Search results

  1. Kipyagi

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mimi nataka niwapongeze kwa kunipa huduma iliyopitiliza matarajio yangu,kwani kwangu umeme ulikuwa umekatwa baada ya kutokea hitilafu kwenye armored cable. Hivyo mkaniambia mara fundi wangu wa umeme atakapokamilisha ufungaji nije niwataarifu. Tulipokamilisha tukawaletea barua saa sita mchana...
  2. Kipyagi

    Msaada: Mtoto kufunga choo

    Hakikisha na wewe mama unapunguza kula nyama huku ukiongeza kula mboga mbonga kwa wingi,zinasaidia pia akinyonya kulainisha choo chake.
  3. Kipyagi

    Yu wapi rais Kikwete? Namtaka aje hapa, 50

    Hongera sana kaka.Umeweza jumuisha ahadi nyingi zilizotolewa mikoa mbalimbali na nini kimefanyika pia. keep it up brother. Vidonge hivi ni vichungu lakini hamna namna nyingine lazima wavinywe ili wapone.
  4. Kipyagi

    Meck Sadick aipongeza Mvua na Kuishukuru Kwa Kuwahamisha Wakazi wa Mabondeni!

    Nampongeza sana Mheshimiwa Meck Sadick.Nampa Big up
  5. Kipyagi

    Maalim Seif: Muungano lazima ujadiliwe

    Hakika kama koti dogo kwa nini usilivue? Hawa watu wa zenji tabu tupu kila kukicha lawama ebu livueni hilo koti. Bara wanafaidika na nini?
  6. Kipyagi

    Ya Mulugo: Was Only a Slip of Tongue! [Aliteleza Ulimi tuu]

    Jamani hii lugha ni kigeni, hata mbuzi wana lugha yao. Wakati mowing inte ni bora tutumie Kiswahili kwenye mikutano hiyo.
Back
Top Bottom