Search results

  1. S

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Kweli zaidi ya hapo hakuna kwani serikali yetu ipo nao kwa sasa. Wanawaficha hawa mafisadi. Kwa mfano, huyu saidi mahonda akihisi tuu kuwa umemuibia katika maduka yake anakufungia ndani ya store na kuanzan kukupa mkong'oto yeye na ndugu zake. Wameshamfanyia kijana mmoja alikuwa akifanya kazi...
  2. S

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    ibambasi, sina document yoyote kwa sasa zaidi ya kutowa hilo jina na zaidi yapo ni biashara zake za maduka anaziita home shopping centre. Nina uhakika kama takukuru au wahusika wowote serikalini kama ambao nadhani bado wapo wenye nia ya kweli ya kuwasaidia wa Tanzania huo ni mwanzo mzuri kwao...
  3. S

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Huyu saidi mahonda hajawahi kusoma Mzumbe wala IFM, nimjuavyo mimi hana IQ ya kusoma huko. Na kwa mujibu wa habari nilizozipata sasa hivi, hivi karibuni amemuajiri Miss Tanzania wa kidosi kama secretary wake na ninavyoambiwa ndio yeye alimnunulia huo umiss kwa thamani kubwa sana (hili sina...
  4. S

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Dar. Ni habari nzito kweli na nimezifupisha sana kwa kuwa uandishi si fani yangu. Ndio kuna ukweli mtupu na kama kuna sehemu unataka ufafanuzi na unamashaka nayo basi uliza niiweke wazi zaidi. Yes, kama kuuweka wazi ufisadi ni chuki binafsi, basi jibu ni ndio, nina chuki binafsi na mafisadi wote...
  5. S

    TRA - Napasuwa Ufisadi Mwingine!

    Ufisadi mwingine unajulikana wazi lakini kwa kuwa umewatajirisha wanene, wengi wao, mpaka wakubwa wa polisi wanapokea mishahara kutoka kwa haka katajiri fisadi. Haka katajiri kanafumbiwa macho na Takukuru na Usalama wa Taifa na hata hiyo polisi yenyewe. Kwa nini? Kwa sababu tuu eti haka kajitu...
Back
Top Bottom