Search results

  1. Japhari Shabani (RIP)

    Kama ni halali kugawana mali ikiwemo ikulu baada serikali tatu kwanini kwa ccm haikua hivyo?

    Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama itapitishwa)Mali zilizokua zikimilikiwa na serikali ya muungano yakiwemo majengo na Ikulu...
  2. Japhari Shabani (RIP)

    Hotuba ya Wizara ya Ardhi na mama Tibaijuka ni mfano wa kuigwa kwa wizara nyingine

    Wengi tumekua tukifuatilia hotuba na maadhimisho ya hotuba za wizara mbalimbali lakini wizara ya ardhi imekua tofauti na nyingine.Wao wamejikita katika kuwasilisha hoja na siovijembe kwa wapinzani au kuisifia chama tawala CCM na pale kuna mazuri toka upinzania wanakubaliana nayo.
  3. Japhari Shabani (RIP)

    CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

    Kwa hali ilivyo katika chama tawala CCM(chama cha mafisadi)Hambacho hatima yake ni mwaka 2015 na inawezekana kabla ya hapo hata kitumie mbinu zipi ni vigumu kubaki madarakani hata kiushawishi uongozi wote wa CHADEMA kujiunga na CCM,kichukue pesa zote za banki kuu,pesa zote za bajeti n.k.KUBAKI...
  4. Japhari Shabani (RIP)

    Rais Kikwete anapofikiri kama Kabwe Zitto...

    Na Evarist Chahali - Uskochi | Raia Mwema | Toleo la 261 | 3 Oct 2012 NIMEKUWA nikiulizwa swali hili takriban kila wiki baada ya makala zangu kuchapishwa katika jarida hili maridhawa: Hivi kuna wakati unaishiwa na cha kuandika? Na siku zote jibu langu linakuwa lile lile; Tanzania yetu haiishiwi...
  5. Japhari Shabani (RIP)

    TUME ZA SERIKALI NA CHAMA TWALA CCM Ni UFISADI NA USANII.

    Tumekua tukishuhudia kila linapotokea jambo au janga uhudwaji wa tume ili kuchungunza tukio au janga,wakati mwingine hizi tume zinaundwa kuchunguza kitu ambacho kinaonekakana bayana na tume nyingi zinazoundwa matokeo yake au mapendekezo yake yanabaki kuwa siri,au ushauri wake hautekelezwi.Ni...
  6. Japhari Shabani (RIP)

    Vurugu na mauaji katika mikutano ni mpango ulioasisiwa na serikali na ccm.

    Tumeshuhudia siku za karibuni vurugu na mauaji katika mikutano au maandamano ya amani ya CHADEMA na kauli ya viongozi wa serikali na chama tawala CCM.Kwa mtu mwenyeakili timamu hahitaji akili ya ziada kuelewa nini kinachofanyika,Tukianzia mauaji ya Singida,Mororogoro na hili la mwisho...
  7. Japhari Shabani (RIP)

    CCM imeshindwa katika hoja,kisera na ushawishi kwa wananchi kilchobaki mabavu!

    Kwa Hali ilivyo hivi sasa inaonekana CCM umeshindwa katika kila sehemu na CHADEMA na kasi ya CHADEMA kukubarika kwa wananchi matokeo Yake inatumia nguvu za dola na Majungu kwa kuzuia mikutano. na maandamano bila sababu. Matokeo yake vurugu na kusababisha vifo na majeruhi MUNNGU IBARIKI TANZANIA .
  8. Japhari Shabani (RIP)

    Ni vigezo au kanuni gani zinaweza kutumiwa kumg'oa spika au manaibu wake.

    Tangu bunge ili lianze baada ya uchaguzi wa mwaka 2010 chini ya Spika wa bunge Mh.Anne Makinda,tumeshuhudia vituko kutoka kwa baadhi ya wabunge kwa upande mwingine ubabe wa spika na manaibu wake kwa kupendelea upande wa chama tawala CCM na kuzima hoja muhimu kwa maslahi ya nchi zinazotolewa na...
  9. Japhari Shabani (RIP)

    Tusimsakame Zitto, Maamuzi ya Waziri kuhusu TANESCO mbali ya kuwa muhimu kuna makosa ya kisheria

    Kuna mjadala ambao unaoendelea kuhusu sakata la wabunge kuhusu kupokea rushwa kuhusu sakata la Tanesco lakini katika sakata hili kuna baadhi ya wabunge mafisadi na wala rushwa lakini kuna baadhi wamewekwa kwa kundi hili kwa chuki au kusema ukweli kama Mh.Zitto,ukisoma makala hiyo hapo chini...
  10. Japhari Shabani (RIP)

    Kujiuzulu kwa waziri zanzibar ni kwa makosa na udhaifu wa dereva kuhukumiwa kondakta

    Naipongeza hatua ya waziri wa mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Kujiuzulu na kuwajibika kwa yaliyotokea kwa hili ni shujaa kwani kwa serikali yetu kitendo hiki ni nadra kutokea katika utawala wetu chini ya CCM.Madudu katika wizara ya nishati wakati wa Ngeleja ambayo yalikua wazi hakuwajibika...
  11. Japhari Shabani (RIP)

    Uchakachuaji na uhuru wa kupata habari katika mitandao unanukia tanzania

    Chombo cha kudhibiti mtandao chafungwa na Danson Kaijage, Dodoma WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, amesema Serikali inafunga chombo maalumu cha kudhibiti matumizi mabaya ya mtandao ikiwemo wizi unaofanyika. Prof. Mbarawa alisema hayo jana mjini hapa wakati...
  12. Japhari Shabani (RIP)

    Thomas Sankara (1949-1987) - Muasisi wa taifa la Burkina Faso

    Nimetizama film hiyo ya Thomas Sankara baada ya kuchukua hatua alizozichukua ikiwemo kufuta matumizi ya magari ya kifahari,kujikita katika kilimo,afya michezo haki za wanawake na mambo mengine mengi,ambayo kwa kipindi kifupi nchi hiyo ilitoka katika kuagiza vyakula na kuwa wauzaji wa vyakula...
  13. Japhari Shabani (RIP)

    Tatizo la matusi kwa viongozi wa CCM ni ishara ya kukosa hoja m/kiti wa UVCCM ni zaidi ya Lusinde

    Video ; JANJAWEED BADO TUNAO – UVCCM KWA MTIPURA | Mzalendo.net
  14. Japhari Shabani (RIP)

    Ni uwendawazimu na usanii kwa CCM kujibu hoja za CHADEMA kwa maandamano na mikutano

    Kwa sasa hivi viongozi wa CCM na Nape wanajaribu kuandaa mikutano kujibu hoja za chama makini CHADEMA,hapa tunapashwa kujiuliza kwa CCM mikutano na maandama hayo ya nini?! CHADEMA kinaanda mikutano na maandamano hayo kutokana na CCM ambao wako madarakani kua kimya kutatua kero za walalahoi...
  15. Japhari Shabani (RIP)

    Ushauri kwa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na Shibuda ni kumdarau na kumpuuza.

    Viongozi wa CHADEMA na wanachama na wapenzi wa CHADEMA dawa pekee ya kupambana na huyu comedian Shibuda ni kumdharau na kumpuuza.Kwani kutumia muda mrefu kumjadili ni kumpa umaharufu ambao hana.Nakatika vitendo vyake na kauli zake inabainisha ya kua lengo lake ni kupata umaharufu.Huyu ni kichaa...
  16. Japhari Shabani (RIP)

    Baada ya Mawaziri mafisadi kuwajibishwa anaefuata awe JK

    Tofauti kati ya Rais wetu JK na viongozi wengi wa CCM,serikali na taasisi nyingine za serikali na umma wanatofautiana kwa majina matendo yao ni sawa ndiyo maana Rais JK alikua na kigugumizi kutoa maamuzi katika rushwa,ufujaji wa mali za umma na ufisadi. Kwani kwa kufanya hivyo baada ya hapo...
  17. Japhari Shabani (RIP)

    Ctv chadema tv imelala ziara za makamanda mikoani na matukio kutoka bungeni

    Katika siku za karibuni kuanzia uchaguzi wa Arumeru,ziara za makamanda mikoani,matukio kutoka bungeni CTV mnatuangusha chadematv - YouTube
  18. Japhari Shabani (RIP)

    Hii imekaaje maswahiba wawili JK na Ngeleja Malawi hapa kuna wakujiuzulu?

    Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: JK Atua Blantyre Kushiriki Maziko Ya Bingu Wa Mutharika
  19. Japhari Shabani (RIP)

    Katika utawala huu chini ya CCM; Taasisi ya ukaguzi wa mahesabu, TAKUKURU ni usanii

    Hivi katika nchi yetu ambapo ufisadi na ufujaji wa mali na rasilimali za nchi kila taasisi za serikali na umma tunaweza kusema "TUNA TAASISI YA UKAGUZI WA MAHESABU?" Hayo madudu ya ubadhirifu na ufisadi yanayoibuliwa na taasisi hiyo katika mashirika ya umma na taasisi za serikali na Ikulu...
  20. Japhari Shabani (RIP)

    Asanteni Madaktari; mmetuonesha hatupaswi kutaliwa kwa ubabe tena!

    Ukilitazama swala la sakata la mgomo wa madaktari juu juu unaweza kuwalaumu na kuwaita watu wasio na huruma na hawawatendei haki wagonjwa,wauaji,wasaliti,wamekiuka kiapo cha udaktari n.k. Kitu ambacho serikali JK na utawala kwa ujumla katika propaganda na porojo zao wanataka tuamini hivyo...
Back
Top Bottom