Search results

  1. Mnyamahodzo

    Kweli CHADEMA wanaotetea haki za Vyombo vya Habari wanawafukuza TBC kwa kuwadhalilisha eti wamezima matangazo ilhali TBC ilikuwa bado hewani

    Hivi huoni aibu kuyaandika yote haya ilhali hata sasa kwenye youtube uko ushahidi wa ujinga uliofanywa na wale waandishi wa TBC?
  2. Mnyamahodzo

    Uchaguzi 2020 Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) limesikitishwa na kitendo uongozi wa CHADEMA kuwakemea na kuwafukuza watangazaji wake

    Mheshimiwa Daktari Ayoub Ryoba, Mengi ya kufurahisha na ya karaha yamefanywsa na TBC tumeyapokea kabla ya uongozi wsako na sasa kipindi cha uongozi wako. Binafsi nilikupenda nilipokuwa nasoma makala zako na kukusikiliza katika radio na vipindi kadhaa vya runinga namna ulivyokuwa unachambua hoja...
  3. Mnyamahodzo

    China - Tanzania Security wameshindwa kuilinda miundombinu ya UDART (Mwendokasi)

    CT Security ndiyo waliopewa jukumu la kulinda miundombinu ya Mradi wa mabasi ya mwendokasi: Kimara hadi Kivukoni, Morocco hadi Gerezani, Depot yao pale Jangwani na feeder stops kama zile za Shekilango, Kinondoni. Katika feeder posts sasa hivi kumeshaanza kufunguliwa bolt na nuts zake...
  4. Mnyamahodzo

    TCRA fungia vipindi vya Uhondo na Sasambua

    Kuna vipindi vinarushwa na FM radio zinazorusha matangazo yao kutokea jiji la Dar es salaam. Vipindi hivi ni vile Uhondo na Sasambua. Ukweli ni kuwa, japo vimeendelea kurushwa kwa muda mrefu, kimaadili vipindi hivi havijengi jamii bali vinaiharibu kidogo kidogo. Wakati kipindi cha Uhondo...
  5. Mnyamahodzo

    Bashiru Ally ambaye ni Katibu Mkuu wa CCM anatokea mkoa gani?

    WanaJF, naomba historia fupi ya Dr Bashiru Ally Kakurwa. Kwa kuanzia naomba kujua ni mwenyeji wa mkoa gani na wilaya ipi. Asanteni
  6. Mnyamahodzo

    MR PUNCH ni nini?

    Nami nawasubiri..
  7. Mnyamahodzo

    MR PUNCH ni nini?

    Habari ya asubuhi wanajamiiforums! Baada ya kusheherekea Sikukuu za Christmass na Boxing Day, natumaini leo mu wazima kabisa. Kwa waliosoma Chuo Kikuu cha Dar es salaam au wale waliokuwa na ukaribu na wanachuo wa Mlimani, kusikia jina la PUNCH haikuwa kitu kigeni. Nikiwa Mtwara, niliwahi...
  8. Mnyamahodzo

    Elections 2015 Ni vigumu sana kupata Rais mwenye sifa bora 2015

    Nafikiri tuna cha kusema kwa usahihi!!
  9. Mnyamahodzo

    Nimesoma kitabu cha Evarist Chahali na kukatishwa tamaa

    Nimekuelewa Bujibuji Mfano: Magotti Ngetti
  10. Mnyamahodzo

    Hakika, Mbowe ni 'Chilongola'

    Mkuu, nashukuru kwa kuliona jambo la msingi kwa Mbowe juu ya hatima ya Siasa ya Tanzania. Ila, ninapenda nikurekebishe jambo. Dr Msabaha, neno alilotumia wakati halikuwa chilongola bali alisema yeye ni bangusilo. Bangusilo, akimaanisha wao wametolewa kafara tu (ili wengine wapone).
  11. Mnyamahodzo

    Tafakuri ya Leo: Tutafakari bila matusi, jaziba na kwa nidhamu

    Ufahamu wako ni mdogo pale unapofikiri kuwa kila linapotamkwa neno Demokrasia basi inamaanisha wapinzani. Pole. Sijui ndiyo madhara ya Shule za Kata au madhara ya U-CCM? Hivi unajua kuwa kuna mfumo wa Demokrasia wa Chama Kimoja na Mfumo wa Demokrasia wa Vyama Vingi. Lakini unajua kuwa kuwa...
  12. Mnyamahodzo

    Tafakuri ya Leo: Tutafakari bila matusi, jaziba na kwa nidhamu

    Democracy ni mwanamke. Inachukua jinsia ya kike kwasababu kuna vitu vingi inavyozaa kwa maendeleo ya jamii kama vile mwanamke anaendeleza uzao katika jamii. Democracy haina nguvu ya kwake, inahitaji kulindwa na jamii; kama alivyo mwanamke. Kilio cha democracy inapovorugwa ni kikali kama kilio...
  13. Mnyamahodzo

    Tundu Lissu: Mambo yameiva anamwagwa mtu muda si mrefu

    Kesi hii mbaya na kesi hii ni nzuri. Ni kesi mbaya kwa Jaji pale asipohukumu kwa haki kwani itatumika kama reference ya kesi nyingi hivyo hukumu kuendelea kuwa si za haki. Lakini, ujasiri wa dhamira wa Jaji utabaki kuwa ni wa nje tu si wa ndani. Kesi hii ni nzuri kwasababu inaitaka Mahakama...
  14. Mnyamahodzo

    Tundu Lissu: Mambo yameiva anamwagwa mtu muda si mrefu

    K Sentenai yako ya mwisho imebeba maelezo yako yote. Kesi haijachelewa na ndiyo maana hawajaomba kufungua kesi nje ya muda na wala hujasikia Mawakili wa Serikali wakipinga kuwa kesi imefunguliwa nje ya muda wake itupiliwe mbali.
  15. Mnyamahodzo

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    Hebu tusaidie teknolojia ni teknolojia gani hiyo ambayo ipo katika Civil Construction/ Engineering Industry inayotumika kuharakisha ujenzi wa majengo ya watu binafsi na yale ya Taasisi za Umma katika Jiji la Dodoma?
  16. Mnyamahodzo

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    K Kwanini uamini juu ya laana upesi na usifikiri juu ya jitihada katika kufanya kazi. Maana katika kufanya kwazi kwa bidii bila ya kukata tamaa, kuna mafanikio.
  17. Mnyamahodzo

    Haya ni mapendekezo ya Tume ya Francis Nyalali (1994)

    Mwingine anaweza kusema, mapendekezo ya Tume hayana maana. Akirejelwa Tume ya Nyalali, Jaji Kipenka na Tume ya Warioba. Lakini hajaweza kutafakari, mbona Tume nyinhine mapendekezo yao yanazingatiwa?
  18. Mnyamahodzo

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    Lakini Si Halls zile za zamani wala Hostels za Mabibo. Kwenye Hostels za Mlimani City zenye expansion joints nyingi..underlying factos nafikiri ulizipata kwa kusoma nini kilichokuwa nyuma ya pazia na uwezo wa TBA. Tuko pamoja..
  19. Mnyamahodzo

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    Naomba tujifunze kuwaheshimu watu na utu wao.
  20. Mnyamahodzo

    Kwa Ujenzi huu, Jiji la Dodoma litachoka mapema sana

    Mkuu, inawezekana unalosema ni kweli. Lakini pia si vibaya ukathibisha kwa kusema anagalau majengo matatu uliyoshiriki kuyajenga halafu tutayarejelea kwa wakati husika. Lakini napenda kuliweka wazi kwa namna hii. Zamani ilikuwa rahisi sana kucheza na majengo ya watu binafsi kuliko majengo ya...
Back
Top Bottom