Search results

  1. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ni kwel mkuu...umenena vyema kiuhalisia ilifika hatua huwez shinda Category utakayoingia na messi regardless of your achievement...BORA WAMEMALIZA DYNASTY YAO ILI WENGINE NAO WABEBE SASA. YANI HAKUNA KITU KILINIUMA ROHO KAMA...WALIVYOMNYIMA LEWANDOWISKI WAKATI NDO ALIKUWA KWENYE PEAK YAKE PALE...
  2. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkuu...Dunia Nzima imeona kwamba HAALAND KANYIMWA TUZO YAKE STAHIKI NA WAKAMPA ILE YA STRIKER BORA ILI KUTULIZA TU KELELE....LAKINI SIO MBAYA JAMAA BADO MDOGO NA PIA YUPO KWENYE TIMU YENYE KOCHA BORA NA YENYE NJAA YA MAKOMBE....HIVYO LAZIMA ATAKUJA KUIBEBA TU HII TUZO... WEE NGOJA KDB ARUDI...
  3. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Daah!...yani nimesoma POST YA UYO JAMAA NIKAHISI KUCHEKA SI KUCHEKA...MAANA ALICHOANDIKA ANAKIJUA MWENYEWE.
  4. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hatariii anajua sana mkuu...anakwambia "WELCOME TO MANCHESTER...A CAPITAL CITY OF PREMIER LEAGUE...20 OF IT'S 31 CHAMPIONS ARE FROM HERE"...
  5. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tena uyo dogo wenu PELLISTRI Ndo aliongea pumba kabla ya mechi ya jana....kuwa "Akitokaga na girlfrend wake kuzunguka pale jijini manchester haonagi mtu ata mmoja akiwa amevaa jezi ya City"....Pep alivyoulizwa ilo swali na pundit nae akajibu kisiasa kuwa " Atajaribu kuwauliza Puma kwanini jezi...
  6. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu sio mzuka tu KIUKWELI MANCHESTER DERBY...haivutii tena maana ni ONE SiDED FOOTBALL mshindi anafahamika....na sio ilo tu Man united wanashindwa ata kuonyesha kandanda safi dhidi ya wapinzani wao Man City... Hivyo DERBY YA MANCHESTER IMEPOTEZA MVUTO KULINGANISHA NA DERBY NYINGINE PALE...
  7. Pionaire

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Na katika hali kama hii...kinachofuata ni kukaziwa adi na watoto wadogo yaani apa kina palace na wolves wale....maana wanaamin wakikomaa kwako wanachukua points vizur tu kwakuwa wanajua hivi sasa Man Utd ni papatu papatu na hamshindi kwa uwezo wa timu kama timu. Dah!...hii timu yenu ni bora...
  8. Pionaire

    Tatizo la Manchester United ni nini haswa?

    Hahaha!....mku nimeiona comment moja huko instagram ikisema WAKATI MAN UNITED WAKIFIKIRI WAPO KWENYE DERBY...MAN CITY WAO WALIKUWA WAPO KWENYE PARTY ILE JANA...🤣🤣🤣🤣
  9. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ila uyu mwamba wanayemwita PETER DRURY....NI balaaa kwenye commentary...Kwangu mie jamaa ni commentary bora kuwah kutokea kwenye soka la pale england... Ni PETER DRURY...a.k.a "THE MASTER OF POETRY"...Maana sauti na maneno yake vinamwingia haswaa shabiki yoyote wa mpira....achilia mbali...
  10. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ila man city ni wakorofi...yani watu washapoteana alafu...bado tunawakumbusha machungu tena wakiwa uwanja wao wenyewe..."OLD TRAFFORD IS FALLING DOWN...GLAZZERS STAY 10 MORE YEARS"...🤣🤣🤣🤣 https://www.instagram.com/reel/CzBoj1rtZqG/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
  11. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Sawa...mkuu, ngoja City atakapobeba x4 mfululizo na hao wengine ambao unawaona sio maiti wakiwa kweny msimamo huohuo....NDO UTAJIULIZA NA WAO WAMECHOMWA NA NINI...😭😭😭😭
  12. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Sawa mkuu...tutarudi apa mwezi wa 5 mwakani, ndo tutajua nani wa kushika nafasi hiyo ya 5, ni City ama nyie wazee wa Europa League Liverkuku...
  13. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mkuu ebu ficha ujinga wako basi....kwani huwa guardiola hamchezeshi uyo dogo Doku....Kwaiyo ni Lazim kila mechi aanze na asipochezeshwa tu ni ubaguzi sio?
  14. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Money TALKS....Now Things have turned around...No Glory anymore to their teams, they now hide on to their past history...which doesn't help apparently, POOR UNITED🤣🤣🤣🤣.
  15. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Babu Eriksen jana kajikongoja sana...Wampumzishe bana wasije kumuua bure uyo mzee wa watu...🤣🤣🤣
  16. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hapo...peter Drury anakwambia, "A Score Line For Ages".
  17. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Huyu...jamaa jana alikuwa mwiba sana tu....Kamuexpose sana Dalot, Bora ata angewekwa Bisaka lakini sio Dalot eti amkabe Grealish.
  18. Pionaire

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Hii kitaalam...Haaland anamwambia Foden the stage is Yours🤣🤣🤣.
  19. Pionaire

    Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

    Yah!...huyu dogo yupo vizuri kwa aspects ambazo anapaswa awe nazo kiungo wa juu...ana sifa za namba 10 kwa asilimia 80%...kuanzia pasi za mwisho, playmaking na assists...i Ila tu shida yake ni kwenye...umaliziaji(apa namaanisha ni kama KDB anauwezo mzuri wa kufunga na Shooting power kama...
  20. Pionaire

    Ubora wa Jude Bellingham ni upi?

    Mhhh!...namba 6 ipi iyo mkuu unayosemea???...ukisikia OVERHYPE YENYEWE NDO HII...Yani umemaanisha jude anaweza kucheza vyema DEFENSIVE ROLE?? au Maana ata HOLDING Bado hajanishawishi maana hana uwezo wa kuificha mali yule dogo...kwa Namba 8 na 10 sawa ila 6 HAPANA...Na kama hutojali nitajie apa...
Back
Top Bottom