Search results

  1. T

    Ugonjwa wa Mwandosya na Mwakyembe

    Nani atupe ukweli wamambo?
  2. T

    Rais wetu na safari mfululizo

    Nilikua najiuliza, Rais wetu anavyotembelea nchi mbalimbali bila kupumzika si atachoka sana na kuanguka huko???
  3. T

    JK na simu ya mkononi

    Hivi mkuu wa nchi kutembea na simu ya mkononi hata kwenye official events huku anajibu au kupiga simu au anapokea ujumbe ni sawa?
  4. T

    Sema Usikike: Waziri Mkuu wa zamani amuweka kimada Mbunge

    Katika gazeti la Sema Usikike la leo tarehe 10/2/2009 kuna habari kwamba Waziri Mkuu wa zamani amemuweka kimada mbunge moja shoga kutoka Magharibi. Kwa waheshimiwa wabunge habari hii siyo ngeni kwao.
  5. T

    Mafisadi CCM waendelea

    Magazeti ya Kulikoni na Thisday yaliripoti jana kwamba shehena kubwa la nyara za serikali limekamatwa Iringa likitokea Mkoa wa Mbeya kupelekwa nje.Mhusika mkubwa ni kigogo wa CCM Mkoa wa Mbeya mwenye uhusiao wakaribu na viongozi wa juu. Kwa miaka mingi huyo kigogo amekua akijishugulisha na...
Back
Top Bottom