Search results

  1. CRN

    Elections 2015 Kamanda Mawazo: Tumepigwa tena, mwenzetu anaweza kufa wakati wowote!

    lukos tumia akili acha ushabiki ambao haukusadii,mjinga wewe.
  2. CRN

    Vijana wa Monduli wapanga kwenda kumuomba mh Izaack Kadogoo awe mrithi wa Lowassa

    we mleta uzi pima kwanza ufahamu wako ndo uje na jina lenye vigezo vya kushika wadhifa huo,huyo chalii udiwani pekee umemshinda sembuse ubunge! lkn ucjali sana,kwa ushauri mkumbushe tu kwamba anatakiwa kujua vigezo vya kuwa mbunge ni vipi,angalizo,mwambie akifoji cheti tutamuumbua kwa kuwa...
  3. CRN

    Askofu ambomoa Dk. Slaa, amuonya na dhambi ya uzinzi!

    kwanza wakristo hatuna hija,pili maneno ya huyu anae jiita mchungaji siyo maandiko,na tatu ajiheshimu.
  4. CRN

    Maafisa wa Jeshi la Polisi jijini Dar wauza vielelezo (madawa ya kulevya)

    maafsa wapatao wanne jeshi la polisi jijini Dar es salaam,wameuza madawa ya kulevya yenye thamani ya zaidi ya bilion moja,ambayo yalikuwa yamehifadhiwa kama kielelezo katika kitengo cha madawa ya kulevya kanda maalumu ya Dar es saalam tukio hili limefanyika leo na kwamba uchunguzi bado...
  5. CRN

    Matokeo kidato cha 4 yaua tena!

    hii siyo tetesi bali ni habari ya kweli kabisa,na kwamba mwili wa marehemu umehifadhiwa hospitali ya wilaya monduli kwa uchunguzi zaidi,lakini taarifa za awali zinasema kuwa marehemu huyo alijaribu kunywa sumu lakini mauti hayakumkuta,mpaka alipo amua kujinyonga usiku wa kuamkia jana na ndipo...
  6. CRN

    Mhe. Tundu Lissu, Please Acha Kumsulubu Spika Wetu! Unammaliza Kabisa Hadi Ameshindwa Kazi!

    hayo ndo madhara ya kuweka mtu acyekuwa na uwezo wa kuongoza bunge,siyo siri mi huwa naona kichefuchefu hata kumwangalia huyo mother akiwa anaongoza bunge.
  7. CRN

    Lowassa: Bungeni haongei, makanisani, kwenye mahafali na kwingineko msemaji mzuri!

    ataongea nini sasa cha maana,ukitaka kujua kuwa hana point yoyote hudhuria mkutano wake wowote akizungumza na wananchi.
  8. CRN

    PICHANI: NAPE akisaidia ujenzi wa shule ya sekondari KASULU! Hizi Pia ni Pesa za CCM?

    Nape kwa mbwembwe! darasa jenyewe la matope jamni!
  9. CRN

    Mfumo Usio rasmi wa Mishahara Serikalini unadumaza maendeleo ya nchi

    fikra zako ni pevu sana mkuu,sema serikali yetu inaongozwa na majuha,kwanza Rais mwenyewe hapo alipo hajui hata scale ya mishahara ya watumishi wake ilivyo kwa sasa,anachojua ni kupanda pipa na kwenda kuonana na mabwana zake kuomba misaada isiyokuwa na tija .
  10. CRN

    Maandamano ya wanafunzi St Johns University

    busara itumike kumaliza tatizo hilo,chuo kina private security,inatia shaka kwa vipi watu wasio husika na chuo waingie ndani ya chuo bila walinzi kufahamu,poleni sana wana chuo,lkn pia uchunguzi wa kina juu ya hili ufanyike haraka iwezekanavyo.
  11. CRN

    Askari wapiga picha na viongozi wa CCM

    mleta uzi,cku nyingine ukitaka ueleweke vzr jaribu kutoa na maelezo basi,kuwa hapo walikuwa wapi? kwa sababu gani? nk..kuweka picha tu haitoshi,JF ina watu wa aina tofauti tofauti,si kila mtu ataielewa picha hii katika mtazamo ulio nao wewe,vinginevyo ufahamu wako ni mdogo sana kama unadhani...
  12. CRN

    Dodoma Traffic Police na Mbinu chafu za Rushwa Barabarani

    mkuu,kuna wala rushwa wakubwa ambao wamesababisha hata hao askari kufika hapo walipofika,mishahara ni midogo sana na pia haiji kwa wakati,cha kufanya hakikisha unatoa maoni yako kikamilifu ktk katiba ijayo kusiwe na tabaka kubwa kati ya walio nacho na wasio nacho,haya yote yatakwisha.
  13. CRN

    Yaliyomkuta Ponsio Pilato, yamemkuta na Jakaya Mrisho Kikwete

    naungana na wewe,hata mimi nimefunguka vya kutosha.
  14. CRN

    Shelukindo: Namuunga mkono Lowassa kumrithi Kikwete

    mkuu njaa ni mbaya sana,nakumbuka huyu mama alivyotokwa na mapovu mdomoni wakati wa sakata la Richmond mpaka kufikia hatua ya kusema Maisha yao yapo hatarini lakini wanamwachia Mungu,siamini kama leo hii angechomoa maisha yake kwa Mungu na kuyarudisha tena kwa israel wake,FREEMASON AT WORK.
  15. CRN

    Salaam za X- mas toka CCM UK

    Salamu tumezipokea,kwakuwa aliyetuma ni mwanadamu,lakini hatuoni umuhim wenu CCM,salimia magamba wenzio UK.
  16. CRN

    Polisi wahaha wizi wa mil. 150/-

    Safi sana POLISI,ikitokea pesa hizo zikarudishwa ntawashangaa sana askari waliochukua,hiyo ni fursa nzuri ya kumfikishia ujumbe Rais wenu kuwa mshahara haukidhi mahitaji ya watumishi wake,Endeleeni kukomaa mpaka mwisho wa Game,na mkijidanganya kurudisha mtambue pia kuwa hamna kazi tena,msiogope...
  17. CRN

    TUCTA: Waichimba 'mkwara' serikali !

    TUCTA,Tumechoka na porojo zenu za kijinga,jana mlikuja na hili,leo hili na kesho jingine tena,hamna msimamo,na hao viongozi wenu wachunguzeni kwa makini sana,wamepandikizwa na Serikali,la sivyo mtaendelea kupiga Jalamba na vimishahara vyenu vya kununulia Unga Robo kilo,Amkeni acheni kuburuzwa.
  18. CRN

    Baada ya kuapishwa kuwa Wakili wananchi wa Simanjiro wamwandalia mkutano wa Hadhara James Millya

    Hata kuposwa hafai,mi naona angechezewa nakupewa shilingi mia kwa ajili ya kununua sabuni.
  19. CRN

    Kifimbo cha Ndg. Edward Lowassa

    Ni kawaida kwa LAIGWANANI kubeba fimbo ya aina hiyo,na imembidi kubeba fimbo hiyo kwa sababu hiyo sehemu aliyoenda ni miongoni mwa vijiji vilivyopo Monduli ambavyo hakubaliki kama mwanzo.
Back
Top Bottom