Mimi nilikuwa BVR operator somewhere. Niligundua kuwa 98% ya watu waliokuwa fingeprint zao hazisomi ni wale ambao walikuwa wanaugua ganzi ktk mikono yao. 2% iliyobaki walikuwa wazee sana!!
Mtimbo
Athumani ni mtu. Mungu ni muumba mwenye uwezowa kila kitu, hana choyo,wivu wala visasi lakini binada ana choyo,wivu,hiana. Kwa hiyo waswahili pwani waliibuka na msemohuo sawa na kusema mungu si binadam! Mungu humpa/hunyima amtakaye.
kwa hiyo kauli yake hawezi kuitoa mahali pengine hadi akaitolee kanisani?, viongozi namna hii huwa nashindwa kuwaelewa dhamira yao ni nini!!! hawezi kuwaita waandishi wa habari ili atoe dukuduku lake mpaka asubiri kanisani/msikitini?
Manispaa ya Temeke huwa wanatoa mshahara tarehe 40. wao n do kawaida yao! ukipokea tarehe 27 au 28 ni ajabu sana. sijui kuna nini nyuma ya pazia! Temeke ni majanga sana Mkurugenzi na wahasibu wake wana lao jambo!
wanao jiita wanasiasa! wana mbwembwe! mara nyingi mtoto mgomvi hakawii kulia! kama nyumba si yako inawekwa uzio we wasiwasi unatoka wapi? unahoji eti kwanini inawekwa uzio?
Hii ni sawa na kujadili maini ya nguruwe eti waislam msile! kwani hiyo nyama yake imeruhusiwa? unatahadharisha neno lililopo kwenye wimbo kwani uislam unasema nini juu ya nyimbo?
Kazi kwao kwa wale waliokuwa wanasubiri majina ya uhamisho. Watakaoelewa maelezo ya thread hii ni watumishi au wenza wa watumishi wa serikali walikuwa wanayasubiri majina kwa hamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.