.Ana mamlaka ya kumuamuru waziri wa TAMISEMI na waziri wa masuala ya bunge maana hawa ndio...
  6. M

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    Ni muhimu wadau mnaochangia suala la hili la kung'olewa kwa Mh.Chacha Wangwe(MB) katika nafasi ya umakamu Mwenyeketi wa Chadema,mkawa makini katika kutofautisha neo "wananchi" na "wanachama".Ni muhimu sana hili. Nimesoma maoni ya wadau kadhaa wakisisitiza kwamba Mh.Wangwe alikuwa ni chaguo la...
  7. M

    Samson Kipepe afariki dunia

    Isiwe tabu mkuu,kama shida yako ni kujua zone,basi ni kwa saa za mashariki(7.30.ET).Niwie radhi kwa usumbufu ulioupata, maana nia yangu ilikuwa ni kuomboleza na ndio maana sikuzingatia vitu vidogo kama hivyo. Kaaazi kweli kweli!!!
  8. M

    Samson Kipepe afariki dunia

    Nimezipokea habari za kifo cha kada Kipepe kwa mshtuko mkubwa sana.Nilipoamka tu asubuhi majira ya saa 1.30 asubuhi kwa saa za hapa Marekani nikiwa najitayarisha kwenda kibaruani,kuwasha kompyuta na kuingia kwenye JF ghafla,nakutana na kichwa cha habari chenye habari yenye kisikitisha...
  9. M

    The road towards 2010 Elections

    Kimsingi wewe ndio umedhihirisha kwamba umekomaa kisiasa.Maana mtu aliyekomaa kisiasa anatakuja na maoni yenye kuelezea ukweli wa mambo kama ulivosema wewe.Itakuwa ni kupoteza muda hapa kuanza kufikiria suala la mgombea wa CCM mwaka 2010. Ni wazi kwamba mgombea wa CCM mwaka 2010 nafasi ya urais...
  10. M

    Kutoka Dodoma!

    Mkuu,kwanza ni kwamba bado sijatua Dodoma.Nimehitimu shahada yangu mwezi uliopita.Kwasasa bado nabeba maboxi kwa muda hapa kwa Mzee Bush nikichanga nauli ya kurudia nyumbani Tanzania.Panapo majariwa ya Mwenyezi Mungu, nitakuwa Dodoma wiki ya kwanza ya mwezi wa nane. Nafurahi kusikia kwamba...
  11. M

    Kutoka Dodoma!

    Mkuu kwanza nakupongeza kwa kazi nzuri sana ya kutuhabarisha kwa yanayojiri mjini Dom ,hususani nyeti za kikao cha NEC.Kwa kweli tangu ulipoanza kututonya nyeti hizo, kila mara nimekuwa na shauku kubwa ya kufuatilia kwa karibu sana upekuzi wako huo.Kazi nzuri sana mkuu! Hatahivyo,nimeshtushwa...
  12. M

    Mkapa above the law?: Allegations

    Haya ndio maongezi ya kwenye vilabu vya mataputapu.Mtu mwenye akili zilizokaa sawa huwezi kuja na jumuisho la jumla kama hili eti "CCM ni wezi wa kura kila mtu anajua" nani kasema?Wewe ndie unayejua sio wote tunajua. Sababu za vyama vya upinzani kushindwa kila chaguzi ziko wazi kabisa.Na hata...
  13. M

    Kuanguka kwa CCM - Unabii Utatimia!

    Acha kujenga hoja za kijinga kwamba tunaposafiri kwa kutumia passport za nchi yetu basi tunashukiwa na kila mtu kuwa watanzania wote ni mafisadi.Kama huna hoja kaa kimya sio kuzusha uongo usiokuwa na msingi.Labda unalenga kuwapotosha wale wasiokuwa na uzoefu wa kusafiri.Watu tunasafiri sana tena...
  14. M

    A call for Kikwete to resign his presidency

    Kwa kweli hata mimi inanishangaza kuona watu wazima ambao nina imani wana upeo mkubwa wa kuchanganua mambo,ghafla wanakurupa kama walevi wa pombe za kienyeji kuleta hoja isiyojadillika humu.Ninafahamu suala la uhuru wa kuongea,lakini basi ebu tuwe tunajaribu kutoa hoja ambazo angalau tudhani...
  15. M

    Waziri Mkuu Pinda ageuka mbogo Dodoma-Na dharau juu

    Hakuna dharau hapa.Huu ndio utawala wa sheria tunaotaka.Makubaliano yalifikiwa,serikali ikatekeleza wajibu wake kwa kuwapa fidia yao kufuatia kubomolewa tembe zao.Leo hii wao wanaambiwa watekeleze kwa sehemu,wanaanza kuleta za kuleta.Hapana,hiyo haikubaliki hata kidogo.Nampongeza sana...
  16. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Angalau sasa nimepata uhakika kwamba kweli Ridhiwan ana mtu anayemuunga mkono kwa nguvu zake zote.Nikiwa kama kada mwandamizi wa UVCCM na CCM. Sina tatizo na hilo na wala sio dhambi kufanya hivyo.Zaidi sana,naamini anatumia haki yake ya msingi na uhuru wa kujiamulia mambo pasipo kuvunja sheria...
  17. M

    Sakata la Nape Nnauye na UVCCM

    Kimsingi nataka kupingana na mtoa hoja juu ya kuwazuia wanachama wa UVCCM ambao pia ni wajumbe wa NEC ya CCM,kundi la Vijana kuomba kugombea. Sababu ya kwanza inahusiana moja kwa moja na haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa kama ilivyoanishwa kwenye kanuni ya UVCCM.Sasa tukisema wasigombee kwa...
  18. M

    Kwanini Kikwete alikataa kumleta Ballali?

    Tusiwe wepese wa kujumuisha mambo. Hakuna ushahidi kwamba JK alikataa kumrudisha Marehemu Balali. Alichokifanya JK kwa nafasi yake ni kutengua uteuzi wa marehemu kutokana na udhaifu aliounyesha katika kuidhinisha fedha za EPA. Hilo ndilo lililokuwa jukumu lake la msingi baada ya taarifa ya...
Back
Top Bottom