Search results

  1. Mtangoo

    Natafuta kazi ya uchungaji

    Is that an answer to the question our theologian?
  2. Mtangoo

    Natafuta kazi ya uchungaji

    Define God and give two examples!
  3. Mtangoo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Samahani, una shida kwenye kuelewa maandiko unayosoma?
  4. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Hujui unachokisema. Alijidhihirisha miaka elfu mbili imepita tena alikuja mfano wa mwanadamu. Wakamkataa wakampiga wakamwua. Akawathibitishia uungu wake kwa kufufuka toka kwa wafu ila bado kuna watu wanamkataa na wewe ndugu mwandishi waweza kuwa mmoja wao. Shetani anamjua Mungu uso kwa uso na...
  5. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Yesu pekee alikwenda na kurudi. Kwa hiyo malezo yako ni uongo. Yupo aliyekwenda na kurudi na hamtaki. Kumsikiliza
  6. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Mimi wala hainivutii! Lakini kama inakuvutia una uhuru wa kwenda
  7. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Kwa hiyo vitu vyote usivyoviona vimejificha. Unajua kipofu hakuoni? Na wewe unakuwa umejificha?
  8. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Sasa si uwe Muislamu? Uneshikiwa bunduki?
  9. Mtangoo

    Huko Mbinguni tutaonana na Mungu uso kwa uso au atakuwa bado anajificha?

    Nilichokiona ni kuwa mungu unayemwamini sio Mungu aliyekuumba. Biblia iko wazi kabisa kwenye haya mambo. Nikusaidie na huu mstari unaojibu moja kwa moja swali lako. Kabla sijauweka ujue tu kipofu kama hamwoni mtu hawezi kudai amejificha...! “Kisha akanionyesha mto wa maji ya uzima, wenye...
  10. Mtangoo

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Soon atakuwa takataka. Hahahaaa ;)
  11. Mtangoo

    Hii "Modern obsession" ya makalio makubwa imetokea wapi?

    Kizazi kinachosikia kwa macho na kuwaza kwa moyo huwa ni kizazi dhaifu sana. Hukuza mambo yasiyo ya msingi na kuyafanya mambo ya msingi yasiyo na maana. Mungu akirehemu kizazi hiki!
  12. Mtangoo

    Dar: Mwalimu wa aliyetuhumiwa kulawiti mtoto wa miaka 6 azimia baada ya kuhukumiwa jela maisha

    Tatizo liko moyoni. Sheria haisaidii kutibu matatizo ya moyo.
  13. Mtangoo

    Hizi imani za kishirikina imekuwa Changamoto

    Kama huna Yesu wa kukutetea basi huna namna ila kujisalimisha kwa Ibilisi....
  14. Mtangoo

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Kwanza huu hujaunukuu full. Ukinukuu kuanzia ulipoanzia utagundua hauhusiani na mada hii!
  15. Mtangoo

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Kanisani huwa vinafanyika vitu viwili. Moja inafungwa ndoa mbele za Mungu. Hii ni mpaka Mungu aitenganishe. Baada ya hapo kuna mkataba wa kiserikali ili kuwatambua kama wanandoa. Ndoa ni Mungu pekee ndiye anatenganisha. Mkataba wa serikali, ni serikali ndio inatenganisha! Kwa hiyo Mahakama huwa...
  16. Mtangoo

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Basi Paulo ni mpagani namba moja. Nyuma yake mpagani naba mbili kwa post yako hii na mpagani mkuu ni Yesu aliyemtuma Paulo. Waraka wa Wagalatia utakufaa sana, maana nawe umerogwa kama Wagalatia wa enzi zile!
  17. Mtangoo

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Paul, an apostle of Christ Jesus by the will of God Eph 1:1 Paul, an apostle of Jesus Christ by the will of God, according to the promise of life which is in Christ Jesus - 2Tim 1:1 Paul, a servant of Jesus Christ, called to be an apostle, separated unto the gospel of God Roma 1:1 Ana mamlaka...
  18. Mtangoo

    Kwenye ndoa za kikristo uasherati pekee ndio uliruhusiwa kuvunja ndoa, kwanini wakristo huvunja ndoa kwa sababu zingine ambazo hazijaruhusiwa?

    Biblia imesema alichkiungamanisha Mungu mwanadamu asikitenganishe. Maana yake ili talaka itokee Mungu ni lazima ndiye atenganishe na sio mtu. Huyo mwingine unayemuongelea ni mtu au Mungu? kama ni mtu bado andiko linasimama! Namaanisha kuna vitu kuvielewa lazima muktadha wa tamaduni husika...
Back
Top Bottom