Search results

  1. M

    StarTV wasaliti agizo la Chama cha Wandishi wa Habari

    JUKWAA LA WAHARIRI L Inatumika vibaya LOWASSA Na wafuasi wa CHADEMA wanasema wanawatu wao katika uongozi huo, Angalia tukio la Kupigwa Waandishi wa Habari na wanaosemekana wafuasi wa Prof. LIPUMBA Jukwaa liliwaalika wandishi wanawake wakawa wanalia sio kwa kupigwa ila kwa kutokamatwa Lipumba na...
  2. M

    Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Taarifa hii ina usahihi gani
  3. M

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Aibu kwa mdee na john mnyika.
  4. M

    Karibu Kinondoni Paul Makonda kwenye Ngome ya CHADEMA

    Nimeona taarifa ya katibu wa CHADEMA wilaya ya kinondoni.Bwana KILEWO ni ya uongo tena ni aibu kiongozi kudanganya hadharani. Kwa kumkalibisha mkuu wa mpya wa wilaya ndugu MAKONDA kwa kumwambia kuwa kinondoni ni ngome ya chadema hili sio kweli,ukweli nikwamba.kuanzia tarehe 14 desemba...
  5. M

    Makongoro Nyerere Kugombea Urais-2015

    Lowasa ndio kiboko wa UKAWA.
  6. M

    CUF + CHADEMA +NCCR + NLD = UKAWA. Watake wa sitake lazima wata gombana tu.

    WANA JF. NINAJAMBO LEO KAMA MTAZAMO NA UTABILI KUHUSU UKAWA. kwa uzoefu wangu kwa siasa za tanzania ni vigumu sana, kuanzisha ushirika ukadumu sababu watanzania wengi ni watu wa tamaa na sio wa misimamo hivyo ukawa hauna agenda pia hauwezi kufika mbali. naona ni ujanja ujanja tu.
  7. M

    CHADEMA, wakati umefika wa kuwasamehe Zitto na wezake

    Mawazo mazuri sana kama mbowe ana akili atazingatia ushauli.ila shonza na mwampamba tuwaacha hukohuko ccm.
  8. M

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Ubungo yote au baadhi ya mitaa.
  9. M

    Wasiomjua Dr. Slaa soma mada hii, kabla ya uanasiasa na baada

    mtoa mada nakupa 100% safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
  10. M

    Ujio wa Mh. Mdee Ubungo, je Mnyika amechuja kisiasa?

    Pamoja kupata baadhi ya majibu kuwa mnyika haja chuja,sasa nimegundua ktk jf kumejaa wana harakati sio wana siasa. mtu kuuliza swali anahitaji jibu sio matusi wala kejeri.hata wabunge huwa wana uliza maswali sasa kosa langu mimi ni nini?.
  11. M

    Ujio wa Mh. Mdee Ubungo, je Mnyika amechuja kisiasa?

    Wana jf.tokea juzi viongozi wa chadema ubungo na madiwani.walikuwa na pilika pilika za kuandaa mkutano na kumuomba mbunge wa kawe HALIMA MDEE.na jana mdee ali hutubia mkutano pale kimara mwisho.swali ni kwamba je? mbunge wa jimbo hilo mhe. JOHN MNYIKA amechuja kisiasa?
  12. M

    Je, una hoja ya msingi ya kumkubali au kumkataa Zitto Kabwe?

    MIMI simkubali kwa sababu kuu tatu.1.yeye ni msaidizi wa katbu mkuu. lakini amekuwa hamsaidi chochote katbu mkuu hivyo kumfanya dk.slaa kuwa na kazi nyingi yeye zito akilabata tu.2.kwa mujibu wa katba ya chadema yeye ana husika na upatikanaji wa vifaa vya uenezi kama vile.bendera,kadi,katba ya...
  13. M

    Ridhiwani Kikwete, Hii kampuni ni yako?

    Hata ukijua au usijue, iwe yake au sio yake, analipa kodi au halipi kodi mimi nakuambia UMASIKINI wako na wazee wako hauta kutoka.alopewa kapewa.
  14. M

    Jakaya Kikwete - Baba wa Katiba Mpya

    BADO. kikwete ana sitahili kupongezwa sababu kuanzia Raisi MWINYI, MKAPA hoja ya kuwepo na katiba mpya ili zungumzwa lakini wameshindwa kuchukua hatua hivyo Raisi JAKAYA KIKWETE name subutu na ameweza na anasonga mbele.ana sitahiri kupongezwa.
Back
Top Bottom