Search results

  1. Japhari Shabani (RIP)

    Exclusive: Video ya mlipuko wa bomu Arusha

    Jibu lako litafute kwenye hotuba waziri mkuu Pinda bungeni "Polisi wapige na wataendelea kupiga"
  2. Japhari Shabani (RIP)

    Kama ni halali kugawana mali ikiwemo ikulu baada serikali tatu kwanini kwa ccm haikua hivyo?

    Leo katika gazeti la mwananchi la jumapili Warioba: Ikulu kugawanywa - Kitaifa - mwananchi.co.tz Jaji Warioba amesema ya kua baada ya muundo wa serikali tatu kwa mujibu wa katiba mpya (kama itapitishwa)Mali zilizokua zikimilikiwa na serikali ya muungano yakiwemo majengo na Ikulu...
  3. Japhari Shabani (RIP)

    Hotuba ya Wizara ya Ardhi na mama Tibaijuka ni mfano wa kuigwa kwa wizara nyingine

    Wengi tumekua tukifuatilia hotuba na maadhimisho ya hotuba za wizara mbalimbali lakini wizara ya ardhi imekua tofauti na nyingine.Wao wamejikita katika kuwasilisha hoja na siovijembe kwa wapinzani au kuisifia chama tawala CCM na pale kuna mazuri toka upinzania wanakubaliana nayo.
  4. Japhari Shabani (RIP)

    Waziri Sitta ahitimisha hotuba ya makadirio ya Wizara yake, awashambulia CHADEMA!

    Inasikitisha kuona kiongozi mzoefu kama Sitta na mawaziri wengi wa serikali ya CCM wanatumia muda mwingi kuipiga vijembe CHADEMA badala ya kujibu hoja muhimu naona katika vikao vya ndani vya CCM kuna maelekezo yaliyotolewa katika vikao vyao vya ndani ya kua kila mbunge au waziri lazima aitamke...
  5. Japhari Shabani (RIP)

    Mnyika kuisambaratisha serikali leo bungeni, bajeti ya nishati na madini

    Jamani aliye na link ya redio za mtandaoni atujuze kwa tangu juzi ya tbc,dullonetfm na Arusha mabo ziko kimya.
  6. Japhari Shabani (RIP)

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Jamani aliekimbia mjadala hapa sio Dr.Slaa ni Kinana Nape sio saizi ya kuzungumza au kushiriki katika mdahalo na Nape hata na Myika.Kwa Dr slaa kushiriki katika mdahalo na Nape ni matusi n adharau kubwa kwanini ITV hawakumtaarifu kua Kinana kakimbia.
  7. Japhari Shabani (RIP)

    Bungeni: Magufuli ajibu hoja za Kambi Rasmi ya Upinzani (Bajeti ya Ujenzi)

    Kwakweli hotuba ya jana ya magufuli imeonyesha ya kua yeye ni ze komedi alitumia muda mrefu kuwabeza wapinzani na kuisifia CCM na Kikwete na kutoa takimu zisizo na tija badala ya kujikita kutoa kutoa ufafanuzi kwa hoja za msingi.Hotuba ya kambi ya upinzani iliyotolewa na makamu mwenyekiti Arfi...
  8. Japhari Shabani (RIP)

    Zitto Kabwe: Marufuku wabunge wa CHADEMA kuisifia serikali ya CCM!

    Kwakweli hotuba ya jana ya magufuli ina one ya kua yeye ni ze komedi alitumia muda mrefu kuwabeza wapinzani na kuisifia CCM na Kikwete na kutoa takimu zisizo na tija badala ya kujikita kutoa kutoa ufafanuzi kwa hoja za msingi.Hotuba ya kambi ya upinzani iliyotorewa na makamu mwenyekiti Arfi...
  9. Japhari Shabani (RIP)

    CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

    Mkuu ingependeza Kama usingetumia kauli ya kua "kinaweza kisirudi "Kauli hizi zanawapa imani yakuza kunakauwezekano ka kurudi madarakani.
  10. Japhari Shabani (RIP)

    CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

    Ndugu yangu naona unajaribu kusoma gazeti ukiwa umevaa miwani ya mbao ,najua CCM inafanya kila mbinu kubaki madarakani lakini kuna aina nyingine za mbinu inazozitumia ni janga la taifa mifano iko wazi.
  11. Japhari Shabani (RIP)

    CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

    Namaanisha ya kwamba hata ikitumia mbinu zozote haiwezi kubaki madarakani 2015.
  12. Japhari Shabani (RIP)

    CCM hii hata ikimsimamisha nani urais, 2015 haitashinda

    Kwa hali ilivyo katika chama tawala CCM(chama cha mafisadi)Hambacho hatima yake ni mwaka 2015 na inawezekana kabla ya hapo hata kitumie mbinu zipi ni vigumu kubaki madarakani hata kiushawishi uongozi wote wa CHADEMA kujiunga na CCM,kichukue pesa zote za banki kuu,pesa zote za bajeti n.k.KUBAKI...
  13. Japhari Shabani (RIP)

    Tuongee asubuhi Star TV: Mustakbali wa ajira Tanzania na Ilani ya CCM

    Kwa elimu hii tunakokwenda hata hivyo vyuo VETA n.k zitakosa wanafunzi au vitapata wanafunzi wasio kidhi viwango na matokeo yake wataalam feki ili ni janga la taifa.
  14. Japhari Shabani (RIP)

    Tuongee asubuhi Star TV: Mustakbali wa ajira Tanzania na Ilani ya CCM

    Nape utaundaje ajira wakati viwanda vyote vinakufa na elimu yenyewe ndiyo hiyo asilimia 60 wanafeli.
  15. Japhari Shabani (RIP)

    Bunge Lisirushe Matangazo yake 'LIVE' - Nape

    Nape sababu ilizozitoa hazina mashiko kurushwa kwa habari "live" Zinatoa nafasi kwa kwa wananchi kuelewa ni wabunge gani wanatetea haki zao na wabunge wapi wanatetea matumbo yao na wapi wanaosinzia bungeni.Kutokana na tabia ya CCM kuogopa ukweli wanafanya kila mbinu kuzuia vitu hivyo.Ebu Nape...
  16. Japhari Shabani (RIP)

    Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

    Rais amnapokua hana mshiko atatafuta kila njia anekane kwenye misiba,uzinduzi wa miradi ambayo mkuu wa mkoa ,waziri au mkuu wa wilaya anaweza kuzindua
  17. Japhari Shabani (RIP)

    SIONI kama CCM ina KATIBA, naona KATIBA ni MWENYEKITI

    Le Mutuz inabidi tukusamehe,kwani jana ilikua Jumapili umekunywa chupa ngapi za bia,konyagi au konyangi ya kwenye makaratas(Ganja)Maana mtililiko wa wa majibu yako unanishangaza:target:
  18. Japhari Shabani (RIP)

    Nape nnauye: Tathmini; matokeo ya uchaguzi mdogo wa udiwani.

    WanaJF kunawakati ambapo Kujibizana na mtu huyu NAPE, tunajivua nguo au tunajaribu kumfukunza kjichaa alietuchukulia nguo zetu tukiwa tunaoga na kujaribu kumfukuza na kukimbia tukiwa uchii tunawapa nafasi watu kujadili ,sio kilichojili bali ni nani kati yetu mwendawazimu.MUNGU IBARIKI TANZANIA.
  19. Japhari Shabani (RIP)

    On Star TV: Gharama za Kuendesha Vyama vya Siasa na Rushwa katika Siasa Nchini Tanzania

    Tafadhari Yahaya unapowakilisha hoja tuwekee na namba ya simu.Kweni kwenye runinga kwa sisi tuliopo nje ya nchi tunawafatilia kupitia mtandao namba haionekani natoa pongezi kwa kazi nzuri.
Back
Top Bottom