Kuiba hela za serikali kwa ajili ya chama na wanachama wa ccm kwa ajili ya familia zao. ni dhahiri tunaamini bila Tanzania ccm itakuwepo. wale wenye uzalendo na wanaweza kufikiri walau hata kidogo hawanampango na ccm tena. mliopumbazwa na watawala ili msione fungukeni tunusuru nchi kutoka kwenye...
Rais kashatoa maagizo nn anataka katiba iwe , je wabunge wa ccm wanaweza kupitisha tofauti na Rais? Jk ameharibu mchakato kwan katiba aliyokuwa akinadi mkuu wa nchi ni ile ambayo watanzania tumeichoka, jamii isiyokubali mabadiliko huduma katika nyanja zote
MSIWAAMINI WANASIASA WAWE WA CHAMA TAWALA AU WA UPINZANI-ZITTO KABWE. Serikali zote duniani zinaongozwa na wanasiasa inakuwaje sisi tusiwaamini yamaanisha tusiwe na viongozi , kweli siasa ni game gumu
watanzania wengi watalazimika kuwa na deki kutazama filam watakosa matangazo ya moja kwa moja kwa sabab yamalipo yakila mwezi,viongozi hawawajui watu wao kipato.pengine tunategemea fikra za ng'ambo,
Bibi mkazi wa Tunduma ambaye hajawahi soma hata darasa la kwanza,akiwa na wajukuu alisema waafrika wataendelea kupungua miaka ijayo kwa kukosa maada za sayansi ya ugunduzi kwenye mifumo ya elimu wanaofundisha.Elimu haiwezi kutoa majawabu kwa mabadiliko ya mazingira.Watanzania kwa elim...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.