Search results

  1. M

    Kwanini mapenzi

    Binafsi siamini katika mapenzi na ili usihumie u eat and go...
  2. M

    Ushauri: Biashara ya Apartments Dar es salaam

    Ndugu Yebo Yebo, Ongera kwa wazo zuri ambalo umelianika kwa makusudi ya kupata ushauri naomba niunge mkono wazo la Ndg. Korosho ni vema ukajenga ukapangisha maofisi. Nawasilisha.
  3. M

    Tamko la Rostam Aziz dhidi ya Reginald Mengi na yatokanayo. Amuita fisadi Nyangumi

    Habari za siku nyingi wana Jamii, Naomba niingilie kati kwa jinsi navyofikiri mimi au kwa uwelewa wangu, Hivi nyie hamjui kuwa mwaka 2010 ni kesho kutwa kila mtu anajikosha ili aonekane mwema, Mimi tangu nimezaliwa sijawahi kuona mzalendo anayetetea maslai ya nchi yake akaficha misaada...
  4. M

    Habari Njema...

    Unafikiri mimi nataka utumie shortcuts? Annastazia kama upo online naomba unisaidie course wewe ni mmoja wa watu waliopiga hatua kubwa. Jamani hii business sio ya uhuni ni real business na inatambulika dunia nzima. MLM naomba yoyote atakaye penda namkaribisha Quarity Plaza siku ya...
  5. M

    Habari Njema...

    Habari! Je! ungependa kubadilisha Kipato chako? Je ungependa kuwa Majasiriamali? Kama jibu lako ni ndio na umedhamilia tuma msg kwenye namba hii:-0787 464 424 ukiandika jina kamili utasaidiwa kutimiza mawazo (ndoto) yako. Asante
  6. M

    Rais Kikwete Aenda Japan!!

    Tunamtakia Safari njema na Mungu Amtangulie
  7. M

    Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

    Re: Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!(HAPANA UKWELI HAPA) -------------------------------------------------------------------------------- Sisi ngozi nyeusi tuna matatizo sana. Hivi hamjiulizi hata maswali kwa nini akimbilie kuzikwa nchi za watu wengine tena eti na sikia kwa...
  8. M

    Hatimaye Nime-Confirm Kuwa Balali Amefariki!

    Sisi ngozi nyeusi tuna matatizo sana. Hivi hamjiulizi hata maswali kwa nini akimbilie kuzikwa nchi za watu wengine tena eti na sikia kwa kuchomwa moto! Turudi nyuma kidogo kwenye mali ya uma (EPA) walisema wakidhibitishwa wezi (mafisadi ) walioiba watachukuliwa hatua ikiwa pamoja na...
  9. M

Back
Top Bottom