Search results

  1. kubwalamaadui

    MSAADA

    Habari ndugu zangu wana jamii forum. Mimi ni mwanamke, mwenye degree ya sayansi ya jamii, nilikuwa naomba kama kuna member yeyote yule amesikia kuna kazi sehemu yeyote ile au kuna nafasi ofsini kwake, nina nina weza kufanya kazi yoyote ile nikipata mafunzo kwa mda mfupi tu na sichagui mkoa wala...
  2. kubwalamaadui

    Weekend Story! The Man of the People love triangle!

    nipe namba ya MOTP nimpe ushaur wa kiroho.... thank you lara moko kwa story
  3. kubwalamaadui

    Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

    the story is fantastic.the one to die for..naingia jamii forum sababu yako...wamiliki wafikirie kukupa HISA humu..lara una kipaji na ninakukubari toka day one. kuhusu story....KLM is a real man,ana maconfo ya kufa mtu, nimependa jinsi anavyompenda sisca....uhuska wake ameuvaa vizuri sana. feel...
  4. kubwalamaadui

    Zifahamu dalili zinazoashiria mwanamke ni mjamzito

    Mi mdomo mchungu tu na pia back pain mara moja moja
  5. kubwalamaadui

    Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    mtu mwenye ushuhuda aliyesaidiwa na dr.mwaka au ndugu yake/rafiki/jamaa
  6. kubwalamaadui

    Tunda aina ya nanasi ni hatari kwa akina mama wajawazito!

    nimekushwa juice ya mchanganyiko wa matunda mbalimbali..kuja kuangalia na nanasi limo nimeogopa?-???-??
  7. kubwalamaadui

    Bendi

    wakuu sehemu gani weekend wanapiga band nzuri.?
  8. kubwalamaadui

    DSTV wamepandisha tena

    kingamuz cha Azam TV bei gani?
  9. kubwalamaadui

    Ushindi wa Mayweather utata

    no. ngapi hiyo channel dstv??
  10. kubwalamaadui

    DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

    basi tunakazii kubwa sana na itafikia kipind tutakuwa hauangalii tena TV....maana salary iko palepale
  11. kubwalamaadui

    DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

    ndio tuombe hilo Azam akipata hili deal dstv ataandika maumivu...maana wanachofanya ni ukandamizaji
  12. kubwalamaadui

    DSTV Pwaaa: Kuongeza bei za Bundle mara kwa mara mtapoteza wateja

    watu wanaaka asubuhi wanajipandishia wanavyotaka...ngonja bwana Azam a
Back
Top Bottom