Search results

  1. Wimbo

    Madam samia: Huu si wakati muafaka kufanya uchaguzi

    Ukipenda unaweza kuchukua ushauri huu, huu si wakati muafaka wa kufanya uchaguzi kabla katiba haijakaa sawa, moja ya jambo muhimu miiko ya kulinda tunu na uchumi wa Taifa bado inahitaji maboresho vinginevyo kila mmoja atakayeingia ataanzisha yake na kulipa muzigo Taifa kama unavyohangaika hivi...
  2. Wimbo

    Tuzo za Malkia wa Nguvu zinahitaji marekebisho

    Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki; Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu...
  3. Wimbo

    Ijue siri na sababu za malalamiko ya Teuzi kwa hoja za Udini katika Awamu hii ya Sita

    nipeni majibu baraza la Rais Mwinyi zanziber lina wakristo wangapi? kwani taifa hilo ni la Waislamu pekee?
  4. Wimbo

    DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    madaladala mengi ya wakubwa ndiyo sorce ya hujuma ili wapige pesa, fanyeni hivi wauzieni yote ikibidi kila mmoja aweke nembo yake musiajiri madereva wala makondactor ninyi tozeni kodi kwa kila basi kwamwezi, siyo rahisi kwa mtazamo wa biashara ya kidunia serikali kufanya biashara mabasi ambayo...
  5. Wimbo

    Maswali kwa Waziri Mkenda kupata ufafanuzi sababu za kuunda combinations mahususi za dini Sekondari

    wanasema wahenga ukitaka kuona nyeti za kuku subili upepeo upulize
  6. Wimbo

    Ni ngumu sana kumpata Mwanamke kama Tulia Ackson. Ana uwezo mkubwa, anafaa kuwa Rais

    Tumeshuhudia ubora wa utawala wa mwanamke Samia, nashawishika kuanza sala na maombi, kwa kuwa uongozi unatoka kwa Mungu ikimpendeza akitoka samia aingie Tulia Akson Ni mapema mno lakini wazo hili limweke kwenye hadhara watu wachambua strength na weekness zake mapema ili nuru ikiangaza juu yake...
  7. Wimbo

    Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

    Kwanza tusisahau kwamba hata hizo km 12000 mnazompa kikwete alisimamia yeyeJPM alifanya maamuzi magumu sana ambayo maRais wote waliopita hawakuthubutu, kuhamishia makao makuu kuwa Dodoma, ni uthubutu wa aina yake hiyo ni no revise, daraja la kigongo busisi i, natamani daraja likamilike tupite...
  8. Wimbo

    Vita ya Uchumi haijawahi kuwa nyepesi, Hayati Magufuli aheshimiwe

    Akili ndogo una comply na mabeberu wanakomba Nchi watu wako wanaishi kimaskini ukiondoka tunasema ulikuwa mzalendo sana, boosheet
  9. Wimbo

    Waziri Bashungwa pamoja na kazi nzuri unayoifanya kuna baadhi ya Watumishi wako wanakuharibia

    Mh. Innocent Bashungwa wewe ni Mtu makini sana na ndiyo maana kila wizara unayopelekwa unafanya vizuri sana. hongera sana, lakini kuna watu wanakuharibia kazi, tarehe 11 February 2024 mtumishi wako wa office ya Tanroad Njombe kwa mbwembwe tu na akiwa mlevi kazini alimshambulia mkandalasi kwa...
  10. Wimbo

    Hivi huu msafara wa Mawaziri wa Tanzania ulioko Norway ulienda hadi Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francisco?

    ndiyo wote walikuwepo ikiwa ni pamoja na Nchimbi, shida yako ni nini hasa hutaki watu watumie fulsa?
  11. Wimbo

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    kati ya hao hayupo, itakuwa bandika babdua,mwanamke kuingia mwanamke na nyota inag'ara kwa Tulia Akson
  12. Wimbo

    Rais Samia; mwisho wa siku wewe ni Mtanzania Mzanzibari mkazi wa kizimkazi

    Tunamshukuru Mungu kwa kukutunuku nafasi hiyo, kama ulivyosema mwenyewe " uliluzukiwa" na kweli it was not easy for you kukalia kiti hicho kwa sababu imani ya walio wengi kwa kuangalia wanawake wengine waliowahi kuongoza Nchi mf Madamu Banda wakaharibu isingelikuwa rahisi kukuamini, ingebidi...
  13. Wimbo

    UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

    walikuwa hawajafikisha idadi maana wao ukiua Myahudi mmoja wao wataua 50, kama ni 30,000 bado hawajatimiza lengo kufikisha 35,000 maana waparestina waliua wayahudi 700
  14. Wimbo

    Happy Birthday Madamu Samia Suluhu Hasani

    Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka, Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka, Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka, HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA. Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia vema umesimamia, kwa upendo kadilia, sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia, HONGERA MAMA...
  15. Wimbo

    CCM waanza mchakato wa kumshughulikia Luhanga Mpina, awasili mbele ya kamati ya maadili CCM

    upinzani siyo uhasimu na CCM haiogopi wapinzani, sera za CCM ni pamoja na kujikosoa na kuchagiza maendeleo. wapinza wanakaribishwa sana katika hoja zenye kulinda tunu za Taifa letu si kupinga tu ilimradi kupinga, Mama ameachana na siasa za maji Taka amewapa nafasi Muandamane lakini mwisho wa...
  16. Wimbo

    Mkuu wa Majeshi: Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi

    hivi CDF hajui kwamba wakimbizi wa 1972 Walipewa uraia na Mwalimu, kwa hiyo wakae wasizae wasisomeshe watoto wasishiriki katika fulsa za kiuchumi? mtu akisha pewa uraia si mkimbizi tena, si magharibi tu tuna wakikuyu Wengi kata ya kipande Sumbawanga walipewa uraia, wasomari kibao. CDF this is...
  17. Wimbo

    Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    kwani si haki yake kama Mtanzania hata wewe jiandae 2030, 2025 Mama Samia ametoheleza vigezo na masharti tunakwenda naye hadi 2030 Inshallah.
  18. Wimbo

    Nimeshtushwa na taarifa kwamba ACT Wazalendo wameungana na CCM kupinga maandamano ya CHADEMA

    unategemea waunge mkono upuuzi wa CDM kwa faida ipi.
  19. Wimbo

    Kuteuliwa kwa Dkt. Nchimbi: Rais Samia sasa kunywa chai yako kwa raha zako

    Mungu akujaalie utembelee majirani zetu wote wa EA, nina hakika utajifunza mengi na utajipiga kifua kwamba sisi tuko vizuri, maandamano ya Waganda (kwa mfano) kuamua kupanda migomba barabarani, kuishinikiza serikali itengeneze barabara ambayo ni mahandaki ya mashimo imeiona wapi Tz. !!! wewe ndo...
Back
Top Bottom